the Dr!. the shopkeeper???ccm watu wabaya sana yaani wamemdhalilisha huyu mzee huko ughaibuni. walimuahidi kumtumia mzigo wa matumizi kila baada ya miezi mitatu. nasikia siku hizi wamekata huduma rasimiHacha kupotosha uma. Ameajiriwa kama Sales Officer au kwa kiswahili ni Afisa Mauzo.
kwa maana ya mbowe,sefu na yule jusha ladhu unamaanisha hivyo!![]()
![]()
![]()
mmemfanya kitu kibaya sana mjue... Mungu anawaona
Hapana namaanisha ccmkwa maana ya mbowe,sefu na yule jusha ladhu unamaanisha hivyo!
AENDE ROMA ATUBU.??? huko roma ndo MUNGU aliko amaAmechoka kushindia mihogo, aende Roma atubu arudie upadre then akafundishe seminari anaweza kuwa mwalimu mzuri sana wa Theology
Ndo kusema alinunuliwa kama wale,arudi kinyumenyume tu kuongeza nguvu.Hakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
Unaijua billioni 50 ?50bil ishakata? Angebaki hapa halafu akajenga kiwanda cha hizo bidhaa za majumbani si angefanya exportation mpaka huko Canada kwenye hiyo min supermarket? 50bil si haba hasa kwa MTU wa rika lile.
Zile bilion 7 zimeshaisha?Gazeti la mtanzania limezungumza na Dr slaa ambaye kwa sasa anafanya kazi kama afisa mwandamizi katika supermarket huko nchini Canada! Dr slaa pia kaeleza kuwa ili uishi canada lazima ufanye kazi zaidi ya NNE!
SOURCE: MTANZANIA.
Ha haha, jamaniKwa vyovyote vile Dr.Slaa huenda atakuwa ameshinikizwa na mkewe kufanya hiyo kazi. Yule mkewe sio wa mchezo mchezo aisee, sijui kamlisha nini yule mzee?
Na unaweza kushangaa mkewe ametulia zake ndani bila kazi huku akitafuna mkwanja wa jasho la Dr.Slaa bila huruma.
Mshumbusi Mungu anakuona aisee!
Sio kweli ingia google ni mishahara ya kawaida tu sema wenzetu wananidhamu ya Pesa hakuna kupigana mizinga kila MTU upambana na hali yake kule, hivo wanabaki na saving sio nil kama kwetu.Hivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?
Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....