cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,631
Sawa kabisa, muuza Chips mwenye PhD ya maganda ya viazi.Ni km kuendesha mgahawa wa chipss??
Sawa kabisa, muuza Chips mwenye PhD ya maganda ya viazi.Ni km kuendesha mgahawa wa chipss??
Sasa iliwahaidi wananchi nini? Acha Dias's tunapokuja kwenye maswala ya kitaifaTuendelee kuwa wachambuzi wakati wakenya na wahindi wanamiminika kuja kuanzisha viwanda. Hayo yote unayoyadai yanapaswa kufanywa na sekta binafsi kwani serikali ilijiondoa kwenye uzalishaji baada ya kuridhia SAP. Usitegemee serikali iwe na kiwanda chake kwa sasa.
Mwenda wazimu ni wewe usiye nijua na unafikiri watu wote ni ma chizi kama wewe. ..if you think education is expensive try ignorance. .SO STAY!Mkuu unamiliki kiwanda gani hapo kwako? Acha uchizi wewe ngoja na wachina waje wagome kuleta viwanda 200 vilivyoadiwa tutakimbilia wapi maana nishati tu shida mnakera kishenzi
Ningekuwa rais ningeteuwa mpaka 2025.Mmmh! Interesting.
Amebakiza chances ngapi za kuteua katika kumi alizopewa?
Ww ndo hamnazo kabisaa,yaan ujiendeshee nchi utakavyo? Mbona kwa Tanzania rais anaapa kuilinda katiba ya jamhuri nini maana yake? Tumia kichwa kufikiri usitumie tumboKila anyeombea urais anataka na ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake popote pale ulimwenguni acheni kudanganyana na videmokrasia vyenu vya darasa la nne!
Kilikuwa kipind kile watu hawajaelimika now watu wapo vzur kichwaniLabda tusaidiane kidogo. Bush aliposema Sadam ana silaha za nyuklia alikosea au hakukosea. Mwinyi alipompandisha Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu, alikosea hakukosea. Mkapa aliponzisha kampuni ilikiwa na anuani ya Ikulu alikosea hakukosea. Mseveni anapopandisha na kuwapa madaraka mkewe na watoto wake anakisea hakosei. Kibaki alipojiapisha ikulu harakaharaka baada ya kugeuza matokeo ya kura je.
Ukimaliza hayo na mengine meeengi, laumu hili.
Freedom of expressionUkiwa na kiongozi anaevunja katiba mjue hapo amna kiongozi.
Hizi shule mlienda kusomea nini?msomi hawezi kuja na hoja ya namna hiyo!!!!!!!Asii elimu yetu iko katika kiwango chini,hasa hii ya kipindi cha 2000_nakuendelea hadi sasa ni aibu.Kutokana na swali la mtoa mada nami naomba niunganishe na hili ''kama umekula ugali kwa dagaa na baada ya dakika 10 ukatapika'' vipi historia itabadilika kuwa hukula eti kwa sababu tu ya kutapika kwako????
Au tukijikumbusha na kujiuliza Dr Posi aliupata vipi ubunge wake tutajibu vipi??
HISTORY NEVER CHANGE
Acha upuudhi wewe, kujiudhulu Kwa mbunge wa kuteuliwa na rais kupitia nafasi 10 za rais hakufuti namba za uteuzi.Kama KAJIUZURU hapo sawa
Lkn ile ya jana kama kawa balozi haikuwa na nguvu kisheria
Sasa ina maana kateua wanaume 5 na watani LZM wawe wanawake
Nimekaa nimejiuliza siku zote ubunge ni cheo kikubwa kuliko ubalozi..Obviously inapungua. Ila kama ataendelea kuteua, itabidi sasa wawe kinamama tena wasiozidi watatu.
Hawa jamaa walichemka ila sasa wanazidi kutia aibu. Huyu Possi kaambiwa ang'oke tu ili kuficha aibu na sio eti "itakuwa uroho kung'ang'ania ubunge"
Muungwana Akivuliwa Mguo Huchutama
By Mjomba Mrisho Mpoto
Ibara ya 66Kifungu kipi cha katiba kilichovunjwa?
Hii ndio hoja ya msingi.Possi anapoteza ubunge wake kwa sababu ya ama ushauri mbaya au kutokuielewa vizuri katiba..hata Possi nae ni msomi wa sheria!
Kama Bulembo na Prof kabudi watakula kiapo cha ubunge bado masharti ya ibara ya 66(1)(e) yatakuwa yamekiukwa kwasababu kujiuzulu kwake hakuondoi ukweli kwamba alipata kuteuliwa kuwa mbunge na kufikisha idadi ya wateule nane..sita wanaume na wawili wanawake..
Hata Edward lowassa alijiuzulu lakini hauoni historia ikimuacha kumuweka katika idadi ya waliopata kuwa mawaziri wakuu!
Njia pekee ya kumaliza makosa haya ni mteule mmoja kutokula kiapo cha ubunge..si vinginevyo!
Huu ndio ukweli mchungu.Sasa idadi itapunguaje ?
Haiwezi kupungua, mpaka sasa Rais ameshateua wabunge 8.