PREACHER
Hapa inazungumziwa barua na kuchakachuliwa. Naamini hujachangia kwa kukubali hoja kuwa imechakachuliwa.
IKULU KUWA NA HADHI.
HADHI YA IKULU HAIJAWAHI KUSHUKA; sema tu kasumba za roho ya kwanini. Mwalimu ndio aliyeanzisha usemi huo wa KUNUKA KWA IKULU kwa vile aliopoong'atuka; hakuweza kufikiria kuwa warithi wake nao wataweza. Aliwacha NCHI kwenye Uchumi wa Hovyo; maduka meupe, bidha za rationing, miundombinu haba; usafiri wa mashaka; private sector iliyochakaa; Media ya Serikali na chama. TANZANIA ILIKUWA KAMA KIJIJI.
MWINYI NA MKAPA WAMEGEUZA HALI HIYO
1. Economic Liberalization
2. freedom of Press and of Speech.
3. Walau watanzania wanaweza kuangalia TV (NDIO UKAONA MA ITV; Nipashe, Majira, EATV and so on; the list is endless)
Huko kuwadharau viongozi wetu Wa Juu walioongoza TAIFA Hili baada ya NYERERE ni ULIMBUKENI na kunyesha dhahiri kutokuwa na shukrani.
Hata Multiparty System imekuja baada ya NYERERE.
TUWE NA HESHIMA KWA VIONGOZI WETU HAWA.
NI WAADILIFU.
UHURU WA KUSEMA UNATUMIWA NA WASIOJUA MAMBO KUWAZULIA KASHFA.
NYERERE OYE!!
MWINYI OYEEEE!!!
MKAPA OYEEEE!!!!
KIKWETE OYEEE!!!!!!!!!!!!
MWINYI
MAGEUZI YA UCHUMI
BIASHARA HURIA
VYAMA VINGI
MKAPA
UTEKELEZAJI WA SERA ZA UCHUMI HURIA
KUKUA KWA UCHUMI
SERA ZA FEDHA
KIKWETE
UDOM\
FERRY
MIUNDOMBINU
ikulu ya nchi gani unayoongelea ndugu??? Hivi tanzania ikulu yake ina hadhi???? Ilikuwa na hadhi wakati alipotawala rais - marehemu julius kambarage nyerere - lakini kwa sasa imepoteza hadhi kabisaaaaaaaaaaaaa - ikulu inayokaa marais wasiojali wananchi wao - kazi kuandaa tafrija tuuuuuuu basi - ndio wanachojua -
laiti dr. Slaa angeliingia ikulu - hadhi ingerudi - alikuwa tayari kula muhogo ikulu - (kupunguza budget) na kutumia fedha kusaidia watanzania -
wee endelea kuitetea ikulu - wenzako ikulu wanajichana usiku na mchana bila kujali - labda nawewe ni mmoja wapo?? Na kama sio - think again great thinker