kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,023
- 9,123
Jamaa hana akiliwewe jamaa sio mzima kichwani, hivi unaweza vipi kumkejeli marehemu namna hiyo?
Jamaa hana akiliwewe jamaa sio mzima kichwani, hivi unaweza vipi kumkejeli marehemu namna hiyo?
ndg, wewe ishi vile unavyoweza kuishi. mengine ni ziada tu ya kusogeza siku.Tupunguze utumiaji wa kemikali, pombe
Tunywe maji mengi ili kulinda afya za figo zetu...
nakazia mkuu. huyo popoma huwaga ana makamasi kichwaniwewe jamaa sio mzima kichwani, hivi unaweza vipi kumkejeli marehemu namna hiyo?
nakaziaJamaa hana akili
Sahv mtungi nmepunguza kwa kiasi kikubwa sana....na naelekea kuacha kabisaTupunguze utumiaji wa kemikali, pombe
Tunywe maji mengi ili kulinda afya za figo zetu.
Figo zikiugua utapata tabu sana na huenda ukafa kutokana na kukosa la kubadilisha au gharama za kusafisha kila wiki.
Tutunze afya za figo zetu, pombe sio dili
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unakatwa na MatolaVipi Ugonjwa uliomuua ndiyo huo uliomfanya hili Shati alilolivaa hapa Pichani limvae kwa Kukonda ( Kupungua ) Kwake Kimaumbile au?
R.I P Dj Steve B.
R.I.P My Brother , R.I.P my neighbourhood, R.I.P SteveMoja kati ya Ma-DJ ambao waliwahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki duni jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa muda mrefu DJ Steve B alikuwa akiugua maradhi ya Figo.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun.
View attachment 2704041
Hapa ulipofikia sipo, hata Ng'ombe ana japo utashi wa kutambua thamani ya mwenzie. Mungu akusamehe sana!Vipi Ugonjwa uliomuua ndiyo huo uliomfanya hili Shati alilolivaa hapa Pichani limvae kwa Kukonda ( Kupungua ) Kwake Kimaumbile au?
R.I P Dj Steve B.
Legend sanaMoja kati ya Ma-DJ ambao waliwahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki duni jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa muda mrefu DJ Steve B alikuwa akiugua maradhi ya Figo.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun.
View attachment 2704041
Dah aliiumwa sana,michango ilipitishwa ila haikua na nguvuKama Figo angesema tumchangie
Jamaa umaarufu wa JF umemlewesha, kweli mshamba mpe cheo, umaarufu au pesa ushuhudie makubwa ya ushamba wake!wewe jamaa sio mzima kichwani, hivi unaweza vipi kumkejeli marehemu namna hiyo?
Jinga jinga tuJamaa umaarufu wa JF umemlewesha, kweli mshamba mpe cheo, umaarufu au pesa ushuhudie makubwa ya ushamba wake!