Mkuu ukiniwekea address kwenye pm nitakutumia picha za pale chini mbuyuni kwenye compound ya Malecela, karibu na makaburi ya mkewe na mama yake malecela, ambako tulikuwa tumekaa huku dada yako akiwa amevaa nguo nyeupee akilia sana machozi ya mamba na kuropoka ovyo, by the way dada yako amekuambia ni kwa nini rafiki yake Sumaye, alimfukuza baaada ya kile kifo?
Mkuu wangu kabla hujaingia kufanya kazi kwenye meli, karatasi ya kwanza kusaini ni ile inayosema ukifa what to with your dead body na belongings, sasa kwa wale tuliowahi kuifanya hiyo kazi unafikiri kweli tunaweza kuwa tunaogopa kufa kama unavyosema hapo juuu?
Unafiki? hivi huoni kwa maandishi yako na yangu ni clear mnafiki ni nani na mkweli ni nani? Unaionaje mkuu hiii forum, hapa watu wana akili sana ya kujua ukweli na pumba mkuu, uliyoandika kuhusu kufa kwa Amina(RIP), ni pure nonesense hasa ukizingatia kuwa imeandikwa na bina-adam kama Amina, ambaye anasubiri kufa pia, ni watu kama wewe ninaaamini kuwa mmekuja hapa kuharibu hiii forum, kwa sababu exactly unachojaribu kujadili sielewi ni kipi hasa? hoja yako hasa ni ipi mkuu?
Hebu sasa tujadili hoja, naomba useme exactly hoja yako kwenye huu mjadala ni nini? au ni ipi hiyo maan so far sijaiona zaidi tu matusi na maneno ya kujifanya wewe ni mzimu na mtoto wa kiongozi aliyeibia taifa, wakati hao watoto wa mafisadi tunwajua jinsi walivyo-busy kushughulikia hela za wizi za baba zao hawana muda wa kuja hapa JF, acha hizo mkuu, unajipakazia bure something you are not!