Dk. Possi: Nimejiuzulu

Dk. Possi: Nimejiuzulu

Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......

Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........

Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................

Naomba Mungu Kuingilia kati miujiza Yake iongoze hii nchi......
Kilaaza?
 
Weka hapa kifungu kilichovunjwa kma ambavyo tuliweka hapa kifungu alichovunja magufuli kwa tafsiri ya kiingereza..... nasubiri
6.3.1 Utaratibu wa Uchaguzi
(a) Uchaguzi wa viongozi utazingatia taratibu na sifa za uongozi kama zilivyofafanuliwa katika kanuni za Chama.
(b) Maombi ya uongozi yatafanywa kwa maandishi kwa kujaza fomu maalum zilizoidhinishwa na Baraza Kuu la Chama.
(c) Majina ya wagombea wote wenye sifa zilizotakiwa yatapigiwa kura za siri na kikao kinachohusika na mshindi atapatikana kwa uwingi wa kura usiopungua 50% ya wapiga kura halali waliohudhuria kikao cha uchaguzi.
(d) Uchaguzi wa viongozi wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee utafanyika kwa kuzingatia Ibara hii ya Katiba.
(e) Ikiwa katika chaguzi za chama kura za wagombea zinalingana Mwenyekiti atakuwa na kura ya turufu.

Kwa haraka tu hapo Mbowe amekiuka vifungu (c) na (e) ambavyo vyote vinaonesha kuwa mgombea anatakiwa awe zaidi ya mmoja,laki ni pia kifungu (c) kinapata nguvu zaidi baada ya Mchungaji msigwa kushindwa kuvuka asilimia 50% huku akiwa ni mgombea pekee.
Pia sijaona popote pale kwenye katiba yenu panasema kuwa Mbowe anatakiwa kuwa returning officer!kwa maana ya kuteua watu na kuusimamia yeye uchaguzi kama alivyofanya Mbeya na sasa mnamuacha anaendelea kusigina katiba huko kanda ya ziwa.Viongozi wa kitaifa kazi yao ni kutoa hotuba za ufunguzi tu na sio kujipa kazi ya kuteua na kufuta watu asiowataka.
Kwa hali hii ikiachwa na chadema wakibahatisha kupata dola,chadema watagonga nyumba za watu na kuondoka na wake za watu bila ya kuulizwa
 
Samahani sintokupa jibu la moja kwa moja kama nakubaliana nae au sikubaliani nae. Kwangu ni ndio nakubaliana nae na hapana sikubaliani. Nakubaliana nae kwa kuwa wenzetu walituangusha na kutusaliti wakati tulipokuwa tukiiidai na kuhatarisha maisha yetu.Hali ya siasa haikuwa kama hivi ilivyo leo japo vijana bado mnalalamika, hali ime improve sana. Sikubaliani nae kama vitu vingine vingekuwa constant, tungekuwa na wapinzani wa kweli na umma ulioelimika na unaowajibika vilivyo na mchakato wa katiba ungekuwa unafuta taratibu za utungaji katiba sio huu wa bunge maalum la ktaiba la kuchukua wabunge wote na watu kadhaa wengine kwa utashi wa rais kutunga katiba. Huko ni kutwanga maji kwenye kinu, yaani ni kutagemea mtu wa ccm ayakane maslahi yake na lengo la chama chake ambalo ni kushika madaraka. Hilo haliwezi kutokea!

Kusema pia uko katikati sikuelewi mkuu maana my question was so specific kuwa unakubaliana na kauli ya kuwa "acha ninyooshe nchi kwanza" ni sawa???
Irrespective ya mchakato ulikuaje au utakuaje je ni sawa rais kutoa kauli kauli kuwa katiba mpya sio muhim??? JIBU HILI
2.) Umesema wenzako walikusaliti am sure unawalenga kina marando and company ila nikuulize katiba ni ya wananchi au wanasiasa?? Kma ni ya wananchi kwanini mzigo uubebeshe vyama vya upinzani sio wananchi??

Pia una doubt vp elimu ya watanznaia na wakati literacy level ya mwaka 92 na sahivi imekuwa zaidi na elimu imeongezeka tofauti na miaka yenu je ni elimu gani unayotaka ambayo inatosha wananchi kudai katiba mpya?? Mbona walitoa maoni mazito yaliopelekea rasimu ya warioba kuwa ya kipekee sana je elimu gani unataka??

Pia kuhusu mchakato nani aliesema watu wanang'ang'ania mfumo wa bunge la katiba?? Na wakati juzi tu hapa lowasa katoa ushauri kuwa mchakato usihusishe wanasiasa rather uhusishe wataalam wasio na upande that means mawazo mapya yaliletwa je bado hutaki katiba mpya inhawa mawazo mapya kma haya yameletwa???

Hayo ya mchakato yanaweza badilishwa, coz sio constant au stagnant sasa nakuuliza je bado hakuna haja ya katiba mpya ???
 
6.3.1 Utaratibu wa Uchaguzi
(a) Uchaguzi wa viongozi utazingatia taratibu na sifa za uongozi kama zilivyofafanuliwa katika kanuni za Chama.
(b) Maombi ya uongozi yatafanywa kwa maandishi kwa kujaza fomu maalum zilizoidhinishwa na Baraza Kuu la Chama.
(c) Majina ya wagombea wote wenye sifa zilizotakiwa yatapigiwa kura za siri na kikao kinachohusika na mshindi atapatikana kwa uwingi wa kura usiopungua 50% ya wapiga kura halali waliohudhuria kikao cha uchaguzi.
(d) Uchaguzi wa viongozi wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee utafanyika kwa kuzingatia Ibara hii ya Katiba.
(e) Ikiwa katika chaguzi za chama kura za wagombea zinalingana Mwenyekiti atakuwa na kura ya turufu.

Kwa haraka tu hapo Mbowe amekiuka vifungu (c) na (e) ambavyo vyote vinaonesha kuwa mgombea anatakiwa awe zaidi ya mmoja,laki ni pia kifungu (c) kinapata nguvu zaidi baada ya Mchungaji msigwa kushindwa kuvuka asilimia 50% huku akiwa ni mgombea pekee.
Pia sijaona popote pale kwenye katiba yenu panasema kuwa Mbowe anatakiwa kuwa returning officer!kwa maana ya kuteua watu na kuusimamia yeye uchaguzi kama alivyofanya Mbeya na sasa mnamuacha anaendelea kusigina katiba huko kanda ya ziwa.Viongozi wa kitaifa kazi yao ni kutoa hotuba za ufunguzi tu na sio kujipa kazi ya kuteua na kufuta watu asiowataka.
Kwa hali hii ikiachwa na chadema wakibahatisha kupata dola,chadema watagonga nyumba za watu na kuondoka na wake za watu bila ya kuulizwa
Kumbe mgombea akijitokeza mmoja mmekiuka katiba??? Sasa kura za ndio au hapana huwa zinaletwa kwa msingi upi?? Hazipogo kikatiba??
Anyway back to topic mnyika alishaelezea hili kuwa kabla ya kikao walimuita sosopi wakaongea naye ajitoe ili chama kisigawanyike sasa mbiwe kamkataje?? That means angekataa angegombea kwa lazima ila alikubali na akaridhia ndo akajitoa sasa iweje wewe useme alikatwa na mbowe wakati kina mnyika na uongozi wa kanda kwenye kumashawishi sosopi ajitoe walikuwepo...... y specifically umseme mbowe sio mnyika au mwambigija???
 
Washauri wa serikali walikuwa wapi AG wa serikali kazi yake ni nini? Bila watu kupiga kelele kwenye social media hili lingefanyika kabisa raisi anashindwa kuheshimu katiba ambayo aliapa nayo.
Msema kweli ni mpenzi naona gizani mbeleni kwa miaka 4 huko mbeleni.
 
Kumbe mgombea akijitokeza mmoja mmekiuka katiba??? Sasa kura za ndio au hapana huwa zinaletwa kwa msingi upi?? Hazipogo kikatiba??
Anyway back to topic mnyika alishaelezea hili kuwa kabla ya kikao walimuita sosopi wakaongea naye ajitoe ili chama kisigawanyike sasa mbiwe kamkataje?? That means angekataa angegombea kwa lazima ila alikubali na akaridhia ndo akajitoa sasa iweje wewe useme alikatwa na mbowe wakati kina mnyika na uongozi wa kanda kwenye kumashawishi sosopi ajitoe walikuwepo...... y specifically umseme mbowe sio mnyika au mwambigija???
Mgawanyiko ni suala la kutengenezwa tu.Kwenye chama kinachoamini demokrasia kugawanyika ni suala la kawaida tu.
Mbona huyo Sosopi hakusimama na kutangaza amejitoa?
Ni wapi kwenye katiba yenu panaeleza kuwa mkinusa mgawanyiko,mgombea inabidi aitwe aombwe kujitoa?
Ni wapi kwenye katiba yenu kunaeleza kutakuwa na uchaguzi wa mgombea pekee
 
Mkuu with due respect, naona wewe ndiyo umejitoa ufahamu. Rais kapewa nafasi 10 za kuteua wabunge katika muhula wake wa miaka 5. Nafasi 10 tu!

Ikitokea wamekufa wote 10, au wamejiuzulu wote...Rais hana mamlaka kikatiba ya kuteuwa wabunge mbadala wa waliokufa/waliojiuzulu!
Nipe references ya haya maelezo yako. Kanuni za kujaza nafasi za wabunge maalum ni zile zile sawa na wengine. Labda nikuulize, je baada ya kufariki Regia (rip) nafasi yake iliachwa wazi au la?
 
Kujiuzulu kwa Dr. Possi hakufuti kosa la kuvunjwa kwa katiba alikofanya mkulu
 
Leo katika magazeti Na mitandao ya kijamii nchini nimesoma habari kuwa Mh.Dr.Abdallah Possi ameamua kujiuzulu ubunge Na unaibu waziri (Walemavu).

Na kukubali kuwa Balozi anayesubiri kupangiwa kituo.Hakika nimeshtushwa sana Na kujiuzulu kwake kwani tulitarajia ndiye mtetezi wetu sisi walemavu.

Nilitegemea Mh.Possi angemwomba Mh.Rais wetu ambakize ili aendelee kututumikia sisi walemavu wenzake lakini ameamua kututupa mpaka kuamua kujiuzulu.
 
Akiteuliwa mwingine atawatetea si lazima awe katika kundi hilo.

Wakenya walitegemea makubwa pale Obama alipopata ushindi wa Urais Marekani matokeo yake waliishia kulaumu tu.
 
Amejiuzulu???? Kuna mtanzania anaweza kujiuzulu ubunge kweli??? Sema wametengua uteuzi wake sio kujiuzulu
 
Wewe Mpira wa kona toka lini mwana CCM akawa mtetezi wa wanyonge? Tulikuwa tunamsubiri huyu Dr Possi tuone kama kweli anauchungu na walemavu wenzie.

Sasa amethibitisha kwamba ni mchumia tumbo tu. Tulitegemea abakie nchini kuwasemea walemavu wenzie kumbe ndo hawataki kabisa wenzake. Amewanyanyapaa walemavu wenzake.
 
Mgawanyiko ni suala la kutengenezwa tu.Kwenye chama kinachoamini demokrasia kugawanyika ni suala la kawaida tu.
Mbona huyo Sosopi hakusimama na kutangaza amejitoa?
Ni wapi kwenye katiba yenu panaeleza kuwa mkinusa mgawanyiko,mgombea inabidi aitwe aombwe kujitoa?
Ni wapi kwenye katiba yenu kunaeleza kutakuwa na uchaguzi wa mgombea pekee
We ndio umeleta hoja kuwa katiba imevunjwa ndio nikuulize sasa akitokea mgombea mmoja tu utaratibu gani huwa unatumika??? Je anapitishwa tu au anathibitishwa na kura za ndio na hapana?? Na kma sio ndio na hapana nipe wwe kifungu ambacho kimevunjwa kwa kupiga kura za ndio au hapana??

Mgawanyiko unaweza kuwa umepangwa ndio kwa sababu unakuta kuna makundi yanayosupport pande mbili tofauti yaani msigwa na sosopi kwa hyo akishinda mmoja kuna wenfine watasusa na kutompa ushirikiano kwahyo suluhisho ni kumuweka mmoja au uwatoe wote umlete mpya sasa kwenye mazungumzo wwe hukuwepo iweje useme alikatwa?? Anaridhia tu kutoa jina basi wakija kwenye kikao jina linaletwa moja ili chama kisigawanyike ni sawa na wakati ule wa mbowe na zitto hivi zitto angeshindwa na ile mgogoro wao unafkiri asingeamini kaibiwa?? Wazee waliliona hili wakamfuata zito chama kisigawanyike.

Unasema mgawanyiko kitu cha kawaida hivi kilichopo CUF unafkiri ni kawaida?? Je sosopi angeshinda au viceversa unafkiri kambi nyingine ingemsupport kirahisi si wangeanza lalamika wameonewa and all that?? Afu chadema ingepukutika huko ungesaidia kuijenga tena??? Umeona kilichotkea cuf enzi za marando na mrema?? Usiseme ni kitu cha kawaida ina gharama kubwa sana mkuu usichukulie kirahisi rahisi
 
Hizi shule mlienda kusomea nini?msomi hawezi kuja na hoja ya namna hiyo!!!!!!!Asii elimu yetu iko katika kiwango chini,hasa hii ya kipindi cha 2000_nakuendelea hadi sasa ni aibu.
Ukimaanisha nini hapo mkuu, lete hoja majungu peleka jikoni
 
Kusema pia uko katikati sikuelewi mkuu maana my question was so specific kuwa unakubaliana na kauli ya kuwa "acha ninyooshe nchi kwanza" ni sawa???
Irrespective ya mchakato ulikuaje au utakuaje je ni sawa rais kutoa kauli kauli kuwa katiba mpya sio muhim??? JIBU HILI
2.) Umesema wenzako walikusaliti am sure unawalenga kina marando and company ila nikuulize katiba ni ya wananchi au wanasiasa?? Kma ni ya wananchi kwanini mzigo uubebeshe vyama vya upinzani sio wananchi??

Pia una doubt vp elimu ya watanznaia na wakati literacy level ya mwaka 92 na sahivi imekuwa zaidi na elimu imeongezeka tofauti na miaka yenu je ni elimu gani unayotaka ambayo inatosha wananchi kudai katiba mpya?? Mbona walitoa maoni mazito yaliopelekea rasimu ya warioba kuwa ya kipekee sana je elimu gani unataka??

Pia kuhusu mchakato nani aliesema watu wanang'ang'ania mfumo wa bunge la katiba?? Na wakati juzi tu hapa lowasa katoa ushauri kuwa mchakato usihusishe wanasiasa rather uhusishe wataalam wasio na upande that means mawazo mapya yaliletwa je bado hutaki katiba mpya inhawa mawazo mapya kma haya yameletwa???

Hayo ya mchakato yanaweza badilishwa, coz sio constant au stagnant sasa nakuuliza je bado hakuna haja ya katiba mpya ???

Angalau umenisaidi kukionesha kile ambacho labd mimi ningekisema ningeonekana nina nongwa. Katiba ni ya wananchi si ya chama chochote cha siasa katika nchi yenye wanasiasa waungwana, wazalendo wanaoipenda nchi yao. Katika nchi ambayo wanasiasa wanajali matumbo yao, katiba ni ya kikundi ili waweze aidha kushiriki kula au iwawezeshe kuingia na kukaa madarakani.

Watanzania bado hawajaelimika na bado haijawa jamii yenye kuwajibika. Kuelimika ninakokuzungumzia mimi ni kuwa responsible, kufahamu kuwa mwananchi ndio mwenye nchi, mwenye haki ya kuhoji na kuuwajibisha uongozi. Jamii yenye kufahamu kuwa uchaguzi ni kasehemu kamoja tu ka demokrasia, afahamu kuwa demokrasia ina segmeny nyingine nyingi tu. Hatuna mtanzania anayesimamia uwazi, anayesimamia usikivu, uwajibikaji wa serikali na viongozi. Jamii ambayo haina check and balance institution katika kusimamia mambo muhimu ikidai katiba ni bure kwani bado haitaweza hata kuisimamia hiyo katiba yenyewe.

Jambo muhimu kwa sasa wacha ainyooshe nchi, wacha watu watie akili na adabu, wakitia akili na adabu watayatafuta hayo niliyoyasema hapo juu na hapo tutapata katiba ya maana.

Sipendi kujadili majina ya wanasiasa hasa hawa wanasiasa 'wachumia tumbo' wa nchi hii. Wakati katiba ikidaiwa miaka ya 1990 Lowasa alikuwepo. Lakini kwa vile kwake katiba sio ya wananchi ni ya kikundi akabaki na kikundi chake ili waendelee kutawala. Mchakato wa katiba ulipokuja alikuwepo lakini hakusema kama huo mchakato si sahihi. Kwa nini? Jibu ndio hilo hilo kwake katiba si ya wananchi bali ya kikundi cha watu. Akateuliwa kuwa mbunge katika Bunge la katiba, akakubali uteuzi na akaingia bungeni. Katika kupiga kura sina hakika kama alipiga au la lakini chama chake kilisimamia msimamo wake na kikashinda. Maisha yakaendelea, akaendelea na chama chake na akachukua fomu akiomba nafasi yakugomea urais kupitia chama chake na ofcouse baadae uenyekiti wa chama. Labda alikuwa na dhamira yakurudisha katiba ya wananchi si eti eeenh? Labda. Kilichotokea ni historia!

Swali kwa wanasiasa wengine wa upinzani! Je wao hawakujua kuwa ule mchakato si sahihi? Walilisema hilo kabla? Walipoitwa kuubariki ule mchakato wao walifanyaje? Walikimbilia zile posho au walikataa tangu mwanzo? Nani aitishe mchakato tofauti na huo? CCM? Ili iweje? Waondoke madarakani? Jamani tujitahidi kufikiri jamani!

Mimi nimekuwepo nao hao wapinzani na CCM inawajua uzuri ndio maana hawawasumbui, wanajua na kufahamu udhaifu wao, wanawapa chambo kinono, waroho wanakifuata baadae hao wanavuliwa. Mara nyingi hushtuka wakati wameshapotea na tabia hii haikuanza leo. Katika mazingira haya ya wananchi wanaofichwa ukweli na pande zote za watawala na wapinzani, katika mazingira haya ya kutotaka kuwajibika kwa mwanasiasa yeyote wa tawala wala wa upinzani, kwa kweli tumuache jamaa anyooshe nchi, watu waone umuhmu wa kuambiana ukweli pasipo kuoneana haya, umuhimu wa kuwajibika na tuache kuifanya nchi kijiwe cha Mafioso. Eti ubaya unajadiliana na wema? Wapiga dili duniani kote hawajawahi kuwa marafiki wa kweli wa wananchi, wanajipaka tu poda ya urafiki wa kinafiki. Ukiamua kufumbua macho na ukatazama kwa umakini utaona.
 
Back
Top Bottom