Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Dk. Slaa aajiriwa supermarket

atauza mpaka maandazi na vitumbua. anaikumbuka Chadema kwa sasa lakini keshanyea kambi atarudije?
Anaweza kurudi tukiwa na moyo wa kusameheana
Mbona imewezekana kwa mtindo ule mwingine kwa PROF ?

HIARIVYASHINDA UTUMWA
 
Halafu utashangaa akiwa humu JF anawakejeli wasomi wanaolalamika kukosa ajira hapa Tanzania kwa kuwaambia watumie usomi wao kujiajiri wakati yeye mwenyewe ameajiriwa.
Hivi yupo humu JF, aje atupe ujuzi wake humu, tunaogopa kwenda kuanza kuokota chupa za maji
 
si alisema anaenda kusoma nadhani hiyo anafanya internship
 
Mfungwa hachagui gereza. Chapa kazi Dr. Slaa mkono uende kinywani.
 
Hakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem

Umasikini mwingine ni Laana za Vinywa vyenu.......mnauhakika
 
bora ametambua kuwa wakat aliopoteza na kuujutia ...nasubr na wengine wanaoendelea kupoteza muda waige mfano
 
Kwa kiswahili fasaha, Dr.Slaa ameajiriwa kuuza duka la mtu huko Canada. Ni muuza duka.
Hongera Dr.Slaa.

Nafikiri ni heri kuliko wewe mpiga domo,usijue hata kesho yako ikoje.
Kwa taarifa yako.

1.anauhakika wa huduma nzuri ya Afya

2.Anapata Pensheni ya juu kabisa ya ustaafu.

3.Anaishi na kulala kwenye nyumba nzuri.

4.Anasazi ya uhakika inayomfanya aendelee kuwa na afya madhubuti na kuonekana kijana zaidi.

5.anahofu juu ya kesho kwani kesho yake ipo mikononi mwa serikali.

6.anainsuarance ya kumzika na urithi wa wanawe haitaji msaada wa mtu.

7.amezungukwa na amani hana hofu ya usalama wake wa maisha......Hakuna mwizi wala jambazi....

8.Anapata heshima yake anayostahili katikati ya jamii.

9.ni mwenye furaha na amani Tele moyoni.

10.anakamata dola zake kama kawaida wala si madafu.....
 
atauza mpaka maandazi na vitumbua. anaikumbuka Chadema kwa sasa lakini keshanyea kambi atarudije?

Waterloo,
Unanikumbusha kuhusu mwana mpotevu tunayemsoma kwenye Biblia. Kwamba aliomba urithi toka kwa babake akaenda zake nchi za mbali akaenda kutapanya mali yote ya urithi baadaye akaishia kula makombo na nguruwe...!!!

Dr. Slaa anaweza fananishwa na huyu mwana mpotevu kwa 100%. Kila mtu anajua kilichotokea 2015 kwamba Slaa aliamua kuondoka CHADEMA kuonyesha kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA. Huu ulikuwa ni usaliti wa hali ya juu. Kitendo alichofanya Slaa kiliwafurahisha na kuwanufaisha CCM kwa sehemu kubwa na nina hakika Dr. Slaa alilipwa hela na CCM/Serikali ili kuvuruga mkakati wa CHADEMA kuingia Ikulu kwa kisingizio cha Lowassa.
Mkakati uliokuwa umesukwa na CCM ilikuwa ni kusambaratisha upinzani kwa kuwanunua Pro-fedha Li-pumbu pamoja na Dr. SLaa ili kudhoofisha upinzani...!!

Kwa hiyo mimi siashangai kusikia Dr. Slaa anafanya kazi Supermarket kama kibarua na bado ata deck mpaka vyoo na kula makombo kama yule mwana mpotevu kwenye Biblia. Hivi kulikuwa na sababu gani ya yeye kukimbilia Canada kama issue ilikuwa ni Lowassa....??!!!Kuna zaidi nyuma ya pazia. Acha apate malipo stahili ya usaliti wake lakini kuna siku atarudi nyumbani kuomba radhi kwa Watanzania....!!!
 
Kipindi kile cha 2015 Mkewe alisema wanategemea kurejea nchini Tanzania kuja kuanzisha taasisi kubwa sana ya shule za kisasa za kimataifa ili Dr.Slaa awe mkurugenzi. Sasa sijui hilo wazo limeyeyukia wapi?
Maana hilo wazo lingemfaa zaidi Dr.Slaa kuliko hilo la kuuza duka.

Kiasili Dr.Slaa ni Mwanasiasa, Mwanathiologia na Msomi wa falsafa, uwanja wake wa kazi ulipaswa uwe Siasa, Dini au Elimu.
Sasa biashara ya kuuza duka ni kumtesa kisaikologia na kumshosha kimwili na kiakili. Kitaalamu sio sahihi kabisa kwa mtu mwenye umri wa Dr.Slaa(Zaidi ya Miaka 60) kudandia ajira ambazo hakuwahi kujifunza au kuzifanya akiwa kijana.
Nimewazaaa muda huu anakimbiza mende kwenye shelfu Mara Sijui bidhaa zimepunguaa
Dr.Mihogo Bana.
Angetudi huku angeweza Hata kuteuliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa Na Wenzake
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom