Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,165
- 103,459
Hahahahahaa! Punguza ukali wa nenoz! Sema amekuwa "Mkurugenzi mtendaji" wa duka!Kwa kiswahili fasaha, Dr.Slaa ameajiriwa kuuza duka la mtu huko Canada. Ni muuza duka.
Hongera Dr.Slaa.