Dk. Malasusa, hali bado tete

Dk. Malasusa, hali bado tete

Siyo kweli hizi ni tuhuma tu,mtu yeyote anaweza kutuhumiwa na ikaonekana kweli
 
Hakuna lolote mkuu,dayosisi hii inaongoza kwa mapato mkuu,hizo sarakasi unazoziskia ni kugombania ulaji na madaraka tu.
Ooh samahani. Nilifikiri ni kanisa kumbe kampuni inayoshindanishwa kwa kipato? waache wazigombanie hizo fweza mwenye kisu kikali ndie atakaebaki kuzila.
 
Malasusa ni mzinzi haina haja ya kimfumbia macho walutheri wenzangu haiwezekani mtumishiwq Manisa kututia aibu kiasi hiki katika Imani nilikuwa najivua ulutheri kwa miaka mingo ila baada ya huyu jamaa nimekaa nyuma kama popo na sina Imani na hata sadaka zetu tunazotoa kanisa limejaa uzambiki,wizi,ubinafsi,pango LA walanguzi maeneo ya kanisa now days ni sehemu za biashara tena za kilanguzi wakiongozwa na wazee wakanisa n wachungaji habari za kkkt zote ninazo nalifahamu kanisa kuliko mfumo mzima Wa usimamizi na utendaji wizi utapeli mtupu.Malasusa dhambi haiendewi likizo uwezi kuikimbia sauti ya mungu itakufata popote ulipo.
Si huwa mnasema wakioa hawawi wazinifu km mapadre wasooa vp sasa,
 
huyu askofu malasuxa ameanza kuandamwa na mwanaHALISI mbona ataipatapata nakwambia, akamwulize muumini wake lowaxa. kubenea akikuandama na gazeti lake huchomoki asee!!, yote haya yanatokana na huyu askofu kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais JPM wakati msimamo wa kanisa lake ilikuwa ni kususia tukio lile. pole sana askofu.
Ila yale Makombora ya Lowasa yalikuwa makali mno mpaka hata siamini kama Lowasa kamsamehe Kubenea atakuwa anacheka jino pembe anasubiri muda muafaka ufike ili amshugulikie kama Dr.Slaa
 
Malasusa ni mzinzi haina haja ya kimfumbia macho walutheri wenzangu haiwezekani mtumishiwq Manisa kututia aibu kiasi hiki katika Imani nilikuwa najivua ulutheri kwa miaka mingo ila baada ya huyu jamaa nimekaa nyuma kama popo na sina Imani na hata sadaka zetu tunazotoa kanisa limejaa uzambiki,wizi,ubinafsi,pango LA walanguzi maeneo ya kanisa now days ni sehemu za biashara tena za kilanguzi wakiongozwa na wazee wakanisa n wachungaji habari za kkkt zote ninazo nalifahamu kanisa kuliko mfumo mzima Wa usimamizi na utendaji wizi utapeli mtupu.Malasusa dhambi haiendewi likizo uwezi kuikimbia sauti ya mungu itakufata popote ulipo.
Kwa Dayosisi ya Mashariki wa Pwani....Wenye kuitunza madhabahu ya bwana ni wawili tu! Kimaro ...wa kariakoo na Mastai wa Kimara...hawa wengine watajuana na Muumba wao kama alivyosema ISAYA.
 
Malasusa ni mzinzi haina haja ya kimfumbia macho walutheri wenzangu haiwezekani mtumishiwq Manisa kututia aibu kiasi hiki katika Imani nilikuwa najivua ulutheri kwa miaka mingo ila baada ya huyu jamaa nimekaa nyuma kama popo na sina Imani na hata sadaka zetu tunazotoa kanisa limejaa uzambiki,wizi,ubinafsi,pango LA walanguzi maeneo ya kanisa now days ni sehemu za biashara tena za kilanguzi wakiongozwa na wazee wakanisa n wachungaji habari za kkkt zote ninazo nalifahamu kanisa kuliko mfumo mzima Wa usimamizi na utendaji wizi utapeli mtupu.Malasusa dhambi haiendewi likizo uwezi kuikimbia sauti ya mungu itakufata popote ulipo.
Tukikuita mahakamani uthibitishe uzinzi wa MALASUSA uko tayari? Au umeziamini Porojo za MWANAHALISI?
 
ambae hajawahi kukosea aendeleze ushabiki huu !
 
Chumvi ikishabaribika itatiwa nini ili ikolee. Tuna shida kubwa kwenye makanisa ya kiptotestant hatuna stability kabisa. Hivi ushasikia vibweka kama hivi kwa Pengo. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa mcha mungu na anayejiheshimu
Huyu naye si aachie ngazi
vi
 
Jamani Tuacheni unafiki kama Anasingiziwa S Aende Mahakamani au kuna ukweli kuhusu hili Maana hili jambo halijaanza Leo
 
Chumvi ikishabaribika itatiwa nini ili ikolee. Tuna shida kubwa kwenye makanisa ya kiptotestant hatuna stability kabisa. Hivi ushasikia vibweka kama hivi kwa Pengo. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa mcha mungu na anayejiheshimu

vi
Huko kwa wakatoliki ndoo usiseme kabisa. Jimbo moja lilifilisika kwa kulipa fidia ya watoto wa kiume waliotendewa ushenzi na makasisi. Hapa kwetu ndio kina kilaini na kina chenge Tibaijuka(esrow ) lao moja, na bado hawakuachia ngazi.
 
mbaya zaidi kazini na mke wa mtu tena mchungaji
bora hata binti tungeona ni tamaa.
huu ni uzinzi wa hali ya juu
 
Ni hivyo Mkuu. Namfahamu Malasusa tangu nikiwa Lutheran Junior Seminary Kule Sanze kisarawe. Alikuwa Mchungaji (Chaplain) Mwalimu wangu wa Divinity na Mwalimu Mkuu Msaidizi chini ya Mama Bulugu. Nikaja kumfahamu zaidi alipokuwa Usharika wa Mtoni. Malasusa kamwe, narudia tena KAMWE Mchungaji na Askofu yule sio wa kukutwa na kashfa petty kama hii.
Malasusa kwenye ishu hizi hayupo kabisa. Kama alikuwa Nazi, aliziacha kitambo sana
kumbe nilikuoverestimate,nilikuwa nafikiria wewe ni padre.
Kumbe uko kkkt,mzee wa kanisa
 
Sasa kama ni Kwa SIRI mlijuaje Malasusa ni Mzinzi? Ndio maana nasema Kichambio kinachoitwa MwanaHalisi ni Wazushi, wanafiki, wazandiki na Wala rushwa wakubwa!
Kama ungekuwa umefuatilia tangu likipoanza ungegundua kuwa mwenye mke ndio aliyegundua mahusiano na sio sisi.
 
Back
Top Bottom