Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
Mti wa Kati mtamu !
Sasa kama ni Kwa SIRI mlijuaje Malasusa ni Mzinzi? Ndio maana nasema Kichambio kinachoitwa MwanaHalisi ni Wazushi, wanafiki, wazandiki na Wala rushwa wakubwa!Mkuu,
Mambo ya uzinzi hayana uhusiano wa kumfahamu mtu. Hufanyika kwa siri sana.... Laiti kuta zingekuwa zinasema ungestaajabu ya Musa kabla ya firauni.
Ni Mungu pekee ajuaye usafi wa mtu.
Alimzini Mama yako?
Jaribu kwa mtu wa Mungu si kwamba ni mtenda dhambi bali ni kikombe tu ni lazima akinywe...hili nalo litapitaNi hivyo Mkuu. Namfahamu Malasusa tangu nikiwa Lutheran Junior Seminary Kule Sanze kisarawe. Alikuwa Mchungaji (Chaplain) Mwalimu wangu wa Divinity na Mwalimu Mkuu Msaidizi chini ya Mama Bulugu. Nikaja kumfahamu zaidi alipokuwa Usharika wa Mtoni. Malasusa kamwe, narudia tena KAMWE Mchungaji na Askofu yule sio wa kukutwa na kashfa petty kama hii.
Malasusa kwenye ishu hizi hayupo kabisa. Kama alikuwa Nazi, aliziacha kitambo sana
Hakuna sehemu niliyosema ni mzinzi. Usinihamishie dhambi za watu. Mi hoja yangu ni moja tu... huwezi kumtetea mtu kuwa si mzinzi kwakuwa unajua historia yake.... uzinzi haufanyiki hadharani......Sasa kama ni Kwa SIRI mlijuaje Malasusa ni Mzinzi? Ndio maana nasema Kichambio kinachoitwa MwanaHalisi ni Wazushi, wanafiki, wazandiki na Wala rushwa wakubwa!
Hahahaha nyani jike bana. Hivi ushawahi kukitana na nyani mwenzio Nyani Ngabu? Ni nyani mutlibu asiye mzinzi kama Malasusa.Achane kutetea nyie watoto Wa wazee Wa kanisa jamaa aliyepigiwa mke yupo na anaweweseka sana kuhusu Malasusa kumgongea mkewe mnaficha mini wakati watu tunajua ALIYEGONGEWA MKE WAKE YUPO NA NI MLUTHERI KISAKOLOJIA JAMAA HAYUPO SAWA WHY SHOULD I SHUT UP?
Hakuna lolote mkuu,dayosisi hii inaongoza kwa mapato mkuu,hizo sarakasi unazoziskia ni kugombania ulaji na madaraka tu.Hii dayosisi ina radhi ya Muumba, wajitathmini na kuomba sana Mungu awarehemu. Lakini sharti la maombi ni kuusimamia ukweli kwa gharama yeyote. Nakumbuka Jery Ngwandu aliondoka kwa kashfa na huyu tena ameangukiwa na kashfa inayokaribia kumuondoa.
Kama hii stori ni ya kweli basi huyu mchungaji noma. Analiwa na kondoo wake afu anamgaia na bosi wake.Wangejiuzulu tu wote wawili.
Taarifa ndani ya dayosisi hiyo zinasema, katibu mkuu wa DMP, Godfrey Nkini, amenukuliwa akimueleza Mchungaji Leita kuwa utendaji wa Askofu Malasusa wa kuhudumu ofisini umezorota tangu kuibuka kwa tuhuma hizo.
Akamtaka kwenda likizo ili kurejesha amani ya kiongozi mkuu wa dayosisi.
Haya yameibuka baada ya jitihada za kutaka wachungaji kutetea Askofu wao kushindikana. Hoja ya kutaka kanisa limfanyie maombi Askofu Malasusa iliwasilishwa kikaoni na msaidizi wa Askofu.
“Baada ya mpango huu kukwama, katibu mkuu wa dayosisi alimwita Mchungaji Leita ofisini mwake na kumtaka achukue likizo ya muda mrefu ili asionekane machoni mwa waumini na wageni wengine.
