Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,285
- 79,650
huwezi kuuza vifaa vya utabibu kama si pharmacist ama skin specialist! Atafute kazi nyingine!Tanua ubongo wako jitahidi kuuliza pia kabla hujacoment
huwezi kuuza vifaa vya utabibu kama si pharmacist ama skin specialist! Atafute kazi nyingine!Tanua ubongo wako jitahidi kuuliza pia kabla hujacoment
Chezea JJ Mwaka wewe, sasa anasambaza vifaa vya afya, urembo na usafi.
Hahahahaaa sasa sio Foreplan clinic tena bali ni kampuni ya foreplan. Hivyo bado foreplan kampuni ipo kama kawaida.
Nimesikia tangazo lake radio magic fm
huwezi kuuza vifaa vya utabibu kama si pharmacist ama skin specialist! Atafute kazi nyingine!
ataajiri maprofessor wa mambo ya ngozi kama itabidihuwezi kuuza vifaa vya utabibu kama si pharmacist ama skin specialist! Atafute kazi nyingine!
huyu hata akiamua kuuza miwa,watamuuliza kama ana degree ya sugarcane logisticAmekataa kuuza vitumbua eti anasema atakomaa nao tu mpaka kieleweke. Huyu jamaa ana kiburi sana.
huyu hata akiamua kuuza miwa,watamuuliza kama ana degree ya sugarcane logistic
Wewe kweli mtoka pabaya,TFDA Bongo? Si kuliuzwa ARV feki hapa kinababa wakaota nyonyo ndani ya nyumba sokomoko toddlers hawajui nani mom nani dad?
Pita kule kwa kina Diamond swaiba wenu, maduka ya kuuza dawa za ushirikina yamejazana kibao, sijasikia wakikaguliwa wale. Ubani , sanda, maji maiti, kanzu nyekundu, ubani dhukra, ubani mashtakah, marash muje, yai viza, nazi mbovu, huko wala hamuwachongei TFDA, mgoomvi wenu Dk Juma tu kisa anapiga hela...acheni wivu wa kike!
Vipodozi si ndio vimefanya wengine mmeoana?
Bila shaka manake nimeona pameandikwa vileDiscount store...
TFDA imepata chakula yake..Jilas pipo neva win. Wee kaa Lumumba piga dili za buku 2 mwenzio Mwaka huyoooo anazidi kupiga hela...mmemzuia asiwape uzazi, sasa anawapa urembo.
Shikamoo Dk Mwaka!
Acha, wivu wa kigwangalaBado nina mashaka na huyu mtu...inabidi achunguzwe tena kwani sidhani kama hizo dawa anazosambaza ni nzuri. Huyu mtu ni jipu haswa.
unanikumbuka mwenye kit wa chama kitukufu darTFDA Bongo? Si kuliuzwa ARV feki hapa kinababa wakaota nyonyo ndani ya nyumba sokomoko toddlers hawajui nani mom nani dad?
Pita kule kwa kina Diamond swaiba wenu, maduka ya kuuza dawa za ushirikina yamejazana kibao, sijasikia wakikaguliwa wale. Ubani , sanda, maji maiti, kanzu nyekundu, ubani dhukra, ubani mashtakah, marash muje, yai viza, nazi mbovu, huko wala hamuwachongei TFDA, mgoomvi wenu Dk Juma tu kisa anapiga hela...acheni wivu wa kike!
Vipodozi si ndio vimefanya wengine mmeoana?
Very poor argument, maskini Tanzania.Jilas pipo neva win. Wee kaa Lumumba piga dili za buku 2 mwenzio Mwaka huyoooo anazidi kupiga hela...mmemzuia asiwape uzazi, sasa anawapa urembo.