xfet
Member
- Aug 15, 2019
- 63
- 97
tatizo waharibu movies, wanakatakata episodes unakuta series ya episode 14 kwao waenenda mpaka 30
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatuharibia jina huyo....DJ HAIJUI HATA NUMARK 88!!Halafu mdogo wangu hao sio ma dj na wala hawatafsiri hizo movie, maana ya DJ ni Disco Jocker...... Yani mchezesha muziki, sasa anachokifanya huyo unaemuita Dj ni tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo huyo dj anaeongelewa kwe ye huu uzi anafanana na dj mafuvu?Dj ni neno lenye wigo mpana, ni sawa na neno Mc.
Maana nash ni MC ila huwezi kusema wako kitengo kimoja na mshehereshaji MC pilipili
Huyo Dj mafuvu anajihusisha na sector gani katika u-Dj?Kwahiyo huyo dj anaeongelewa kwe ye huu uzi anafanana na dj mafuvu??
Ungekuwa unaujua udj..usingeuliza swali kama hiliHuyo Dj mafuvu anajihusisha na sector gani katika u-Dj?
Huku kitaani kuna mpaka Dj Yesu
U Dj ni nini?Ungekuwa unaujua udj..usingeuliza swali kama hili
Watakuja watoto wenzako kukujibu.U Dj ni nini?
Huwezi kua mini, hauwezi kua trouser/Watakuja watoto wenzako kukujibu.
Nime quote alafu na quitHuwezi kua mini, hauwezi kua trouser/
Hauwezi kua mimi, dogo hauwezi kua brother/
Ataye quote hii post yangu ndio mtoto sa ngoja tuone nani mtoto
Hii task ukisha run ni ngumu kui-quit, kwangu we ni mtoto hata mkichanga miaka na babu yako hamnikuti/Nime quote alafu na quit
Aisee kumbe we ni boya,Hii task ukisha run ni ngumu kui-quit, kwangu we ni mtoto hata mkichanga miaka na babu yako hamnikuti/
Dogo janja hakua boya kama unavyo dhani, na ndio maana uwoya alimtunuku mambo ya uani.../Aisee kumbe we ni boya,
muulize dogo mwenzio alichopata kwa uwoya
So unasifia ujinga, nyie ndo wale wanaume mnaovaa shangaDogo janja hakua boya kama unavyo dhani, na ndio maana uwoya alimtunuku mambo ya uani.../
We ni mtoto hili chaka la wakubwa mwiko kutinga, biashara za shanga hazikufai waachie machinga.../So unasifia ujinga, nyie ndo wale wanaume mnaovaa shanga
Kubishana na wewe siwezi,kwanza ni udwanz..eti mtu unajiita scars ,alafu unataka kubishana na djsWe ni mtoto hili chaka la wakubwa huwezi mwiko kutinga, biashara za shanga shazikufai waachie machinga.../
we boya usiwe na akili za kindezi, Kukaa nyuma ya kilabu hakukufanyi uwe mlevi.../Kubishana na wewe siwezi,kwanza ni udwanz..eti mtu unajiita scars ,alafu unataka kubishana na djs
Wa uswazi mnajulikana tu,truewe boya usiwe na akili za kindezi, Kukaa nyuma ya kilabu hakukufanyi uwe mlevi.../
Walewale
Mi ni msela ndo maana sina makuzi ya kichoko, nakupa somo bila hela kwasababu we ni mtoto mnoko.../Wa uswazi mnajulikana tu,true
Kilabu ni msamiati mnaoujua nyie tu