Dk slaa amechakachua barua

MIE NAONGELEA FACT HAPA YA KUCHAKACHULIWA BARUA.

SIO KUHALALISHA MATOKEO, kwani NEC ilisharidhika nayo na Observers walikubaliana nayo.

Imechakachuliwa, kubali; imechakachuliwa, kataa. Slaa Amechakachua

Baada ya ushindi wa wizi sasa mnataka kuhalalisha matokeo?kama unataka kujua garama ya uchakachuaji muulize mkurugenzi wa shinyanga aliyekimbia mji wake baada ya kutii amri ya vigogo wa CCM.Kiama yenu inakuja wala sio siku nyingi wapo kina moi wa hapo jirani walijiita majogoo wa siasa sasa wako wapi,yuko aliyejiita tingatinga ameondolewa jimboni na baiskel ya mbao wala sio tingatinga,2015 wala sio siku nyingi utakapohitaji mtuonyeshe international airport kigoma,barabara za juu na chini Dar,meli kuanzia ziwa tanganyika,victoria,nyasa na kwingineko.
 
MYOPIA ni hicho ulichoandika ndugu yangu.

SASA NIAMBIE

ILE BARUA NI AUTHENTIC?

Ingekuwa wewe ndio Slaa, ungeiwasilisha kama kielelezo kimaandishi?

AMKA WEWE!

kwakweli sielewi hii ya slaa kuchakachua barua, kwani najua kwamba si yeye aliyeileta kwenye public, anyway, kwa ccm kila kitu kinawezekana kwani uwezo wao wa kufikiri ni mfupi mno hata wakiambiwa ila ya chadema kaandika slaa na ya ccm kaandika jk watakubali

myopia
 
Naomba tumia hoja; no point no right to speak. Mtu makini hawezi kuwasilisha barua ya kuchakachuliwa kama kielelezo

dr slaa ni mtu makini,nazani wewe makame umefilisika kimaisha,yote ilaumu ccm
 
UNACHOANDIKA SINA UHAKIKA KAMA YOUR NOT UNDER THE INFLUENCE OF INTOXICATING SUBSTANCE.

TUMIA HOJA NDUGU, sio kubwabwaja.

wewe makame ni bogasi,hiyo ccm imekusaidia nini?mtu mwenyewe ni masikini wa kutupa,pole sana.chademe oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wadau

Kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na Dk Slaa, NEC, TISS, CCM na wahusika wengine katika Uchaguzi, imebainika kuwa Dkt Wilbroad Slaa Amechakachua Barua.

Inasemekana kufuatia uchakachuaji wa Dkt WPS wa barua hio, mgombea huyo akaendelea na uchakachuaji wake EU.

Mtu yoyote mwenye ufahamu, wala hahitaji kuwa na PhD ataweza kutambua bayana kuwa hii Barua ni uchakachuaji wa Mhe Dkt WPS katika jitihada zake za kuipaka serikali na watumishi wake matope. Barua husika nime i attach.

Nawasilisha.

Ndugu Makame , kwa dunia ya sasa ilivyo (kijiji/mtaa) maelezo ya wana CCM kukanusha tuhuma ile, hawawezi kabisa kunifanya mimi (na yeyote mwenye akili timamu na ufahamu) kuamini kuwa Dr. Slaa alisema uongo. Wote tunaamini Dr. Slaa habahatishi hata siku. 100% kikao kilifanyika pale. Mbona mkapa aliweza kwenda Mnvomero tarehe 31 october 2010 usiku kushinikiza matokeo, ije iwe hawa ndugu, hii ni kweli.
 
Unachekesha kweli, hiyo barua iliandaliwa na wana CCM ili kumuumiza Baba wa watu. shame on you. Ndiyo maana mkasema kaingizwa mjini. It was just another stupid CCM game. You all knew the reactions that would follow. Hakuna jipya kwenye hilo. He is not as stupid as you want him to look before the general public. Na hata mlivyopresent kwenye media hamkuonesha all the details, just to fool the large mass ambao hawakuwahi kuiona hiyo barua kabla. Shame on you CCM a million times.
 
Nimewasilisha Barua TENA HAPA.

Maelezo waliyotoa Watuhumiwa kwamba hawakuwepo mwanza.

Aidha TISS wametoa Press Conference na kuikanusha hiyo BARUA.

Let Slaa Make his case.
Makame toa ushaidi uonyesha BARUA HIYO imechakachuliwa
 
NDIO HAYO YANAYOSEMWA HUMU KUWA HUYO DK SLAA MUMEMPA HADHI YA MUNGU. HABAHATISHI!!

100% KIKAO KILIFANYIKA PALE wakati maelezo yashatolewa hadharani kukanusha huo Mkutano.

