Noo ameteua wanaume sita ila mmoja kajiuzuru....achen kufagilia ujinga!!inamaana yy alikua hajui katiba inamruhusu kufanya nn, na kwann asiulize wale maprofesa na madactar wa sheria waliomzunguruka ikulu au alijua uongoza nchi nisawa nakuongoza familia....fyuuuKama KAJIUZURU hapo sawa
Lkn ile ya jana kama kawa balozi haikuwa na nguvu kisheria
Sasa ina maana kateua wanaume 5 na watani LZM wawe wanawake
Ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake??? Sasa waliapa na katiba kwa ajili gani?? Na katiba ipo kwa ajili gani kma inaendeshwa kwa utashi wake jinsi anavyojiskia???Kila anyeombea urais anataka na ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake popote pale ulimwenguni acheni kudanganyana na videmokrasia vyenu vya darasa la nne!
Katiba inaruhusu kuteua tu.Ningekuwa rais ningeteuwa mpaka 2025.
Teuwa, tengua ndio mtindo wa kisasa.
Hahahaa....utawala wa mwendokasi!!Ibara ya 66
Hata hivyo kusahihisha kosa haifuti historia kuwa ulikosea. Hapa ilitakiwa hili la Possi kujiudhuli lifanyike kabla ya Kabudi na Bulembo kuteuliwa.
Yani unafunga Mkanda baada ya Gari kupata ajali!!?
Hii ndio hoja ya msingi.
Pamoja na Possi kujiuzulu lakini rais alishakiuka katiba kabla. Inawezekana amejizulu kunusuru hali lakini kama nchi tunamwomba mh. rais awe makini anapofanya maamuzi yoyote. Ni vema akawa anairejea katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea akiwa ameshikilia biblia takatifu.Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo: Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Rais akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu nyingine yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge waliokwisha teuliwa na Rais inapungua au inabaki pale pale?
Mkuu with due respect, naona wewe ndiyo umejitoa ufahamu. Rais kapewa nafasi 10 za kuteua wabunge katika muhula wake wa miaka 5. Nafasi 10 tu!Acheni kujitoa ufahamu! Kwani mbunge wa jimbo akijiuzulu kipindi kama hiki inakuwaje? Je jimbo lake litabaki wazi hadi 2020?
Mkuu Congo arguments zako hazina mashiko. Hayo unayoyaita "makosa" si ya kikatiba sana sana ni ya kimaadili zaidi na kufanya mambo kinyume na utaratibu tu. Tukubaliane kuwa Mambo yakifanywa kinyume na katiba,hiyo ni issue very serious na inahitaji mjadala mpana ili kurekebisha hali hiyo kwa maslahi mapana ya nchi. Kuna Wakati Mwalimu Nyerere alimteua Chediel Mgonja kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara huku akiwa amehukumiwa na Mahakama Kuu kuwa asishiriki kwenye uongozi kwa muda wa miaka mitano (5). Nakumbuka Joseph S. Warioba akiwa mwanasheria mkuu wa Serikali alimfuata Mwalimu na kumweleza "Mwalimu umekiuka Katiba"! na Mwalimu Nyerere akakubali yaishe akatengua uteuzi huo. Hivyo hisia za kukiukwa kwa katiba ya nchi ni kitu cha kukitilia maanani sana ndiyo maana Viongozi wanaaswa kila siku kufanya mambo kwa busara kwa kuzingatia Katiba ya Nchi, vinginevyo nchi itakuwa, "Banana Republic".Labda tusaidiane kidogo. Bush aliposema Sadam ana silaha za nyuklia alikosea au hakukosea. Mwinyi alipompandisha Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu, alikosea hakukosea. Mkapa aliponzisha kampuni ilikiwa na anuani ya Ikulu alikosea hakukosea. Mseveni anapopandisha na kuwapa madaraka mkewe na watoto wake anakisea hakosei. Kibaki alipojiapisha ikulu harakaharaka baada ya kugeuza matokeo ya kura je.
Ukimaliza hayo na mengine meeengi, laumu hili.
Hata hivyo kusahihisha kosa haifuti historia kuwa ulikosea. Hapa ilitakiwa hili la Possi kujiudhuli lifanyike kabla ya Kabudi na Bulembo kuteuliwa...
Kitendo cha Dr Possi kujiuzulu ubunge hakiondoi kosa la Rais kuteua wabunge 6 wanaume! Kosa litaondoka endapo tu Rais atampiga chini mmoja wa wabunge wawili wapya kabla hawajaapishwa Bungeni Dodoma.Kama KAJIUZURU hapo sawa
Lkn ile ya jana kama kawa balozi haikuwa na nguvu kisheria
Sasa ina maana kateua wanaume 5 na watani LZM wawe wanawake
Nadhani tukisoma Ibara ya 66(1) bila kuathiri ibara ya 71(1)(a-g)Kitendo cha Dr Possi kujiuzulu ubunge hakiondoi kosa la Rais kuteua wabunge 6 wanaume! Kosa litaondoka endapo tu Rais atampiga chini mmoja wa wabunge wawili wapya kabla hawajaapishwa Bungeni Dodoma.
Ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake??? Sasa waliapa na katiba kwa ajili gani?? Na katiba ipo kwa ajili gani kma inaendeshwa kwa utashi wake jinsi anavyojiskia???
We jamaa unazidi kujidharaulisha kila unapocomment irrelevance ur the reason hta jukwaa la uchaguzi siendi tena..... unakera sana we jamaaa i pity ur kids
Lazima tukubali makosa tu, hakuna namna!
Ww ndo hamnazo kabisaa,yaan ujiendeshee nchi utakavyo? Mbona kwa Tanzania rais anaapa kuilinda katiba ya jamhuri nini maana yake? Tumia kichwa kufikiri usitumie tumbo
Ndezi wewe waliyekuwe nyuma ya mlango kwa kujiona mzalendo katuni,nna elimu yangu ambayo inanifanya niishe nitakavyo ujinga wenu wa buku 7 na ufipa peleka kwenye Nyashimo msengerema weweMwenda wazimu ni wewe usiye nijua na unafikiri watu wote ni ma chizi kama wewe. ..if you think education is expensive try ignorance. .SO STAY!
Unisaidie mmi?? Mtu mwenyewe mwepesi kichwani hivi hta swali dogo tu kuhusu katiba tukabishana wiki nzima hujibu hoja kazi kujadili ndoa ya mbowe nilikudharau sana toka kipindi kile sikutaka hta kuquote leo sema UNABOA sana i found myself replyin.... anyway acha niendelee kifungwa akili na minyororo huku nyie mnaofkiri tofuati muendelee kuaminshwa dunia "inavyoendeshwa".... yaani jitu zima kma wwe unaamini hizo conspirancy?? shame on u and i still pity ur kidsDunia hii inaendeshwa na watu wachache sana. Na pia watu wachache werevu wanafahamu dunia hii inaendeshwaje, watu wengi wajinga hawajui dunia hii inaendeshwaje lakini wao wanaamini wanavyojuaa wao ndivyo dunia ndivyo inavyoendeshwa. Kaa hivyo hivyo, niliamua kukusaidia uanze kufikiri tofauti kumbe umefungwa na minyororo ya chuma, Marehemu Bob Marley aliita mental slave!