Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Dk. Slaa aajiriwa supermarket

..Mzee mjinga sana huyu...yani Mzee mzima na PhD yake anajivunia kuuza Duka!!!kazi zinazofanywa na low levels....aibu yake....kutoka kuwa president material hadi kuosha vyombo supermarket!!!aibu tena anajivunia!!!hukun tz chadema alikuwa unapata hela nzuri na heshima..Na alikuwa yuko karibu na family members wote....sasa linajivunia kuosha vyombo nje??? Hii ni aibu sana...kwa umri wake haitaji kutuambia ujinga huu....yani unajivuniaje kuosha vyombo kwa wazungu nje?????haya ndio tunapigia kelele kila siku...huyu anatofauti gani na kina le mutuz waliooza nje hadi mwisho wakaamua kurudi??..pathetic old niggar...

Linganisha ulicho andika hapo na hiki hapa
“Mimi ninafanya kazi PWD/CDS/COSTCO kama Sales Advisor, baada ya kumaliza masomo yangu hasa Interpersonal Communication. Costco ninakofanya kazi ina members (wanachama) 10,000. Kwa siku wanaofika Warehouse ni kati ya 5,000 hadi 7,000,” alisema Dk. Slaa.

Mbali na hilo, alisema kuwa pia anafanya kazi nyingine ikiwa ni pamoja na ushauri (Consultancy).
 
Mnaota njozi. Gazeti la Mtanzania nawahurumia. Huyo mnaolenga kumfurahisha ndio mauti ya gazeti lenu.
 
Hili neno officer huwa mnafikiria ni cheo kikubwa sana kumbe hata mlinzi ni officer. Officer ni kuwa na mamlaka ya kitu Fulani mfano security officer ni kuwa yeye ndie anahusika na ulinzi na ukiambiwa sales officer ni kuwa yeye anahusika na mauzo.
Na ndo Muuza Duka,hakuna maneni mengine ila ni kwamba yeye ni MUUZA DUKA
 
..Hamna kitu hicho...hapo amejipamba tu ili aonekane anafanya kazi ya maana..Na ndio maana anawachota msiojua hali halisi ya ajira za wakaazi wa muda nchi hizi kama Canada..ukweli ni kwamba kazi hata kama anafanya hapo si kama manager...maana umeneja kazi za wazawa...ama wakaaji wa kudumu(permanent residents)...sasa yeye anawadanganya wasiojua...wengine pia tumewahi kuishi canada tunajua.,,alafu anatamba kununua magari...hayo magari ni common sana Canada...kila mtu anaweza kuyamiliki as long as ana kipato..tena hayo ni used wala si brand new....huyu Mzee mshamba sana...magari huko Canada nani anashobokea.!!!yeye kama kweli mjanja ayalete tz..,anatamba kumiliki magari Canada wakati mafuta Lita ni cents...ushamba tu watu wasimwone kafulia...anatamba kumiliki magari Canada wakati katelekeza family tz..,si ujinga huo ni nini!!!

Linganisha ulicho andika hapo na hiki hapa
“Mimi ninafanya kazi PWD/CDS/COSTCO kama Sales Advisor, baada ya kumaliza masomo yangu hasa Interpersonal Communication. Costco ninakofanya kazi ina members (wanachama) 10,000. Kwa siku wanaofika Warehouse ni kati ya 5,000 hadi 7,000,” alisema Dk. Slaa.

Mbali na hilo, alisema kuwa pia anafanya kazi nyingine ikiwa ni pamoja na ushauri (Consultancy).
 
