johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,522
Kwa mujibu wa Mwakyembe ni kwamba Possi alipoteuliwa tu ubalozi na ubunge wake ulikoma palepale.Sasa anaanzaje tena kujiuzulu?Aseme tu ameandika barua ya kuliaga bunge maana haingii tena bungeni.Alipaswa aseme hivi..
"Nimelazimishwa kujiuzuru ili rais atimize matakwa yake ya kikatiba"