Tatizo ni bl10 mbowe alizouzia chama!Hahahahahaa! Unamtia faraja? Waambie sisiyemu wenzio wamlipe vipande vyake vya fedha dokita Mihogo! Sisiyemu Mola anawaona nyau ninyi!
Tupo huo ukweli!Acha uongo.
Leta nakala ya risiti. Laa sivyo, kipara chako ni kovu - sugu!Tatizo ni bl10 mbowe alizouzia chama!
atauza mpaka maandazi na vitumbua. anaikumbuka Chadema kwa sasa lakini keshanyea kambi atarudije?Hongera Dr Slaa kazi ndio uhai wa binadamu.
Mbona mlilinunua kwa "beyi kali"!? Saa hizi mmemtupa amekuwa shopkeeper! Sisiyemu si watu, ndaa!Chadema walitaka kutuuzia hili kanyaboya 2010