Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Dk. Slaa aajiriwa supermarket

Ni kweli kabisa, mshahara wake ni mkubwa sana ukilinganisha na mshahara wa mtu wa nafasi kikazi kama yeye kwa nchi za Afrika. Lakini kumbuka kuwa, kule maisha ni a ghali sana. The more you earn the more you're forced to pay.
True bro Kumbuka kuwa kwa nchi Kama canada hawezi fanya kazi moja, utakuta anafanya kazi zaidi ya moja!!! So he makes a lot of money

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Angerudi bongo na kufungua kanisa lake akaanzisha ligi na Gwajima ya kuchanganya dini na siasa mbona angekuwa tajiri
 
True bro Kumbuka kuwa kwa nchi Kama canada hawezi fanya kazi moja, utakuta anafanya kazi zaidi ya moja!!! So he makes a lot of money

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Age yake hairuhusu kazi nyingi bro. Actualy ningekua yeye ningerudi mbulu nikapumzika tu. Kuishi ulaye na umri wake ni very frustrating. Hapa ccm wangempa ujumbe wa bodi and so forth maisha yangeendrlea.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
50bil ishakata? Angebaki hapa halafu akajenga kiwanda cha hizo bidhaa za majumbani si angefanya exportation mpaka huko Canada kwenye hiyo min supermarket? 50bil si haba hasa kwa MTU wa rika lile.
walimtapeli, kama lipumba, nani ampe 50bil wakati huku hata mishahara ya wajeda ni issue??
 
Hacha kupotosha uma. Ameajiriwa kama Sales Officer au kwa kiswahili ni Afisa Mauzo.
Hili neno officer huwa mnafikiria ni cheo kikubwa sana kumbe hata mlinzi ni officer. Officer ni kuwa na mamlaka ya kitu Fulani mfano security officer ni kuwa yeye ndie anahusika na ulinzi na ukiambiwa sales officer ni kuwa yeye anahusika na mauzo.
 
Back
Top Bottom