Dj Steve B aliyejipatia umaarufu miaka ya mwanzoni mwa 2000 amefariki dunia leo. Dj Steve B maarufu pia kama Dj Skills alikuwa maarufu kiasi cha kutajwa sana katika nyimbo nyingi za bongofleva za miaka ya 2000.

Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita, pumzika kwa amani Steve B
7D7F1D11-238F-48C1-A469-8C8B689E24C3.jpeg
 
Tupunguze utumiaji wa kemikali, pombe

Tunywe maji mengi ili kulinda afya za figo zetu.

Figo zikiugua utapata tabu sana na huenda ukafa kutokana na kukosa la kubadilisha au gharama za kusafisha kila wiki.

Tutunze afya za figo zetu, pombe sio dili

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sahv mtungi nmepunguza kwa kiasi kikubwa sana....na naelekea kuacha kabisa

Ova
 
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliwahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki duni jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa muda mrefu DJ Steve B alikuwa akiugua maradhi ya Figo.

Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun.

View attachment 2704041
R.I.P My Brother , R.I.P my neighbourhood, R.I.P Steve

Dah napokeq haya kwa masikitiko ,nakumbuka enzi za Regent Party
 
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliwahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki duni jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa muda mrefu DJ Steve B alikuwa akiugua maradhi ya Figo.

Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun.

View attachment 2704041
Legend sana

Rest Easy.
 
Show ya figo endelea kuisikia tu hivi hivi kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako!!!

Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
 
Back
Top Bottom