DJ Mark namba moja

DJ Mark namba moja

Ningekuwa karibu na wewe ningekuja kuzichukua aisee. Huku mtaani wamejaa hao kina Mark, Afro n.k ambao naonaga kama wananiumiza masikio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali mkuu, kama utazihitaji cku naweza kukuelekeza chombo moja kkoo mtaa wa aggrey kuna mwamba ndo anazo za kutosha tu tena ukichukua kuanzia hata 3 anakuuzia kwa bei ya jumla 700,ambapo huku mtaani tunauza moja 1500 had 2000 yan saf tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa karibu na wewe ningekuja kuzichukua aisee. Huku mtaani wamejaa hao kina Mark, Afro n.k ambao naonaga kama wananiumiza masikio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu kuna kitu nmegundua, wakat lufufu anatamba miaka hyo ya 90's had 2000's weng wao walikuwa hawajafka mjin au walikuwa watoto wa geti kipind hiko tulikuwa tunawaita(wa kufugwa) tulikuwa hatuwaon kwenye mabanda ya video

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ROBERT HERIEL,

Upo vizuri jamaa ila kwa sasa naona kama ameadimika..
Ila mtafsiri filamu mwingine ninayemkubali anajiita OMMY DJ jamaa naona ni wa Arusha yupo vizuri sana kwenye movies za kimarekani hasa za kivita na kijasusi. Jamaa naye anajua yupo serious na pia hata kwenye lugha. Hawa ma dj uchwara wanatafsiri sana uongo.

MÊmENtO HoMO
Huyo jamaa namkubali Sana anatafsiri movie kwa usahihi nimependa alivyotafsiri series ya "Outpost" alipatia Sana.
 
Hahaha!! vigwagizo vingine ni kama "ndani ya nyumba huyu ni Ommy D hapana shaka tunapiga bao, Waooooh, dooh, hutaki au, Wewe tu, Twende sawa, hakika ni kizaazaa, we cheki mambo hayo, mimi sina msaada nae/nao hakika nakwambia. Jamaa haboi namkubali sana hasa kwenye... The Knight Rider, Game Of Thrones, Lord Of The Rings, The Outpost n.k
Me niliangalia ya Outpost dah jamaa anajua sana
 
Mark Yuko vizuri Kuna kipindi ilibidi nimpigie Simu kumwambia namna ninavyokubali kazi zake...

Ingawa sijawahi kuonana nae lakini tusisubiri mtu afe ...

Ndio tumpe sifa...
 
Ila mkuu kuna kitu nmegundua, wakat lufufu anatamba miaka hyo ya 90's had 2000's weng wao walikuwa hawajafka mjin au walikuwa watoto wa geti kipind hiko tulikuwa tunawaita(wa kufugwa) tulikuwa hatuwaon kwenye mabanda ya video

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu nimesoma comment moja humu anasema kabla ya kujua hd movies aalikuwa anamjua achecheee.

Yaani yeye hizo achechee anaona zamaani, hajui enzi za kanyampasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom