ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Nawaeleza kila siku humu ndani. ..acheni ubishi tufanye biashara. .bali wao ni kulalamika na maandishi marefu na points zisizo leta mkate mezani. ...mitusi kibao. ..Tuendelee kuwa wachambuzi wakati wakenya na wahindi wanamiminika kuja kuanzisha viwanda. Hayo yote unayoyadai yanapaswa kufanywa na sekta binafsi kwani serikali ilijiondoa kwenye uzalishaji baada ya kuridhia SAP. Usitegemee serikali iwe na kiwanda chake kwa sasa.

