Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,738
- 11,644
How many died in this one?This disaster is much bigger than Chernobyl nuclear disaster...

How many died in this one?This disaster is much bigger than Chernobyl nuclear disaster...

Hill lijamaa linalolilia Mke ni jinga sana. Sasa kama hana mpunga na hajui kutoa huduma inayostahili on bed Kwa nini ASICHAPIWE.Dkt Malasusa again....
Mkuu, dayosisi ya Mashariki na Pwani ni pwani kwelikweli. Kuna majungu pale, fitna pale, kuna mijitu imetajirika Kwa kuingiza vitu Kwa jina la kanisa kumbe ni Mali zao binafsi wanakwepa kodi, watu hao wana fedha za kutosha kununua vichambio kama mwanahalisi. Usishtuke mkuuMungu wangu, Mungu wangu!
Malasusa hana hizo kashfa. Mchungaji George Fupe na timu yake ndo wanaratibu huu ujinga.Jamani malasusa si mstaafu huyo!!!!!!
Wewe MUNGU MKUU muogope unajua unaongea nini?This disaster is much bigger than Chernobyl nuclear disaster...
Majungu, fitna,chuki, husuda dhidi ya Mnyakyusa Malasusa. Wenyewe Wazaramo wanataka Dayosisi yaoKunani tena dayosisi ya Mashariki na Pwani?
Ni Jerry Mungwamba (PhD). Mizengwe ni mingi sana Dayosisi ya Mashariki na PwaniHii dayosisi ina radhi ya Muumba, wajitathmini na kuomba sana Mungu awarehemu. Lakini sharti la maombi ni kuusimamia ukweli kwa gharama yeyote. Nakumbuka Jery Ngwandu aliondoka kwa kashfa na huyu tena ameangukiwa na kashfa inayokaribia kumuondoa.
Wewe unaweza kuweka usafi wake au wote wanasiasa Wa Maji chumviUnaweza kuthibitisha pasi na shaka uzinzi wake? La sivyo "SHUT UP"
Mchungaji wangu, Rafiki yangu Dk. Enoch Mlyuka aliachana na ajira yake Dayosisi ya Mashariki na Pwani kutokana na ubabaishaji unaochagizwa na waswahili waswahili wachache ndani ya Dayosisi.Acheni kumzushia mtumishi wa kiroho
Tatizo la MwanaHalisi ni kutoka kwenye professionalism na kuja kujiingiza katika UKAHABA WA HABARI.Na hii ni hatari sana. Josrphat Isango ndie anayeratibu ujinga huu Kwa ujira Mdogo sana.huyu askofu malasuxa ameanza kuandamwa na mwanaHALISI mbona ataipatapata nakwambia, akamwulize muumini wake lowaxa. kubenea akikuandama na gazeti lake huchomoki asee!!, yote haya yanatokana na huyu askofu kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais JPM wakati msimamo wa kanisa lake ilikuwa ni kususia tukio lile. pole sana askofu.
Nenda zako shetaniMalasusa ni mzinzi haina haja ya kimfumbia macho walutheri wenzangu haiwezekani mtumishiwq Manisa kututia aibu kiasi hiki katika Imani nilikuwa najivua ulutheri kwa miaka mingo ila baada ya huyu jamaa nimekaa nyuma kama popo na sina Imani na hata sadaka zetu tunazotoa kanisa limejaa uzambiki,wizi,ubinafsi,pango LA walanguzi maeneo ya kanisa now days ni sehemu za biashara tena za kilanguzi wakiongozwa na wazee wakanisa n wachungaji habari za kkkt zote ninazo nalifahamu kanisa kuliko mfumo mzima Wa usimamizi na utendaji wizi utapeli mtupu.Malasusa dhambi haiendewi likizo uwezi kuikimbia sauti ya mungu itakufata popote ulipo.
Usishughulike na Hugo CHANGUDOA wa Habari. Anasema Malasusa mzinzi, alimzini mama yake?Unaweza kuthibitisha pasi na shaka uzinzi wake? La sivyo "SHUT UP"
Alimzini mama yako?Malasusa ni mzinzi......
Majungu, fitna,chuki, husuda dhidi ya Mnyakyusa Malasusa. Wenyewe Wazaramo wanataka Dayosisi yao
Wewe unaweza kuweka usafi wake au wote wanasiasa Wa Maji chumvi
Ni hivyo Mkuu. Namfahamu Malasusa tangu nikiwa Lutheran Junior Seminary Kule Sanze kisarawe. Alikuwa Mchungaji (Chaplain) Mwalimu wangu wa Divinity na Mwalimu Mkuu Msaidizi chini ya Mama Bulugu. Nikaja kumfahamu zaidi alipokuwa Usharika wa Mtoni. Malasusa kamwe, narudia tena KAMWE Mchungaji na Askofu yule sio wa kukutwa na kashfa petty kama hii.Kumbe Dr Malasusa ni wa Mbeya?
Tusihukumu tusije tukahukumiwa?je sisi tunaonyoosha vidole vyetu ni wasafi kiasi gani? ? ?Malasusa ni mzinzi haina haja ya kimfumbia macho walutheri wenzangu haiwezekani mtumishiwq Manisa kututia aibu kiasi hiki katika Imani nilikuwa najivua ulutheri kwa miaka mingo ila baada ya huyu jamaa nimekaa nyuma kama popo na sina Imani na hata sadaka zetu tunazotoa kanisa limejaa uzambiki,wizi,ubinafsi,pango LA walanguzi maeneo ya kanisa now days ni sehemu za biashara tena za kilanguzi wakiongozwa na wazee wakanisa n wachungaji habari za kkkt zote ninazo nalifahamu kanisa kuliko mfumo mzima Wa usimamizi na utendaji wizi utapeli mtupu.Malasusa dhambi haiendewi likizo uwezi kuikimbia sauti ya mungu itakufata popote ulipo.
Dadadadadadeki!!!!Huyu malasusa Ni mzinzi kuliko kile kizazi cha sodoma na gomora
Ni hivyo Mkuu. Namfahamu Malasusa tangu nikiwa Lutheran Junior Seminary Kule Sanze kisarawe. Alikuwa Mchungaji (Chaplain) Mwalimu wangu wa Divinity na Mwalimu Mkuu Msaidizi chini ya Mama Bulugu. Nikaja kumfahamu zaidi alipokuwa Usharika wa Mtoni. Malasusa kamwe, narudia tena KAMWE Mchungaji na Askofu yule sio wa kukutwa na kashfa petty kama hii.
Malasusa kwenye ishu hizi hayupo kabisa. Kama alikuwa Nazi, aliziacha kitambo sana