Dk. Possi: Nimejiuzulu

Dk. Possi: Nimejiuzulu

Acheni kujitoa ufahamu! Kwani mbunge wa jimbo akijiuzulu kipindi kama hiki inakuwaje? Je jimbo lake litabaki wazi hadi 2020?
Sasa hapo nani kajitoa ufahamu wewe usiyejua unachochangia au wenzako wanao tema madini?
 
Hii serikali bwana kila siku ni teuzi nakumbuka mwaka uliopita Mourinho nusu aishushe daraja chelsea kwa sababu hana kikosi maalumu cha first eleven (hakujipanga)

Pamoja na pangua yote hiyo sijaona dalili za viwanda kama kuwa train watu(human capital) wala kufanyia utafiti wa masoko na viwanda vya bidhaa zinazohitajika na ni wapi?
Anatumia tight monetary policy ila inapingana na kanuni cha uchumi inflation iko juu na exchange rate na dolla inazidi kupanda (nina wasiwasi BOT hamna nyakati mbaya ambazo wamepitia kuingilia uhuru wao kama hizi) haiji akilini kwenye nchi changa kama yetu utoe amri ya billions of money zitumike kufanyia kitu fulani ukiwa jukwaani
Conclusion-nchi inaendeshwa sana na utashi wa mtu
Kwa Afrika siasa sio maendeleo na ndio maana mtu yeyote asiye na sifa za uongozi na utawala anaweza kuwekwa akawa kiongozi na mtawala ili mradi tu kuonekane kuna kiongozi wakati hayupo. Watu kama hao uwepo wao ni sawa na kutokuwepo. Mbaya zaidi ni kwamba Afrika watu wanashinda kwa wizi wa kura na wananchi hawana uwezo wa kuchagua kiongozi hata kama wanapiga kura.

Jammeh must go.
 
Hii serikali bwana kila siku ni teuzi nakumbuka mwaka uliopita Mourinho nusu aishushe daraja chelsea kwa sababu hana kikosi maalumu cha first eleven (hakujipanga)

Pamoja na pangua yote hiyo sijaona dalili za viwanda kama kuwa train watu(human capital) wala kufanyia utafiti wa masoko na viwanda vya bidhaa zinazohitajika na ni wapi?
Anatumia tight monetary policy ila inapingana na kanuni cha uchumi inflation iko juu na exchange rate na dolla inazidi kupanda (nina wasiwasi BOT hamna nyakati mbaya ambazo wamepitia kuingilia uhuru wao kama hizi) haiji akilini kwenye nchi changa kama yetu utoe amri ya billions of money zitumike kufanyia kitu fulani ukiwa jukwaani
Conclusion-nchi inaendeshwa sana na utashi wa mtu

Ni km kuendesha mgahawa wa chipss??
 
We usijidanganye huwezi kuwa na viwanda bila biashara (masoko),viwanda lazima vi integrate kilimo nishati etc huwezi kuzungumzia viwanda huku umejifungia ndani the issue inahitaji dimensions nyingi sana labda unazungumzia viwanda vya matofali
Tuna kiwanda cha chaki kule simiyu
 
Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......

Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........

Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................

Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Mkuu kama kuna mtaalamu wa katiba atusaidie, asiegemee upande wowote.
cc Paschal Mayala
 
Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.

Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.

Chanzo:Mtanzania

Swali:

Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Mmmh! Interesting.

Amebakiza chances ngapi za kuteua katika kumi alizopewa?
 
Ni Kama kakataa uteuzi hivyo idadi itapungua.
Uteuzi upi mkuu wa ubunge au wa ubalozi,,,,,huyo hapo hajakataa hata mmoja ila anakula pensheni kwa namna tofauti2 amepiga kwenye ubunge na sasa kwenye huo ubalozi
 
Kila anyeombea urais anataka na ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake popote pale ulimwenguni acheni kudanganyana na videmokrasia vyenu vya darasa la nne!
Rais anaapa kuilinda na kuitetea katiba. Nchi haiendeshwi kwa utashi wa rais bali kwa mujibu wa sheria.. Ikiendeshwa kwa utashi wa rais ni udikteta.
Ukisema popote ulimwengu unajidanganya au kwa kujua au kutojua. Kwa arguments zako inaonekana wewe ndiye darasa la 4. Acha GT wajadili.
 
Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......

Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........

Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................

Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
He heeeeeee Magamba hoyeeeee
 
Kazi ipo kuna watu wamesimamisha masikio kutetea pumba inaonesha katiba yetu imeandikwa kirumi ndiyo maana kuna watu wanashindwa kuisoma au ni ndefu sana kwa nini tusiifupishe ikawa hata na ukurasa mmoja tu ili hata wavivu wa kusoma wapate kuisoma?
 
Back
Top Bottom