..Hamna kitu hicho...hapo amejipamba tu ili aonekane anafanya kazi ya maana..Na ndio maana anawachota msiojua hali halisi ya ajira za wakaazi wa muda nchi hizi kama Canada..ukweli ni kwamba kazi hata kama anafanya hapo si kama manager...maana umeneja kazi za wazawa...ama wakaaji wa kudumu(permanent residents)...sasa yeye anawadanganya wasiojua...wengine pia tumewahi kuishi canada tunajua.,,alafu anatamba kununua magari...hayo magari ni common sana Canada...kila mtu anaweza kuyamiliki as long as ana kipato..tena hayo ni used wala si brand new....huyu Mzee mshamba sana...magari huko Canada nani anashobokea.!!!yeye kama kweli mjanja ayalete tz..,anatamba kumiliki magari Canada wakati mafuta Lita ni cents...ushamba tu watu wasimwone kafulia...anatamba kumiliki magari Canada wakati katelekeza family tz..,si ujinga huo ni nini!!!
Naona una bifu na mzee wa watu. Amekuambia yeye ana kazi (sales advisor na siyo sales manager) na pia anafanya consultancy. Mke wake ana scholarship na watoto wanasomeshwa na serikali ya Canada. Kutokana na hayo ameweza kununua gari mbili (Jeep na Dodge). Sasa sioni hapo anatamba na nini. Watanzania mlishasema amehongwa mamilion na CCM-watu wa magazetti wamempiga interview na kaonyesha anavyo fanya kazi na umuhimu wa kazi ukitaka kuishi vizuri ndugu yangu wasema anatamba. Kuishi nje sio wewe peke yako. Kama una ushahidi Dr. anadanganya au kafulia uweke hapa, sasa kama gari ni common kuna tatizo gani?
 
ivi kilichomkimbiza nini mbona mwenzake leprofeseri alibaki
Alikwenda kusoma yeye na mkewe. Ni wazi pia aliona ni vizuri awe nje ya Tanzania hadi joto la kutoka kwake CDM litulie. Mimi nafikiri ni uamuzi bora kwa CDM kuliko haya le professeri anayoleta CUF. Bahati mbaya naona watu bado wana kinyongo naye.
 
Linganisha ulicho andika hapo na hiki hapa
“Mimi ninafanya kazi PWD/CDS/COSTCO kama Sales Advisor, baada ya kumaliza masomo yangu hasa Interpersonal Communication. Costco ninakofanya kazi ina members (wanachama) 10,000. Kwa siku wanaofika Warehouse ni kati ya 5,000 hadi 7,000,” alisema Dk. Slaa.

Mbali na hilo, alisema kuwa pia anafanya kazi nyingine ikiwa ni pamoja na ushauri (Consultancy).

Baada ya kukusoma imenibidi nirejee kwenye story nzima kujiongeza. Na hii inasahihisha bandiko langu la awali.

Kwanza ieleweke PWD/CDS/COSTCO sio COSTCO kama ambavyo tunaaminishwa.
CDS ni marketing company kirefu chake ni CLUB DEMONSTRATION SERVICES. Imechukua tender ya ku-market products na hasa vyakula vinavyouzwa na makampuni mbali mbali ndani ya COSTCO. Yaani badala ya makampuni kuleta watu wao, CDS ndio wanafanya hiyo kazi. Kwa lugha rahisi ni wapiga debe- promoters. Na huwa wana vitoroli vyao ndani ya COSTCO wakiwapa watu samples za bidhaa wanazo promote. Na hii kazi sio permanent wengi wa wafanyikazi wao ni Casuals- vibarua unalipwa kwa saa kulingana na uhitaji wa siku.
 
Duuu....ama kweli wahenga walinena kuwa usinyee kambi , pia usimcheke mamba wakat hu javuka MTO.
 
Yaani huyu jamaa na Prof Lipumba niliwatoa maana kabisa pale Watanzania walipotaka kuwapa nchi halafu wao wakazingua ndo nikajua siasa ni kitu gani
Sina hamu nao tena
 
Hivi kuishi na kujinasibu unafanyakazi Canada no ujanja au ujinga...

Dr mzima unakosa uzalendo kujenga uchumi wa nchi yako, unaumia na baridi unaishi maisha ya dhiki ya kujificha halafu unaibuka unautangazia umma upuuzi?

elimu itakukomboa endapo utaishi kwenye mstar mnyofu...Kama wee in MTU wa mungu ungesema ukweli tu..hivi ni kweli lowasa Ana dhambi kuu awe sababu unayotamba nayo.

Huwezi kututoa mitandaoni. binadam Ana roho mby Sana huyu...unashindwaje kujua baada ya uhai wako utaishia mavumbini? vipi usije kufanyakaz umma uliokusomesha?
Bure kabisa huyu mzee.
 
Mzee muombe mama mrudi TZ; hapa nina uhakika utapata kazi nzuri inayoendana na hadhi yako; kuna universities nyingi hapa nchini zitahitaji signature ya contact yako; comeon Dokta; kuuza duka kweli - imefikia hivyo.?
 
Sales Advisor kwa qualification zipi alizonazo Slaa,isije kuwa kafoji vyeti
 
Back
Top Bottom