Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Hatuongelei mshahara yunaongelea heshima Na hadhi ya mhusika.
Mbona huko huko majuu kusafisha wazee makalio baada ya kujisaidia kunalipa????
Dr.Mihogo wako kwishney
Yote hayo yule mama Sijui alimtoaga wapi .Anampotosha sana naye amekuwa kama ZUZU


unajua kuna wanawake wengine ukimwangalia tu uson unajua haoa kazi ipo !kifupi yule mama ana akili zaid ya slaa !na ni macho juu juu mama wa kimujini !kwisha kazi yake
 
Hatuongelei mshahara yunaongelea heshima Na hadhi ya mhusika.
Mbona huko huko majuu kusafisha wazee makalio baada ya kujisaidia kunalipa????
Dr.Mihogo wako kwishney
Yote hayo yule mama Sijui alimtoaga wapi .Anampotosha sana naye amekuwa kama ZUZU
Nyie endleeni kuhoji heshima na hadhi wakati mtu anaingiza mamilioni in weeks nyie bakini na bongo yenu hii
 
Janja ya nyani, wanataka kuaminisha watu uongo wao.

Tulikupenda ila kanisa lilikupenda zaidi
 
wangempa hata kazi ya kufundisha theology masikini si aliwahi kuwa askofu.
 
Hakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
Uko serious OKW?
 
Mnafikiri supermarket za majuu ni sawa na za kwemu hizi mnawapa mishahara midogo wafanyakazi wenu na bado muwalimbikizie mishahara yao ...kule unakuta analipwa kwa saaa au dola kama elfu 5 ...na hio anaifanya tu basi uzee ndo ule umebisha hodi kwake kwani ana nini cha kupoteza
wazee wa aina yake wapo kwenye taasisi zenye heshima wakitoa elimu zao ila siyo kuuza supermarket. Kitendo cha Dr. Dlaa kwa level aliyowahi kufikia na sasa anauza supermarket ni fedheha san.
 
Kalaghabahooooo!!!! Unafikiri anapenda kwenda kuosha vyombo na uzima ule ulaya...ulaya.. . Hapendi apumzike na kucheza wajukuu umri huu?? Unafikiri kijana yule eti anatafuta maisha ulaya??? Jiongezee kidogo tu....ni unafiki ule unamfanya awe kama popo sasaa!!!!
Hivi canada ni ulaya?
 
Anaweza kurudi tukiwa na moyo wa kusameheana
Mbona imewezekana kwa mtindo ule mwingine kwa PROF ?

HIARIVYASHINDA UTUMWA
akirudi labda ajiunge na pro.lipumba lakini siyo Chadema
 
Hivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?

Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....
Maisha ya huko nayo ni rahisi? bidhaa za huko zpo juu pia. Utajikuta hakuna unachokifanya na hivi ana familia. Angekua kijana angejibana aje kuwekeza bongo ila m
kwa umri huu... Bora angeomba hata kuwa lecturer tu au angemuangukia Magu ampe ubalozi au ukatibu mkuu.Na sioni sababu kwa nini wasimkumbuke hata kidogo au wampe parole kama yule mchaga wa Kiraracha
 
Daktari ni msomi na alikuwa katibu mkuu wa chadema.
Naomba kujuzwa. .. Huko canada yuko kama mkimbizi au anasoma..??kama ni mkimbizi ni makosa gani kayafanya na kama anasoma kwa nini asipewe mkopo..
Alienda kama mkimbizi (political asylum) kwani maisha yake yalikuwa mashakani hapa nchini baada ya ku defect from chadema ambao hawangemwacha salama kama ambavyo anawajua vizuri sana. Hadi sasa hawezi rudi kwani chadema bado ni ile ile. Chadema si kama vyama vingine hususani CUF ambayo Lipumba aliweza rudi salama toka ukimbizini Rwanda, akaishi salama hadi kuamua kuurudisha uenyekiti wake. Hiki hakingewezekana kwa chadema ya sasa.
 
Nafikiri ni heri kuliko wewe mpiga domo,usijue hata kesho yako ikoje.
Kwa taarifa yako.
1.anauhakika wa huduma nzuri ya Afya
2.Anapata Pensheni ya juu kabisa ya ustaafu.
3.Anaishi na kulala kwenye nyumba nzuri.
4.Anasazi ya uhakika inayomfanya aendelee kuwa na afya madhubuti na kuonekana kijana zaidi.
5.anahofu juu ya kesho kwani kesho yake ipo mikononi mwa serikali.
6.anainsuarance ya kumzika na urithi wa wanawe haitaji msaada wa mtu.
7.amezungukwa na amani hana hofu ya usalama wake wa maisha......Hakuna mwizi wala jambazi....
8.Anapata heshima yake anayostahili katikati ya jamii.
9.ni mwenye furaha na amani Tele moyoni.
10.anakamata dola zake kama kawaida wala si madafu.....
Josephine! za Canada, vipi ule mpango wenu wa kuwekeza hapa nchini uliishia wapi?? au ndo wamekata huduma
 
Maisha ya huko nayo ni rahisi? bidhaa za huko zpo juu pia. Utajikuta hakuna unachokifanya na hivi ana familia. Angekua kijana angejibana aje kuwekeza bongo ila m
kwa umri huu... Bora angeomba hata kuwa lecturer tu au angemuangukia Magu ampe ubalozi au ukatibu mkuu.Na sioni sababu kwa nini wasimkumbuke hata kidogo au wampe parole kama yule mchaga wa Kiraracha

Mbona unampangia mazingira. Labda mambo shwari. You dont know
 
Back
Top Bottom