Msipotoke na kuwapotosha wenzenu; Dk Slaa amechemka vibaya kutumia barua ile kama kielelezo.

Ndugu Makame , kwa dunia ya sasa ilivyo (kijiji/mtaa) maelezo ya wana CCM kukanusha tuhuma ile, hawawezi kabisa kunifanya mimi (na yeyote mwenye akili timamu na ufahamu) kuamini kuwa Dr. Slaa alisema uongo. Wote tunaamini Dr. Slaa habahatishi hata siku. 100% kikao kilifanyika pale. Mbona mkapa aliweza kwenda Mnvomero tarehe 31 october 2010 usiku kushinikiza matokeo, ije iwe hawa ndugu, hii ni kweli.
 
Hivi Epifania, President Material kweli inaweza ikategwa kirahisi namna hiyo?

Fr, Willbroad Slaa (PhD); kweli anaingia kichwa kichwa kwenye MTEGO mdogo kama huo? sasa akienda huko IKULU si atakurupuka nakuangamiza taifa?

KWANGU MIMI A na B ni SAWA.

A. Ameichakachua mwenyewe (Au associates wake) kwa lengo la kuitumia kwenye kampeni na hatimaye akasahau (au akadhani kuwa imekuwa ya ukweli kwa kuwa watu walishaiamini kwenye earlier threads) kuwa ni ya kuchakachuliwa na kuiwasilisha kama kielelza.

B. Iliandikwa na watu wa Serikali na kuiweka kama MTEGO ili wale wenye tabia ya kuchukua NYARAKA za Serikali waichukue na kuipeleka kwa Slaa. Slaa akaipokea na kuingia KICHWAKICHWA.

Which is a better explanation?

Mie sioni; naona either way; A ni uchakachuaji na B ni kutobaini uchakachuaji wa wazi.

Unachekesha kweli, hiyo barua iliandaliwa na wana CCM ili kumuumiza Baba wa watu. shame on you. Ndiyo maana mkasema kaingizwa mjini. It was just another stupid CCM game. You all knew the reactions that would follow. Hakuna jipya kwenye hilo. He is not as stupid as you want him to look before the general public. Na hata mlivyopresent kwenye media hamkuonesha all the details, just to fool the large mass ambao hawakuwahi kuiona hiyo barua kabla. Shame on you CCM a million times.
 
POINT (LESS):smile-big:

hapo ndo tunaposhindwa kuelewana na nyie vibaraka wa hao mafisadi... mnaforce mambo ambayo mtu mzima hawezi kukubali kuendeshwa kwa staili izo...umeanza ameghushi then unasema hajaudhuria kuapishwa.....mnakwepa hoja, kama mnaona ameghushi si mmshitaki...kwani kughushi ni kosa la jinai....PRESS CONFERENCE sio adhabu ya mtu anaeghushi....
kimsingi Dr. Slaa ni mtu makini kuliko hao wa miungu watu mnao waabudu.......na mmemdhulumu haki,sio yeye tu, bali watanzania wote wapenda mabadiliko..
KAMA ULIKUWA MPANGO WA MUNGU MTAFANIKIWA, ILA KAMA HAUKUWA MPANGO WA MUNGU NAJUA TUTASIKIA MENGINE KMA ILIVYOKUWA KWA LOWASA NA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI:yield:
 
Dk Slaa alipoiwasilisha kama kielelezo, aliiwasilisha KIOFISI au? Je hajasema kuwa hiyo ya KIOFISI?

Siku hizi hapa Mjini kuna usemi Mpya, unasema "Wacha Kupaparika kama SLAA"

Zingatia usemi huo

Hiyo haikuwa barua ya kiofisi, ni andiko liliandaliwa kihuni ili kubariki maovu ya sisiem, ykweli uko palepale, mmechakachua matokeo, full stop!
 
Hivi Epifania, President Material kweli inaweza ikategwa kirahisi namna hiyo?

Fr, Willbroad Slaa (PhD); kweli anaingia kichwa kichwa kwenye MTEGO mdogo kama huo? sasa akienda huko IKULU si atakurupuka nakuangamiza taifa?

KWANGU MIMI A na B ni SAWA.

A. Ameichakachua mwenyewe (Au associates wake) kwa lengo la kuitumia kwenye kampeni na hatimaye akasahau (au akadhani kuwa imekuwa ya ukweli kwa kuwa watu walishaiamini kwenye earlier threads) kuwa ni ya kuchakachuliwa na kuiwasilisha kama kielelza.

B. Iliandikwa na watu wa Serikali na kuiweka kama MTEGO ili wale wenye tabia ya kuchukua NYARAKA za Serikali waichukue na kuipeleka kwa Slaa. Slaa akaipokea na kuingia KICHWAKICHWA.

Which is a better explanation?

