Ushauri kwa chama cha CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa chama cha CHADEMA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kayumba, Mar 28, 2011.

 1. k

  kayumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kulingana na kesi inayowakabili viongozi wengi na wabunge wa CHADEMA, kule Arusha ni busara kuanza kujiandaa. Wajiandae kwa matokeo ya aina zote; moja ni endapo watashinda kesi na pili ni endapo watashindwa kesi.

  Ushauri wangu ni endapo watashindwa, manake pale kutakuwepo na vifungo! Chama kijiandae na hiyo scinario ya pili ili kisijekushutukizwa. Kitendo cha kuongeza idadi ya mashitaka ni kuonyesha nia ya serikali katika hiyo kesi!

  Nawakilisha!
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni wabishi hao,wana wanasheriaa kama mchanga vile haendi mtu gerezani,...ila kama ulivosema pia,ni vyema kujiandaa kwa yote
   
 3. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  hii kesi iataendele a hadi 2016, na lengo ni kuwapotezea muda kadiri inavyowezekana; tena wasipokuwa makini na haya maandamano ya nchi nzima, watakua na kesi zaidi ya 5 pembe tofauti za nchi na kuwafanya karibia kila wiki wawe mahakamani kusikiliza mashauri yasiyoisha.
   
 4. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Chadema wamejipanga, wapo makini na wanaelewa wanachokifanya, kesi nyingi ni kuonyesha jinsi walivyo fanikiwa na kila chama kinajaribu kuwarudisha nyuma. Chadema songa mbele.
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  Ukombozi huwa hauletwi kwenye kisahani unapiganiwa kama unaogopa kifungo kaa nyumbani ulee wajukuu, angalia Mandela, Tsvangrai, na Odinga

  [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Leo Tsvangai na Odinga wanafunguliwa milango ya magari yao.

  [​IMG] [​IMG]
   
 6. S

  SUTU BUTUGURI Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasoma sheria kwa makini saaana sasa, hivi karibuni nitakuwa Arusha kuwatetea CDM ninayoipenda. Nitajitolea, sitaki kulipwa hata senti. Hafungwi mtu. Duniani kote kama hamjui, uhuru wa pili (badala ya ule wa 1961) ndiyo mgumu kuliko wote kuupigania. Kesi za kutengeneza hazifungi mtu. Ni fabrications, hakuna kitu. Hata hivyo tuko tayari kwa lolote, ushauri wako ni mzuri ...............
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,395
  Trophy Points: 280
  hamna kesi ya kujibu pale, ni upuuzi mtupu na njia ya kuwalaghai wananchi ambao wameshafunguka macho kwamba cdm wana makosa... Just stupid and idiotic strategies, nadhani ccm na viongozi wa chama na serikali wamelogwa na aliyewaloga kafa sijui nani atawaagua, wanatumia mbinu za kitoto na za kijinga mno hata mtoto wa darasa la kwanza huwezi kumdanganya kwa hizo strategy zao... They simply need an overhaul otherwise it wont work for them...
   
Loading...