Ni kweli,afisa mtendaji wa kijiji takehome laki 3.haaaaHili neno officer huwa mnafikiria ni cheo kikubwa sana kumbe hata mlinzi ni officer. Officer ni kuwa na mamlaka ya kitu Fulani mfano security officer ni kuwa yeye ndie anahusika na ulinzi na ukiambiwa sales officer ni kuwa yeye anahusika na mauzo.
Ilikuwa analipwa 12mAs far as I know, Dr. was paid around 8 Million (Tshs)....not so sure.
Aiseeeeee !!!!! Kumbe hata Lipumba kusingiziwa kwamba alipunwa hela na makahaba wa Kigali yaweza kuwa uvumi tu ! Hawa wazee lazima walidhulumiwa , Dr Slaa auze Matikiti kweli jamani ?Hakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
Si matikiti mkuu anauza duka kubwa lililopo CanadaAiseeeeee !!!!! Kumbe hata Lipumba kusingiziwa kwamba alipunwa hela na makahaba wa Kigali yaweza kuwa uvumi tu ! Hawa wazee lazima walidhulumiwa , Dr Slaa auze Matikiti kweli jamani ?
Bora kuosha vyombo kwa wazungu kuliko kuwa mpinzani Wa style ya kinyonga hongera Dk kwa kuamua kuachana siasa uchwara.
Naona una bifu na mzee wa watu. Amekuambia yeye ana kazi (sales advisor na siyo sales manager) na pia anafanya consultancy. Mke wake ana scholarship na watoto wanasomeshwa na serikali ya Canada. Kutokana na hayo ameweza kununua gari mbili (Jeep na Dodge). Sasa sioni hapo anatamba na nini. Watanzania mlishasema amehongwa mamilion na CCM-watu wa magazetti wamempiga interview na kaonyesha anavyo fanya kazi na umuhimu wa kazi ukitaka kuishi vizuri ndugu yangu wasema anatamba. Kuishi nje sio wewe peke yako. Kama una ushahidi Dr. anadanganya au kafulia uweke hapa, sasa kama gari ni common kuna tatizo gani?
Eti "Managing Director" wa frame la Duka Canada! Hahahaha..Sina mbavu 🙂🙂🙂...Hahahahahaa! Punguza ukali wa nenoz! Sema amekuwa "Mkurugenzi mtendaji" wa duka!
Gazeti ndo limefanya nae mazungumzo-kwa hiyo ulitaka asijibu maswali yao? Sioni hata mahali alipojisifia-sioni lugha hiyo kwenye majibu yake....we sasa mbona unashupaa kumtetea babu...au we ndie yeye....kuwa Na Gari ni common sana Canada Na kwingine nje....ndio maana nasema washamba ndio wanaosema.....yani leo mtu alikuwa mgombea urais kwenye chama kikubwa leo anajisifia kufanya supermarket nje!!!huku kama si kufukia ni nini!...yani ni sawa Na umwone Hashim rungwe leo kuniambia kwenye mtandao kuwa amenunua gari..hata kama ni mpya anapoiongelea tu lazima watu wamshangae...maana kumiliki Gari kwa status yake ni kitu kidogo mno..kuna vitu ukifika level flani huvizungumzii....maana vinatakiwa uwe navyo....Na watu watakushangaa kama huna....
Gazeti ndo limefanya nae mazungumzo-kwa hiyo ulitaka asijibu maswali yao? Sioni hata mahali alipojisifia-sioni lugha hiyo kwenye majibu yake.