Mie sioni; naona either way; A ni uchakachuaji na B ni kutobaini uchakachuaji wa wazi.
Let us assume that Dr. Slaa alichakachua barua; je yaliyoandikwa kwenye barua hayakufanyika?
Familia moja ya mkereketwa wa CCM ilitoa wasimamizi wa vituo watano - mama, na watoto watatu, na baba yao mdogo (Je ni coincidence?)
Tumeona kwenye TV, vyombo vya dola vikiwa tayari kwa mapambano katika sehemu nyingi wakati wa kutangaza matokeo, hasa pale ambapo wapinzani walikuwa wakielekea kushinda (waliposhinda)
Tumeshuhudi vijana wengi wakikosa majina yao kwenye vituo - kumbuka yaliyotokea mlimani nk
Iwapo mkakati uliotajwa katika barua ile tunaona umetumika kikwelikweli na katika maeneo mengi, kwa nini tusiamini kuwa waraka huo ni wa kweli?
 
CRAP. Vipi na sahihi amechakachua?
Mji huu kuna watu wakiona sahihi yako tu wanaiandika kama ilivyo,hakuna mtu asiyejua hilo,nenda pale Billcanas una sahihi yoyote utafanyiwa,hata profesa J miaka fulani aliimba wimbo juu ya sahii na mihuri,leo hii imekuwa big issue?,Angalia watu wanaweza hata kutengeneza kutengeneza noti ya sh alfu kumi au noti ya dola 100 iwe hii simple document ya jiji la mwanza?,jamani hebu tuweni reasonable!!
 
Nimewasilisha Barua TENA HAPA.

Maelezo waliyotoa Watuhumiwa kwamba hawakuwepo mwanza.

Aidha TISS wametoa Press Conference na kuikanusha hiyo BARUA.

Let Slaa Make his case.
Kwa akili yako ulitegemea waseme walikuwapo mwanza na walifanya kikao hicho!
 
wadau

kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na dk slaa, nec, tiss, ccm na wahusika wengine katika uchaguzi, imebainika kuwa dkt wilbroad slaa amechakachua barua.

Inasemekana kufuatia uchakachuaji wa dkt wps wa barua hio, mgombea huyo akaendelea na uchakachuaji wake eu.

Mtu yoyote mwenye ufahamu, wala hahitaji kuwa na phd ataweza kutambua bayana kuwa hii barua ni uchakachuaji wa mhe dkt wps katika jitihada zake za kuipaka serikali na watumishi wake matope. Barua husika nime i attach.

Nawasilisha.

wewe Makame umekula? Kama umeshiba basi kakojowe ulala. Mambo haya huna uwezo wa kuyajadili.
 
Kwanza napenda kujitambulisha kuwa new member wa jf ku join lakini msomaji sana wa mambo yanayojadiliwa hapa jf na nimekubali kuwa dis iz true dat jf z the home of great thinkerz na ckutaka kujiunga kipindi cha mchakato wa uchaguz kwa kuwa mngenitafsiri kuwa mi ni mamluki fulani,nipokeen plz
 
Hivi Polisi kuimarisha Ulinzi ili kuhakikisha usalama wa raia na mali zao ni makosa?

Ni kawaida kwa vyombo vya Usalama kufanya hivyo; na NI WAJIBU WAO.

Kuhusu kuwa WAKALA, kila CHAMA kilitakiwa kutumia wakala wake; hata kama wanatoka kwenye UKOO MOJA. Hiyo ni discretion ya CHAMA na Sio ya Msimamizi wa Uchaguzi (Nimekujibu kukuelimisha, I never expected such a POINT to be presented here by A GREAT THINKER).

Vijana na Wazee wamekosekana kwenye ORODHA, ila walitakiwe kuhakiki majina yao; na hawakufanya hivyo; walienda siku ya KURA. What were they expecting?

Hakuna hata moja lililotajwa kwenye BARUA YA MCHAKACHUO ile kilichotokea.

GOOD EVENING

Let us assume that Dr. Slaa alichakachua barua; je yaliyoandikwa kwenye barua hayakufanyika?
Familia moja ya mkereketwa wa CCM ilitoa wasimamizi wa vituo watano - mama, na watoto watatu, na baba yao mdogo (Je ni coincidence?)
Tumeona kwenye TV, vyombo vya dola vikiwa tayari kwa mapambano katika sehemu nyingi wakati wa kutangaza matokeo, hasa pale ambapo wapinzani walikuwa wakielekea kushinda (waliposhinda)
Tumeshuhudi vijana wengi wakikosa majina yao kwenye vituo - kumbuka yaliyotokea mlimani nk
Iwapo mkakati uliotajwa katika barua ile tunaona umetumika kikwelikweli na katika maeneo mengi, kwa nini tusiamini kuwa waraka huo ni wa kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom