Kuna watu wengine kwenye ukumbi huu wanaibisha JF,they are not GREAT THINKERS!
Hivi barua kama hii unaweza kuitilia shaka yoyote kuwa ni fake kama wewe ni Great thinker? Hii barua inaonekana imekuwa-scanned kama ilivyo.
Vitu ambavyo ni vya msingi kabisa kwenye barua yoyote ni pamoja na:
- Nembo(Logo) ya mwandishi au mwenye barua. Ipo inasomeka vizuri kuwa ni ya JIJI LA MWANZA.
- Anuani/e-mail/Namba za Simu.Namba za simu zipo na zinasomeka vizuri.
- Sahihi ya Mwandishi. Ipo na amesaini. Kumbuka Msimamizi wa Uchaguzi wa Mwanza Mjini Bw. Kabwe ambaye kwa wadhifa ni Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza alipoonyeshwa barua hii alikiri kuwa SAHIHI NI YA KWAKE LAKINI MANENO SI YAKE!!!!!Another Longolongo za CCM!
- Maelekezo kwenye barua ile ndiyo yalivyotekelezwa. Hilo kila mtu analijua. Rejea ucheleweshaji wa kutangaza matokeo ya kura na vurugu zilizofuata kwa watu kupigwa mabomu Nyamagana na Ilemera.
- Mhuri wa JIJI haupo. Siyo lazima kulingana na unyeti wa barua yenyewe.
- Namba za rejea(Ref.number)hazipo. Siyo lazima kwasababu kama ya bullet number 5.
Hapa HAKUNA UCHAKACHUAJI. Kwa hiyo acha ubishi wa kipuuzi usio na msingi.Try to be a Great Thinker not a Great Sink!