Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

Jamani mwacheni aende huko Mahakamani, kwani sii anaona sh. Bilioni Moja ndio atamaliza kila kitu.. Kwani nani asiyejua kuwa aliandikwa sana wakati wa uchaguzi wa UVCCM mwaka 1998? Kwanza tunamjua ni "FUNDI" na ufundi wenyewe anao mwenyewe wala aendi mahali SCREEN anazo mwenyewe. Nani asiyejua yule dada aliyekuwa tishio kubwa kwake mwaka huo alilala hospitali zaidi ya mwezi? kama sio wazazi wake kuwa na hela lile kombora lilikuwa limchukue.. Nani asiyejua kuwa aliandikwa sana kwenye sakata la kifo cha Amina Chifupa? Nani asiyejua kuwa Amina alikuwa tishio kubwa kwa UVCCM? Mwacheni aende huko Mahakamani tutajua mambo mengi zaidi siku akienda mahakamani. Yeye asiandikwe kwa kuwa ni naibu waziri wa ulinzi au? Mbona wengine wanaandikwa? kama hataki kuandikwa sii akae nyumbani kwake aone kama kuna mtu atamfuata? Amekubali mwenyewe kuwa Public Figure waache watu wamchambue..
 
Msesewe unapotuambia kuwa Nchimbi ni "FUNDI" unamaanisha nini? au ni fundi makanika au muashi? tufafanulie nasi tuelewe ili tunapochangia tujua tunamzungumzia fundi gani!!!!!
 
Jamani mwacheni aende huko Mahakamani, kwani sii anaona sh. Bilioni Moja ndio atamaliza kila kitu.. Kwani nani asiyejua kuwa aliandikwa sana wakati wa uchaguzi wa UVCCM mwaka 1998? Kwanza tunamjua ni "FUNDI" na ufundi wenyewe anao mwenyewe wala aendi mahali SCREEN anazo mwenyewe. Nani asiyejua yule dada aliyekuwa tishio kubwa kwake mwaka huo alilala hospitali zaidi ya mwezi? kama sio wazazi wake kuwa na hela lile kombora lilikuwa limchukue.. Nani asiyejua kuwa aliandikwa sana kwenye sakata la kifo cha Amina Chifupa? Nani asiyejua kuwa Amina alikuwa tishio kubwa kwa UVCCM? Mwacheni aende huko Mahakamani tutajua mambo mengi zaidi siku akienda mahakamani. Yeye asiandikwe kwa kuwa ni naibu waziri wa ulinzi au? Mbona wengine wanaandikwa? kama hataki kuandikwa sii akae nyumbani kwake aone kama kuna mtu atamfuata? Amekubali mwenyewe kuwa Public Figure waache watu wamchambue..

IMANI DHAIFU YA USHIRIKINA HAINA NAFASI KARNE HII,INAKUFAA WEWE NA WASHIRIKINA WENZIO.SWALA LA AMINA ALIACHWA KWA SABABU GANI BADO LINAJIBIKA KWA MAANA ALIEMPA TARAKA BADO YUKO HAI NA MNAJUA HUKO MAHAKANI ATAITWA KAMA SHAHIDI NA HAPO NDIPO MESEJI ZA MAPENZI ZA MH ZITO ZITAFUMULIWA WAZI NA MPAKANJIA.WATU WALINYAMAZA KWA KUWA HAWAKUTAKA YAONGELEWE HAYO MUDA ULE WAKATI AMINA AMEFARIKI.BT NOW MAJONZI YAMEKWISHA NGOJENI MTAONA KESI ITAKAVYOLETA MASHAHIDI,ITAKAVYOLETA MADAKTARI WA LUGALO NA FILE LA NINI KILIMUUA..MTAKUWA WAPOLE.NCHIMBI ANA HAKI YA KUSHITAKI PALE MAANDISHI YANAPOTUMIKA KUMSINGIZIA,MFANO MWANDISHI ANAPOANDIKA KUWA NCHIMBI NI MWASISI WA MAKUNDI NDANI YA CCM,WAKAT HOTUBA YA NYERERE MWAKA 1989 AKIMTAMBULISHA MWINYI ALISEMO"NDG MWINYI NI MPOLE,HANA MAKUNDI..."SASA WAKATI HUO NCHIMBI ALIKUWA NAHISI FORM ONE ALIASISI VIPI HAYO MAKUNDI?ZAIDI YA YOTE NCHIMBI SI WAKWANZA KUTISHIA KWENDA MAHAKAMANI NA IWEJE LEO WATU WAANZE KUMSIHI NA KUMTISHA ATAANGUKA KESI,MWACHENI AENDE,HATA KAMA KUNA MAGAZETI MENGINE YALIANDIKA SHERIA HAISEMI MWENZIO AKIIBA BASI NAWE UNAIBA MRADI WA KWANZA HAKUSHTAKIWA BASI NAWE HUTASHTAKIWA.
 
Achebe, Nakubaliana na wewe kwamba katika mafanikio ya Nchimbi ni pamoja na kuongoza vizuri UVCCM kwa miaka kumi na kufanikiwa kupitisha kanuni mpya ya UVCCM ambayo imelenga kudumisha demokrasia ndani ya UVCCM. Kwa kukusaidia tu, mafanikio yake mengine, tena kwa uchache sana ni kama ifuatavyo;
1. Kushirikiana na Vijana wenzake kudumisha utamaduni wa uungwana ndani ya UVCCM.
2. Kujenga UVCCM yenye viongozi wasomi na wenye ari kujiendeleza kielimu na kitaaluma.
3. Kushirikiana na vijana wenzake kuijengea UVCCM uwezo zaidi wa kiuchumi.
4. Kushirikiana na Vijana wenzake kuelewesha Umma sera za Chama cha Mapinduzi. Ushindi wa CCM ndio kipimo cha kwanza cha mafanikio.
5. Kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa kupitia nafasi zake mbalimbali kama vile, senior officer katika idara ya utumishi kwenye moja ya taasisi za serikali hapa nchini, Mkuu wa wilaya mojawapo hapa nchini n.k
Mambo mengine ambayo yanamuelezea yeye binafsi ni pamoja na upole wake, usikivu na busara alizojaaliwa na mwenyezi Mungu. Kama CHADEMA mtafanikiwa kumpata mtu kama huyu naamini mtakodi helikopta 100 za kufanyia sherehe, mkiruka na kujimwayamwaya angani.
PIA UMESAHAU KUWAAMBIA KUWA NCHIMBI NI KIONGOZI SHUPAVU NA MWENYE MSIMAMO HUSIOYUMBA.PAMOJA NA ZENGWE LOTE LA MZEE MALECELA LA KUMTOA KUWA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA LAKINI ALISHINDWA VIBAYA,ANAO UWEZO WA KUPIGA KAMPENI WA HALI YA JUU NAKUMBUKA MWAKA 1998 AKIGOMBEA KWA MARA YA KWANZA TENA NDIO KWANZA ALIKUWA ANATOKA SHULE,MZEE MNAUYE NA MALECELA WALIPIGA KAMBI DOM KUHAKIKISHA UHAULA ANASHINDA LAKINI BWANA WAPI KIJANA MDOGO TOKA MZUMBE AKAWACHAPA KAMA WAMESIMAMA.MPAKA LEO MALECELA HAAMINI ANABAKI KULIA LIA TU MARA WALIMLOGA IPYANA MARA WALIMPA SUMU ..MBONA HUKUSEMA AFANYIWE POSTMORTEM UKWELI UJULIKANE.KAMA UCHAWI ALIFANYIWA BASI MZEE MWENYEWE ALIKUWA NI FALA KWANI MIAKA YOTE NDANI YA CCM ULIOKAA HUKUJUA KUNA UCHAWI?UNGEMWANDAA MWANAO KWANZA KAMA ULIVYOJILINDA WEWE.AU ILIKUWA NI ZINDIKO LAKE LA URAIS
 
napenda kuamini kwamba mh. nchimbi kama mwanasiasa
wa muda mrefu sasa amezingatia nini faida na madhara
ya mwanasiasa kwenda mahakamani akishitakiana na
magazeti. aidha napenda kuamini kwamba ndimara anajaribu
kumkumbusha aina ya mpambano utakaotokea huko mahakamani
yaani masuala ya wife, vimada na mapato yote yataongelewa.
sasa kazi kwake mh. nchimbi asuke au anyoe.

labda pia timing ya hiyo kesi, kama kweli itakwenda mahakamani,
itakuwa muhimu hususan kuhusiana na mchanganuo wa uchaguzi
wa uvccm.
 
Nchimbi namjua ni mwanasiasa makini sana,hajakuruouka kwenda mahakamani ndio maaana wakati magazeti ya udaku kama Msanii yallipokuwa yakiandika ujinga alinyamaza na sasa likaja gazeti makini kama tanzania daima hapo naona akaamua apatumie kusafisha jina lake na sehemu pekee ambayo ushahidi wa wazi utaanikwa bila hofu ni mahakamani.Napiga taswira pale Mpakanjia atakapokuwa akiieleza mahakama jinsi ambavyo alimkamata Amina na meseji za mh Zito na pale madaktari wa liugalo watakapoeleza sababu za kifo cha Amina.mtaona aibu.NCHIMBI NAKUJUA WEWE NI MPIGANAJI,HUKATI TAMAA NA WALA HUJAWAHI KUBEBWA,PIGANA MPIGANAJI BECOUSE YOU HAVE NOTHING TO LOOSE EXCEPT MAJUNGU WANAYOKUPIGA NA UMBEYA.OUT OF THESE UTAIBUKA UKIWA NA NGUVU ZAIDI NA UTATOA SOMO KWA WAANDISHI UCHWARA WA TANZANIA NA PIA KWA WANASIASA WENZAKO WAACHE WOGA WA KUDAI HAKI ZAO NA WAACHE KUTUMIA TINDIKALI BALI WAENDE MAHAKAMANI,CHOMBO CHA HAKI.SONGA MBELE COMARADE TUKO NYUMA YAKO.
 
Swala la gazeti la ndimara ni lazima lijadiliwe kwa sababu linatuwezesha kujua sera na mtazamo wa mwandishi.ni wazi kuwa kibanda anaandika katika gazeti la mwanahalisi hivyo ni swahiba zake .Binafsi nampongeza sana Nchimbi kwa uamuzi wa busara aliouchukua,yeye kama binadamu anaweza akaona sasa ni wakati muafaka wa sisi wote kujua ukweli wa nini kilitokea badala ya kusoma magazeti tu.Pili ataleta utamaduni mpya kwa wanasiasa kudai haki zao mahakamani pale wanapoonewa na magazeti,magazeti yatajua yanawajibika kutoa habari za kweli na bila kuonea.Nchimbi ata hivyo umekosea,mahakama inachukua muda mrefu sana.watu kama hao ni wa kumwagia tindikali tu.maana hakuna chema kwao.ukidai haki yako mahakamani wanakupinga usiende,nadhani haki aliopewa Ndimara na kubenea ndio wanaoipenda.Mungu awabaliki watesi wa ndimara na kubenea waliowalamba mapanga

Kama kila kitu ni kwa zamu, subiri zamu yenu ya kumwagiwa Tindikali na upupu kwenye makalio.
Sasa hivi bado mna muda wa kutosha endelezeni ubabe.
 
Kama kila kitu ni kwa zamu, subiri zamu yenu ya kumwagiwa Tindikali na upupu kwenye makalio.
Sasa hivi bado mna muda wa kutosha endelezeni ubabe.

Mama yangu mzazi!

nicheke mie mtoto wa jang'ombe.

I am trying to imagine, Rostam Aziz being naked at his toilet then akakalia upupu. Doooo! It will be sweet sorrow.

Eti ehhh nadhani mafisadi wa EPA wakikamatwa wawekewe tindikali na upupu hadharani

Asha
 
Loh, hii kiboko! Ukweli uko hapo hapo. Kama ni mtu wa haki na ni muungwana ni wajibu wako kutetea na kulinda your dignity kwa njia iliyo sahihi na inayokubalika. Kweli kuna ubaya gani Nchimbi kwenda mahakamani kutoa jambo lake? Nampongeza Fisadi Mtoto kwa kuliona hilo. Hatuna haja ya kujishikia sheria mkononi.

...chap chap ! great !
 
Swala la gazeti la ndimara ni lazima lijadiliwe kwa sababu linatuwezesha kujua sera na mtazamo wa mwandishi.ni wazi kuwa kibanda anaandika katika gazeti la mwanahalisi hivyo ni swahiba zake .Binafsi nampongeza sana Nchimbi kwa uamuzi wa busara aliouchukua,yeye kama binadamu anaweza akaona sasa ni wakati muafaka wa sisi wote kujua ukweli wa nini kilitokea badala ya kusoma magazeti tu.Pili ataleta utamaduni mpya kwa wanasiasa kudai haki zao mahakamani pale wanapoonewa na magazeti,magazeti yatajua yanawajibika kutoa habari za kweli na bila kuonea.Nchimbi ata hivyo umekosea,mahakama inachukua muda mrefu sana.watu kama hao ni wa kumwagia tindikali tu.maana hakuna chema kwao.ukidai haki yako mahakamani wanakupinga usiende,nadhani haki aliopewa Ndimara na kubenea ndio wanaoipenda.Mungu awabaliki watesi wa ndimara na kubenea waliowalamba mapanga

.........100/100.........!
 
Ha! Kumbe Ndimara ndio yule aliyekatwa mapanga? Iweje sasa anataka Nchimbi atumie njia za porini kudai haki yake ya kikatiba na inayolindwa kisheria!? Tusichanganyane! Nchimbi, najua wewe ni mpenzi wa JamboForum lakini nakusihi usifuate ushauri huo wa Ndimara maana hamtakii mema mwenzake kubenea. Alimwagiwa jicho moja sasa Ndimara anachochea watu waendelee kumwagiana, akitomwagiwa na jicho la pili? Tutaandikiwa na nani gazetini?

hehee, kada na mie nimecheka hapa !
 
Kama kila kitu ni kwa zamu, subiri zamu yenu ya kumwagiwa Tindikali na upupu kwenye makalio.
Sasa hivi bado mna muda wa kutosha endelezeni ubabe.

Hahahahahah jamani hii kali, Nashindwa kuijmagine Rostam kiwashwa na upupu kwenye makalio ...sasa naomba kuwatakia Pasaka Njema,
 
Ushahidi wa meseji za zito kwenye simu ya Amina {RIP} mahakamani katika nchi ya Tanzania-Dar au Dodoma ambako sim card zinauzwa kama maandazi ya mama ntilie kwa bei ya 500 na hakuna uthibitisho kuwa sim card hiyo ni haswa ya huyo aliyetumia ndio uthibitishe tuhuma za wanasiasa nguli kutoka vyama viwili toafauti tena pinzani katika mahakama tukufu ikisimamiwa na mawakiri makini kutokana na umakini na mvuto wa itakayo kuwa kesi.Huh!!kama ili litafanyika na likathibitishwa mahakamani kuwa mh.Zitto ndie mwenye sms na kuonekana kumtia hatiani au kumhusisha na kashfa basi mwaka huu Dunia inaisha rasmi na kwa wale wakristo ndipo tutamwona Yesu akishuka mawinguni.

Mr.Nchimbi nenda mahakamani tu.Hata mimi nakushauri uwahi haraka ili tujue mengi zaidi.Unafikiri hatujui habari zako???Nenda baba ukaaibike vizuri.Wewe unataka kumuongezea LISSU umaarufu tu kwani lazima atachukua kesi hiyo kumtetea Tanzania Daima na you gonna loose.
Kwani mabomu yako uliyokuwa unatumia zamani kimya kimya kumaliza shida ndogondogo kama hizo siku hizi hayafanyi kazi?? Au umevunja masharti?? Jaribu kwenda na kwao PM mpya.Kule nako ni wazuri.uta-renew mambo yako na yatakuwa sawa.Usilalie Bagamoyo tu.
 
PIA UMESAHAU KUWAAMBIA KUWA NCHIMBI NI KIONGOZI SHUPAVU NA MWENYE MSIMAMO HUSIOYUMBA.PAMOJA NA ZENGWE LOTE LA MZEE MALECELA LA KUMTOA KUWA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA LAKINI ALISHINDWA VIBAYA,[/B
]

Mkuu Fisadi Mtoto,

Heshima mbele mkuu, naomba kutofautiana na wewe mkuu, Nchimbi alikuwa na hela nyingi sana za kugombea uenyekiti alizopewa na Rostam, Malecela ni kiongozi anayefahamika kwa umasikini, Nchimbi alikuwa na shillingi karibu millioni 100 ambazo mpaka leo anaidaiwa na Rostam, ndio kilichomfanya ashinde ule uchaguzi na nguvu nzima ya mtandao iliyotumia vitendo vichafu vya kuwaharibia majina viongozi safi kama Salim, ili tu wapate uongozi ambao waliupata including huyu Nchimbi, matokeo yake ni kuzomewa na wananchi kila mahali,

Halafu kiongozi asiyeyumba na mwenye nguvu kama NChimbi na aliweza kumshinda Malecela, sasa ilikuwaje Malecela akamtoa Lowassa u-PM huku Nchimbi akiongoza mtandao mzima wakashindwa kumsaidia Lowassa asitolewe tena mbele ya muungwana?

ANAO UWEZO WA KUPIGA KAMPENI WA HALI YA JUU NAKUMBUKA MWAKA 1998 AKIGOMBEA KWA MARA YA KWANZA TENA NDIO KWANZA ALIKUWA ANATOKA SHULE,

Kama kweli angekuwa na huo uwezo, ilikuwaje hakugombea ujumbe wa NEC? Kama kweli anayo hiyo nguvu ilikuwaje hakupata uongozi wa CCM majuzi Dodoma, huku Malecela akiwaweka watu wake kina Chiligati na Mkuchika, waliokuwa viongozi wa harusi yake? Uwezo wa kampeni hana angekuwa nao basi yeye na Rostam, wasingetolewa NEC, kwa hiyo hii hoja pia haina nguvu.

MZEE MNAUYE NA MALECELA WALIPIGA KAMBI DOM KUHAKIKISHA UHAULA ANASHINDA LAKINI BWANA WAPI KIJANA MDOGO TOKA MZUMBE AKAWACHAPA KAMA WAMESIMAMA.

Mkuu haya pia sio maneno ya kweli, Nchimbi alipogombea uenyekiti mara ya kwanza hakuna kiongozi yoyote wa juu aliyemletea vikwazo, ni kweli mara ya pili ndipo aliwekewa vikwazo, lakini mkakati wa kumpa uenyekiti ulikuwa mzito mno kwani ndio huo huo ulioshia kuwapa urais mtandao, nguvu yote ilikuwa ikitoka kwa Mkapa, ambaye alikuwa tayari ameshakata-deal na mtandao, kwa hiyo mkuu huu wa pili alipewa na Rostam, sio siri!

MPAKA LEO MALECELA HAAMINI

Eti Malecela, mjumbe wa kudumu wa NEC na CC mpaka anakufa, haamini nini kuhusu Nchimbi, ambaye hana nafasi yoyote CCM?

ANABAKI KULIA LIA TU MARA WALIMLOGA IPYANA MARA WALIMPA SUMU ..MBONA HUKUSEMA AFANYIWE POSTMORTEM UKWELI UJULIKANE.

Malecela, angekuwa na tatizo kama unavyosema basi angeruhusu wamfanyie portmortem marehemu Mkwawi, kwamba ati analia kuwa alilogwa au aliwekewa sumu sio kweli mkuu, ni dada yake Nchimbi Mary, ambaye Mkwawi alifia mikononi mwake ndiye aliyekuwa akilia lia na kusema yote aliyoyafanya kuanzia hela alizopewa ili amuewekee sumu kwa kutmuia sindano kwenye sambusa, marehemu Mkwawi, siku ile kwenye sherehe ya kumtambulisha rasmi kama mwenyekiti mpya wa vijana wa mkoa, kwa hiyo again mkuu hoja yako ni hafifu sana na huna ukweli, Malecela inafahamika na bongo nzima kuwa hajawahi kusema hayo maneno uliyosema hapa, alichosema ni kwamba no matter what Mkwawi hawezi kurudi.

Mary aliyasema haya kule Mvumi, baada ya mazishi ya Mkwawi, tena ninaweza kukutajia mashahidi waliokuwepo, maana nilikuwepo pia mkuu, haya aliyasema huku wakiwepo mama Sita na Muungwana pia, Masima, na Malecela mwenyewe, wewe kwa maneno yako emngi inaonekana unajua ukweli sasa kwa nini unasema uongo mkuu? Tena Mary aliwataja wote waliohusika na kumrubuni akiwemo Londa, Mkali, Rita mlaki na wengine wawili sio siri mkuu!

KAMA UCHAWI ALIFANYIWA BASI MZEE MWENYEWE ALIKUWA NI FALA KWANI MIAKA YOTE NDANI YA CCM ULIOKAA HUKUJUA KUNA UCHAWI?UNGEMWANDAA MWANAO KWANZA KAMA ULIVYOJILINDA WEWE.AU ILIKUWA NI ZINDIKO LAKE LA URAIS

Haya maneno mkuu ni very low na yanaonyesha kuwa wewe ni mtu wa aina gani, kwani Malecela hajawahi kulalamika hata siku moja kuhusiana na kifo cha mwanawe, halafu kiongozi kufiwa na mtoto wake sio jambo la ajabu na wala hauwezi kuwa ufala kwa sababu wewe na mimi hatuelewi ni siku gani tunaweza kufa, just as Malecela asingeweza kujua mtoto wake atakufa lini, I mean kama ni ufala nafikiri maneno yanajisema yenyewe exactly nani ni fala betweeen Nchimbi, wewe, na Malecela, ambaye hajawahi kusema anything kuhusiana na kifo cha Mkwawi.

Ninaaamini kuwa unajaribu kumsafishia NChimbi, lakini hapa Jf naona ni waste of your time kwa sababu sidhani kama kuna mpiga kura hapa wa UV-CCM, Nchimbi unayemsema kuwa ni mighty angekuwa, asingepoteza muda wake kushinda nyumbani kwa Malecela kule Kilimani kila siku kujikomba ili amsaidie kupata ukatibu mkuu wa CCM. Anyways, sina mpango wa kujiunga huu na mjadala maana siuelewi unakotoka na unakokwenda, lakini nimeuona una maneno mengi tu ya uongo, kwa mfano kuna mahali nimeona inasemwa kuwa Nape sio mtoto wa Marehemu Mnauye, na kwamba alinyimwa urithi that is abig joke, mtoto wa kike aliyekuwa karibu sana na baba yake Mnauye, ameolewa na binamu yangu sasa kama kuna urithi ulioachwa na Mnauye, basi huyu ndiye angekuwa ameupata sana kuliko wengine, I mean wakuu msalieni mtume na haya maneno ya uongo hivi nyinyi watu kweli mna dini? Nape ni mjumbe wa NEC na mwenye ofisi nzito pale mtaa wa Lummumba, na ana shughuli nzito sana ndani ya CCM, leo mnamuongelkea kama vile ni kijana mjinga asiyekuwa na lolote, hivi kweli Nape angekuwa kama mnavyomsema hapa angeweza kushinda nafasi ambayo mawaziri kina Mungai, Ngasongwa, na Rita Mlaki walishindwa kuzipata?

Umesema maneno mengi sana lakini sioni mahali popote ukionyesha uwezo wa kiuongozi wa Nchimbi, WHY? Jaribu kuwa na heshima kidogo na wakuu wa nchi kama Mzee Malecela, maana ni kwa kuheshimu mchango wake kwa taifa letu ndio maana CCM tumempa ujumbe wa kudumu wa kila kikako cha CCM mpaka atakapoitwa kwenye haki, kumlinganisha Nchimbi na Malecela kama ulivyofanya hapa kwenye post yako ni matusi makubwa sana kwa Nchimbi, maana hatakuja kufikia nafasi alizowahi kuzishika Malecela, na besides Malecela akiwa na umri kama wa sasa wa Nchimbi, alikuwa ameshafanya mambo mengi sana mazito kwa taifa letu na dunia kuliko Nchimbi, kwa hiyo mkuu kama shida yako ni kumbeba Nchimbi hapa JF hukatazwi, ila jaribu kuwa mstaarabu na maneno yako maana haya uliyosema kwenye hii post ni kujidhalilisha wewe kwanza na Jf nzima, maana kumuita bin-adam mwenzako kuwa ni fala kwa sababu hakujua siku wala saaa ya mtoto wake kufariki, nafikiri ni the waste low IQ idea ambayo nimewahi kuiona toka niiingie JF. Kumbeba Nchimbi kwa maneno ya kumtukana Malecela na mtoto wake aliyefariki sijui ni kampeni za siasa za dunia ya wapi, mkuu wewe mbebe mtu wako lakini usitukane watu bila sababu, na wala sio ustaarabu kabisa maneno yako mkuu ninataka kuamini kuwa wewe ni binadamu ambaye kutokujua siku yako ya kufa hakukufanyi kuwa fala! Na kwamba sisi wote tuliopo hapa JF kutokujua siku zetu za kifo hakutufanyi tuwe mafala, what an argument! Sasa kama Nchimbi anabebwa na watu wenye mawazo kama yako na yeye Nchimbi ni kiongozi namna gani?

Ni hayo tu mkuu, nilitaka uweka mambo sawa, ila sina mpango wa kuendelea na huu mjadala unless otherwise!

Ahsanteni Wakuu.
 
Ushahidi wa meseji za zito kwenye simu ya Amina {RIP} mahakamani katika nchi ya Tanzania-Dar au Dodoma ambako sim card zinauzwa kama maandazi ya mama ntilie kwa bei ya 500 na hakuna uthibitisho kuwa sim card hiyo ni haswa ya huyo aliyetumia ndio uthibitishe tuhuma za wanasiasa nguli kutoka vyama viwili toafauti tena pinzani katika mahakama tukufu ikisimamiwa na mawakiri makini kutokana na umakini na mvuto wa itakayo kuwa kesi.Huh!!kama ili litafanyika na likathibitishwa mahakamani kuwa mh.Zitto ndie mwenye sms na kuonekana kumtia hatiani au kumhusisha na kashfa basi mwaka huu Dunia inaisha rasmi na kwa wale wakristo ndipo tutamwona Yesu akishuka mawinguni.

Mr.Nchimbi nenda mahakamani tu.Hata mimi nakushauri uwahi haraka ili tujue mengi zaidi.Unafikiri hatujui habari zako???Nenda baba ukaaibike vizuri.Wewe unataka kumuongezea LISSU umaarufu tu kwani lazima atachukua kesi hiyo kumtetea Tanzania Daima na you gonna loose.
Kwani mabomu yako uliyokuwa unatumia zamani kimya kimya kumaliza shida ndogondogo kama hizo siku hizi hayafanyi kazi?? Au umevunja masharti?? Jaribu kwenda na kwao PM mpya.Kule nako ni wazuri.uta-renew mambo yako na yatakuwa sawa.Usilalie Bagamoyo tu.

MMhhh jamani kumbe yap mengi hivi, sasa kama ameanzia kule kwa presidaaa, halafu unamshauri aende kule kwa PM kabla ya kwenda kwa VP atafanikiwa kweli?

Jamani NAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA PASAKA wana JF WOTE!!!!
 
Mkuu Fiel Mashall ES, NAKUPONGEZA SANA SANA,HESHIMA KWAKO MKUU!!!!!!!!! KWAKWELI NAKUBALI WEWE SENIOR! NI UKWELI MTUPU KUWA FISADI MTOTO ANATUMIA LUGHA ZA AJABU HAPA,KIASI CHA KUMSHUSHIA HESHIMA YEYE NA JF.MWONGOZO WAKO SAFI,KAJIKWAA AAMKE TUENDELEE NA HOJA BADALA YA MATUSI.MKUU ES UMEMTENDEA HAKI NAPE,SI BUSARA KUTUMIA MANENO YANAYOTUMIWA KUMUELEZEA HUYU KIJANA.NINAAMINI MOJA MAFISADI WANAMCHUKIA SANA KWA UADILIFU WAKE,MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

FISADI MTOTO,HESHIMA PIA KWAKO!! NASIKITISHWA SANA NA USHABIKI WAKO USIOKUPA ROOM YA KUANGALIA HOJA NA UKADHANI JAZBA NDO HOJA,SOMA VIZURI HAKUNA MAHALI NIMESEMA NAPE ATARUDI NA DEGREE ZAIDI YA MOJA KWA COMBINATION ULIYOIDAI HUKO NIKUPOTOSHA HOJA.
LAKINI UNAAPA KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU NAPE ATAKATWA JINA LAKE,WAKATI HUOHUO UNAINGIZA ULIMI PUANI KUSEMA ATARUDISHWA NA KUSHINDWA VIBAYA DODOMA!!!!! NADHANI ACHA JAZBA TUJADILI HOJA,KULINDA HESHIMA YAKO NA JF.
PASAKA NJEMA
 
Mkuu naomba kueleweka wazi kuwa sina na wala sikuwa na nia ya kuingilia any side ya huu mjadala, isipokuwa tu niliamua kuweka sawa mambo ambayo sikuyaona kuwa sawa, lakini sijui nani anagombea au nani hagombei, nani anakubalika na nani hakubaliki, lakini one thing I know ni kwamba ni mgombea anyetakiwa Rostam, ndiye mwenye nafasi kubwa ya kushinda.

Otherwise ningewaomba tu muendelee na mjadala wenu.
 
Back
Top Bottom