“Mchungaji Leita alitoa masharti mawili: Kwanza, yuko tayari kuchukua likizo endapo katibu mkuu atampa barua rasmi ikieleza sababu ya hatua hiyo na pili endapo mtuhumiwa mwenzake, Askofu Malasusa, naye atapewa likizo.”
Amesema, “katibu mkuu Nkini ameshindwa kutekeleza masharti hayo, jambo ambalo limesababisha Mchungaji Leita kuendelea kubaki ofisini.”
Haya yanaibuka, siku mbili baada ya Asime Modern Mwakilima,muumini wa dayosisi ya Mashariki na Pwani akisema, anatafakari upya uumini wake katika kanisa hilo.
Alisema, “suala la imani ni langu mwenyewe na Mungu. Lakini katika hili, naona mkuu wetu amepoteza sifa ya kuhudumu.
Badala ya kusimamia ukweli,kanisa limeamua kukandamiza haki.”
Mchungaji mmoja wa kike aliyezungumza kwa sharti la kutotajwa gazetini ameutuhumu uongozi wa dayosisi hiyo kukumbatia alichoita, “mfumo dume.”
Alisema, “hapa kuna mfumo dume. Ndiyo unaotaka kutumika kumuonea huyu mama na kumlinda Askofu aliyetuhumiwa naye. Haya ni makosa makubwa sana.
Hata Bwana Yesu alipoletewa mwanamke aliyefumaniwa akizini, alimwuliza yuko wapi mtuhumiwa mwenzako?”
Taarifa zinasema, mkuu mpya wa KKKT, Askofu Fredrick Shoo amemuita Mchungaji Leita kwa lengo la kujadiliana naye juu ya suala hilo; lakini amegoma hadi mahojiano hayo yamshirikishe Askofu Malasusa.
“Hii inaonyesha mchungaji huyu wa kike alivyonusa mbinu chafu za kutaka kutelekezwa na kanisa ili kumuokoa Askofu Malasusa,” ameeleza mtoa taarifa ndani ya kanisa hilo.
MwanaHALISI Online ilipokea nakala ya waraka wa kichungaji uliosambazwa kwa watu mbalimbali, ukiwataka waumini wa kanisa hilo kuchukua hatua za haraka kuikoa dayosisi yao iliyotumbukia katika mgogoro wa kuongozwa na anayemuita,“kiongozi aliyepungukiwa na uadilifu.”
Lakini mbona wale wapendwa wa Kaskazini ndo wengi na wanatengenezewa michongo ya kupeana kazi? Ama wa-Pwani wanatumika?Majungu, fitna,chuki, husuda dhidi ya Mnyakyusa Malasusa. Wenyewe Wazaramo wanataka Dayosisi yao
Mkuu umetisha!!!!Huyu malasusa Ni mzinzi kuliko kile kizazi cha sodoma na gomora
Kama imani yako haijajengeka katika Yesu kristo jiwe kuu la pembeni, bali umeijenga kwa kiongozi flani au mtu flani basi nikupe pole saaana bi dadaKama hawatalitimua hili kahaba la mwendo kasi me naamia AIC rasmi mnamo mwezi Wa 7 hivi siwezi kuongozwa na mtumishi hewa anayetolea macho wake za watu madhabahuni big NO!hakuzaliwa kuwa askofu arudi kulima huku tena atengwe na kanisa kama kwel tunaungana na wakristo wenzetu duniani kukiri Imani ya kikristo Malasusa aondoke.kanisa lifunge kwa siku 40 kutubu dhambi hii ya askofu tukimlilia mungu usiku n mchana atupe uongozi mpya na atusamehe n kuiondoa roho ya ulafi Wa wake za watu katika kanisa.
Hahaaa bwana Asprin ulivyoikwepaa hiyooo ....nimeipenda hiyo stileHakuna sehemu niliyosema ni mzinzi. Usinihamishie dhambi za watu. Mi hoja yangu ni moja tu... huwezi kumtetea mtu kuwa si mzinzi kwakuwa unajua historia yake.... uzinzi haufanyiki hadharani......

Hahahaha jamaa anataka kunihamishia msala. Haya mambo mkuu wangu yanahitaji ushahidi usio na shaka ndo uweze kusema huyu ni mzinzi au laa.Hahaaa bwana Asprin ulivyoikwepaa hiyooo ....nimeipenda hiyo stile![]()