CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 854
- Thread starter
- #321
Watu wengi wanapiga kelele tu, lakini hawajui hata COSTCO ni mdudu gani. Hivi kweli kwa wanaoifahamu COSTCO wanaweza ilinganisha na NAKUMAT, Imalaseko na viduka vya kibongo kweli? Unaposema COSTCO unazungumzia the largest American membership-only warehouse club. It is the second largest retailer in the world after Walmart. Yaani kama ingekuwa ijengwe pale Mlimani City, inakusanya kale kajengo kote na eneo lote linakuwa na duka moja - hapa nazungumzia mpaka vile vibanda/nyumba zilizopangishwa. Si kwamba wanauza bidhaa za nyumbani tu, huu ni udhalilisha kama si upotoshaji usio na maana, wanauza mpaka mafuta ya magari - Petrol Filling Stations, matairi ya magari na vifaa mbalimbali vikiwemo vya ujenzi, huduma za upimaji wa macho na miwani pia huduma za masikio - audiology dept. Kuna wafanyibiashara wengi yakiwemo mahoteli yanajiendesha kwa kutegemea bidhaa zinazouzwa COSTCO. Kifupi wanakwenda COSTCO kufunga mzigo wa kuuza kwenye maduka na mahoteli yao.
Kuhusu mishahara, wanalipa vizuri kuliko supermarkets zozote unazozijua humu duniani. Hii ni policy yao uliza mfanyakazi yeyote aliye kwenye Retail or Wholesale industry atakwambia juu ya COSTCO iwe ni USA, CANADA, UK na hata Japan. Kwa hiyo kwa Dr Slaa kufanya kazi huko, si kwamba ka-lost, hapana ni maamuzi yake kuamua kuishi kwa namna hiyo. Nina uhakika kwa ngazi aliyopo Sales Advisor, atakuwa analipwa hela nzuri kwa fortnightly - kila wiki mbili kuliko hata Full-time lecturer wa Tanzania. Na kwa usawa huu wa Magufuli, wabongo wengi tunaisoma namba. Pia pamoja na mapungufu yake ya kisiasa, nina uhakika huko aliko atakuwa anakula good times kuliko wabongo wengi na viongozi wa kisiasa waliobaki Bongo. Job security nzuri, social services za uhakika, hakuna mizingwe ya mshahara, na bado usafiri na mazagi zagi mengine ya kumwaga. Mwacheni Mzee wa watu amalizie siku zake kwa amani huko aliko!
View attachment 628021
COSTCO Gasoline station
View attachment 628018
View attachment 628019
Kwa sifa ulizozianisha kuhusu hiyo supermarket, na kwa mshahara wanaomlipa mzee wetu, kwa kweli wanamnyonya. Hao wamiliki ni wanyonyaji kuliko maelezo, yaani supermarket ya pili kwa ukubwa huko ulikotaja halafu wamlipe mshahara sawa na milioni 11 za Kitanzania? Dah...heri mzee sasa afikirie kurudi nyumbani.
