GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Wakati mwingine co lazima uchangie! Kwa nini uko hvyo? ujue cfa znaua eti.
Panapo ukweli uwongo hujitenga, ila ukweli unauma na ndio unaokusumbua tunaposema ukweli
Wakati mwingine co lazima uchangie! Kwa nini uko hvyo? ujue cfa znaua eti.
Umeshikwa na ukashikika,na mwishowe umekuwa empty brained
Hilo halitawezekana na viongozi wa kiislamu hawatakubali kwani CDM wao wenyewe waliisha jipambanua wako upande gani wa kidini. Sasa itaonekana kama wanawaletea mzaha mzaha hivi. Na hili liweke utaniambia siku sijazo, wajaribu tu utaona mkuu
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.
Ww ndio sasa una mapepo, kwani ni ukweli uko wazi kuwa kampeni za uchaguzi mkuu CHADEMA walitumia sana makanisa kufanya kampeni, sasa kama ww huishi Tanzania huwezi kujua, na nina wasiwasi huo. Mambo ya wakatoliki Sumbawanga unayajua ww ?
dogo punguza pumba hayo mawazo aliyo toa mh ni ya msingi na viongozi kama viongozi wanatakiwa kuyafata....waislam bado ni kundi muhimu sana ktk ustawi wa cdm,kauli ya kudai waachwe kama walivyo ni ya kitoto sana na haina mashiko hata kidogo.mi naamini kabisa mtandao huu ni wa watu walio makini sana na wanapenda maendeleo ya nchi hii kwa watu msio na upeo naomba muwe makini ktk ku post pumba zenu....mnaweza ligawa taifa ili.
By dizle
from udom
Tuko pamoja mkuu hata mimi sipingi kauli ya Slaa yuko sahihi kabisa ninachoona kinaweza kuleta madhara ni timing ya kauli.Mkuu naheshimu mawazo yako, lakini mtu yeyote anaesimamia ukweli hawezi kuhofia kusema ukweli eti kisa awaridhishe akina Mufti, mimi nakupinga kwa 500% Dr Slaa ni PHD holder na anajuwa nini maana ya sekretarieti, ndio maana akasema mufti akufanya utafiti, kama angefanya utafiti angejuwa CHADEMA inasimamia nini, lakini mimi binafsi nashindwa kumlaumu mufti kwa sababu mufti elimu yake ni darasa la saba kwa hiyo hawezi kuwa na upeo mkubwa wa kuelewa mambo ya administration ya nchi.
Mkuu huoni kuendelea kuwajibu ni kuingia kwenye mtego wa CCM na vibaraka wake?CDM ina wafuasi na mashabiki wengi sana waislamu, mbao kauli zisizo na maana za viongozi wao wa dini hazitawaondolea imani yao kwa CDM. So, CDM iwajibu hao viongozi, tena kwa kauli kali zaidi ya hizo.
Panapo ukweli uwongo hujitenga, ila ukweli unauma na ndio unaokusumbua tunaposema ukweli
sa umeongea ukwel gn? kusema slaa ka2mwa na pengo ni ukwel? hata moyo wako unajua ulichoandika co kweli!