Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Ningefikiri pia kama ungeanza na aliyekuwa waziri wa Elimu ndugu Shukuru Kawambwa. Au kwa kuwa yeye ni muislamu mwenzio!?
Yaani ndugu yangu sijui nikuulize unatumia kichwa kufikiri au kitu gani? Udhaifu wa Shukuru kawambwa sio udini, alimtoa huyu mama kutokana na malalamiko ya kufelisha matokeo yote ya maarifa ya kiislam! We utaka asiwajibike waislam waishie kulalamika tu aendelee na madudu yake? Hii nchi ni ya wote, hutaki nenda VATCAN.
 
Pole brother, kwanza punguza mihemko, Ndalichako hakuondoka NECTA kwa kashfa hiyo ya udini.
NECTA mwenyekiti alikuwa ni makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam na katibu ni Ndalichako kipindi hicho.
Baada ya matokeo ya kidato cha nne 2012 wanafunzi kuonekana wamefeli sana serikali ikataka kubadili matokeo ili kuongeza ufaulu kitu ambacho Dr. Joyce Ndalichako hakukubaliana nacho na akaamua kujiuzulu yeye mwenyewe.
Baada tu ya kujiuzuru akaamua kujikita katika masuala yake ya utafiti kusini mwa jangwa la sahara.
Kitaaluma yeye ni mtaalam wa masuala ya Evaluation kitu ambacho kwa Tanzania wapo watu wachache sana.
Anafaa na atatuvusha hapa tulipo.
 
Labda kama Prof katibu wa wizara ile atapangiwa kazi nyingine kwanza maana huyo ndo amefika pale na kuifanya iwe chovu zaidi kwa madaraja haya ya A, B C D E F nadhani kuna hata mpango wa G. Ila kwa uhakika elimu kwa Dr yule ni zeal yake. Wale aliotufundisha alipokuwa Mlimani kabla ya kuingia baraza tunamjua vema. Hakuna marks za bure wala nn kwa hiyo anaendana sana na kauli mbiu ileee HAPA KAZI TU

Hahaha,G???
 
Aende akaongoze vigango vya kanisa. huyu mama hafai kashafelisha watu wengi kisa dini. Kama mnampenda mpiganieni naye aitwe mwenyeheri au mtakatifu kwa kazi alizozifannyia kanisa.

Mkuu una vyeti feki nini? teh teh😀😀
 
Ni udini kutaka upendeleo kwa misingi ya udini..na haiwezi Kuwa udini kufanya maamuzi yenye maslahi kwa taifa bila kuangalia dini atokayo MTU.
 
mnaompinga ninapata mashaka na hofu zenu huenda mnapenda mteremko kwenye elimu.
Hii haipo popote,lazima upambane kweli.Siyo hizi merits za BRN na mitihani ya multiple choice hadi hisabati.
 
Dr.J.Ndalichako ni jembe jamani President Magu ampe wizara ya elimu kwa mustakabali wa ubora wa elimu yetu..
 
Dr.J.Ndalichako ni jembe jamani President Magu ampe wizara ya elimu kwa mustakabali wa ubora wa elimu yetu..

Hata makanisa pia yana taasisi za Elimu eti! Kule nako kunahitaji kuboreshwa ndo kunamfaa zaidi.
 
Hata makanisa pia yana taasisi za Elimu eti! Kule nako kunahitaji kuboreshwa ndo kunamfaa zaidi.

Vipi nyinyi hamjapata shekh mzuri wa kuendesha shule zenu? Maana zina hali mbaya sana, shekh ponda katoka jela basi ndiyo awe waziri wa elimu.
 
Nafikiri mngeunda wizara inayo shughulikia makanisa kwanza, halafu mumpe huyo mama ataimudu sana.
 
Kwa nini Wakirsto wote wanataka huyu binti awe waziri najiuliza nakosa jibu jamaa yangu mmoja kaniambia kuwa huyu ndiyo alikuwa engine ya shule za seminars na wagalatia wengine akiwauzia mitihani ya taifa kwa wamiliki wa hizo shule...daah!

Kwa hiyo baada ya kutoka shule unazozoota za Wagalatia zilikosa pa kuibia mitihani sio? Je kwenye matokeo kwa sasa zipi zomefanya vizuri?
 
Haya basi sawa, huyu mama toka aondoke nitajie shule moja ya kiislamu ambayo imeingia hata ishirini bora mitihani ya Form four au six. Alafu nitajie kumi bora ya matokeo ya kidato cha sita yaliyopita. Shame on you. Someni acheni kulalamika, na kushinda kwenye viambaza vya misikiti.

Elimu tunayo, ambayo ilibidi tufanye kazi ya ziada kuipata. Bila kukata rufaa hata mimi nigeishia kidato cha IV . Nilikabiliwa na kauli nyingi zilizo ashiria ubaguzi kipindi cha mchakato wa kukata rufaa ili kunikatisha tamaa. Waislam wengi wanafelishwa kwa makusudi kabisa.
 
Pole brother, kwanza punguza mihemko, Ndalichako hakuondoka NECTA kwa kashfa hiyo ya udini.
NECTA mwenyekiti alikuwa ni makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam na katibu ni Ndalichako kipindi hicho.
Baada ya matokeo ya kidato cha nne 2012 wanafunzi kuonekana wamefeli sana serikali ikataka kubadili matokeo ili kuongeza ufaulu kitu ambacho Dr. Joyce Ndalichako hakukubaliana nacho na akaamua kujiuzulu yeye mwenyewe.
Baada tu ya kujiuzuru akaamua kujikita katika masuala yake ya utafiti kusini mwa jangwa la sahara.
Kitaaluma yeye ni mtaalam wa masuala ya Evaluation kitu ambacho kwa Tanzania wapo watu wachache sana.
Anafaa na atatuvusha hapa tulipo.

Hiyo kazi ya utafiti mbona ni ya juu kuliko huo uwaziri unaoupigania?
 
Mdini labda kazi maalum.
Anapendelea wakristo

Hii hoja naisikia sana naomba kujuzwa wadau upendeleo wake ni kwa shule za dini ama hata wanaotoka Government schools? Vipi performance kabla ya yy kuwepo wakati akiwepo na wakati ameondoka? Ufaulu shule za dini inayoonewa ukoje?
 
Back
Top Bottom