thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,114
Dr Slaa hajaanguka kisiasa kwani siasa alikwisha achana nayo kitambo, mwacheni mzee afanye mambo yake, hakuna kati yetu wa kumuhemelea msosi, Kila mmoja apambane na hali yake
Hatuongelei mshahara yunaongelea heshima Na hadhi ya mhusika.Hivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?
Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....
Waswahili tuna msemo wetu wa..'kazi ni kazi, ilimradi mkono uende kinywani'; yaani haitakiwi mtu kuchagua kazi, kikubwa kazi husika iwe halali na iwe inakulipa.
Kama kichwa habari kinavyosema kuwa, Dk. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA amepewa ajira ya afisa mauzo wa supermarket huko Canada, je, hii tuite kupanda na kuangakuka kisiasa kwa Dk. Slaa?
Itakumbukwa pia, Dk. Slaa aliwahi kuwa Rais wa bodi ya hospitali ya CCBRT, ya jijini Dar Es Salaam.
View attachment 627742
Yule sasa ni mlei (raia) maamuma hawezi tena maana upadre alivuliwa kwa taratibu zote za kikatoiAmechoka kushindia mihogo, aende Roma atubu arudie upadre then akafundishe seminari anaweza kuwa mwalimu mzuri sana wa Theology
Hahahahahaa! Siongezi kitu naogopa kuitwa mchochea kuni. Hivi mchochea kuni si ndiyo mchochezi?ahhaha ndina lukwale ndawe mwe mwamakufuli !muyawe yula ne ndema be!
Ulitaka unshahuri weweYOTE HII INATOKANA NA USHAURI WA MKEWE
Hata ingekua wewe usingekataa hana uchungu sio chake cha baba mkwe na bado yeye ameendelea kua na hisa alafu ni bado mwenyekiti kuna hasara gani kwa bl 10 za bure!Nakukatalia katakata. Mbowe asingeweza kuuza chama. You're very good and busy as well in terms of propagation!
Amechoka kushindia mihogo, aende Roma atubu arudie upadre then akafundishe seminari anaweza kuwa mwalimu mzuri sana wa Theology
M/Kijiji hatufanyi kazi moja ndio maana tunafuga, tunalima, biashara ..... ila utamaduni wa kuajiliwa sehemu mbili tatu etc hakuna na nidhani ni kwa vile sehemu za kukuajili hazipoHalafu watu kwenye nchi maskini, wanaofanya kazi moja moja wanalalamika hela inabana.
Tz alikuwa anakula mihogo nadhani kwa jinsi vyuma vilivyokaza kwa wadhamani wake wa hapa nchini, basi huko alikuwa anakula makombo.
Lakini hongera yake, walau mkono uende kinywani. Kazi kazi.
DuuuuuuuhhhHakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
Acha kumremba weye. Akiwa ombaomba utasema anahubiri dini.Huku
Huku hata chakuka anachokula mbwa wake wewe huwezi kukinunua....
from hero to zeroNi jambo la kawaida..
Hahahahahaa! Siongezi kitu naogopa kuitwa mchochea kuni. Hivi mchochea kuni si ndiyo mchochezi?
kutoka mh.mbunge.mwenyekiti wa bodi na kamati mbalimbali za kibunge.mgombea urais mpaka muuza supermarket. hii laana ya usaliti ni kibokoHalafu watu kwenye nchi maskini, wanaofanya kazi moja moja wanalalamika hela inabana.
Slaa yupi unamzungumzia huyu muuza supremarket?Ukweli utabaki pale pale!!
Chadema itawachukua miaka mingi kupata Katibu Mkuu kama Dr Slaa! Nafikiri wanaomkejeli Dr slaa wanashida ya ufahamu.
Hey there, boss! Having a lot of "ifs" won't change the truth! He is a very good shopkeeper out there in Canada! Saskatchewan in particular! Hahahahahaa!This is a very cheap lies and unfounded. At his age and if he has been accepted as a immigrant than it must have been on conditions of his qual8fications and the possibilities of getting employment in his profession. If his was accepted as a refugee and at his age , he will be provided with pension or living allowances and a house.
Hizi ni siasa za maji taka