DJ Mark namba moja

DJ Mark namba moja

Hawa vijana wa digital hawawezi kumjua mkandara.
Ngoja tuwasindikizie na kapicha kdogo wamjue ICON wao!. #RIPMKANDALA
images%20(1).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofanyika kwa hao uliowataja hapo juu mtoa mada/nyuzi SIO KUTAFSIRI movie BALI ni kuielezea/kuisimulia.
Wanaotasfiri movie toka lugha halisi iliyotumika hawawezi weka sauti nyingine za ziada kama kuielezea movie kabla haijaanza, au kwenye scene ya mapigano wahusika hawaongei ila unasikia mtu anasimulia mapigano hayo.

Ukitaka kujua jinsi movie zinavyotasfiliwa angalia tamthilia kwenye eiza dikoda za Azam au StarTimes.
Huko ndio kutafsili movie au kwa lugha ya kitaalamu ni DUBBING.
Kasome kwanza aina zautafsiri, ndiyo uje tena kucoment
 
Alikuw

Alikuwa na vionjo vya kipekee sana. Toka enzi hizo hii lugha haipandi sielewi hata moja na mpaka leo angalau kidogo lugha inapanda lakini namkubali sana jamaa.

R.I.P
Dah yan acha tu huyu mshua alikuwa noma. Ukisikia anaongea saut ya kike anavyoiremba utapenda au aongee saut ya mtukutu BILL DRAGO kwenye movie ya delta force ya Churck norris.... Yan ni noma avyopita nayo km anadharau vile!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah yan acha tu huyu mshua alikuwa noma. Ukisikia anaongea saut ya kike anavyoiremba utapenda au aongee saut ya mtukutu BILL DRAGO kwenye movie ya delta force ya Churck norris.... Yan ni noma avyopita nayo km anadharau vile!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali sana mkuu, juzi nilikuwa safarini wakaweka No retreat no surrender imetasfiriwa na jamaa. Nilikumbuka mbali sana anamuita Cynthia rothrock masesilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niki sikia movie ime tafsiriwa naitupa dirishani...kweli tuna tofautiana

Dark Side
 
Kasome kwanza haina zautafsiri, ndiyo uje tena kucoment
Mkuu mwambie huyo mdogo wako hayo mambo ya utafsiri sio km hatuyajui tunayajua sana na tumeyasoma sana advance kwenye topic ya TRANSLATION & INTERPRETATION, mfano:

Word for word translation
Semantic translation
Communicative translation.... nk

Ila hayo yote hatujataka kuyafatilia saaanaa, sis tunachofatilia zaid vionjo vyao sababu tukisema tufate wanachotafsiri bas tutawakosoa wengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, juzi nilikuwa safarini wakaweka No retreat no surrender imetasfiriwa na jamaa. Nilikumbuka mbali sana anamuita Cynthia rothrock masesilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmecheka sana mkuu, yan huyu mjomba alikuwa anatupa burudan sana!. Ujue me ishu zangu za library hasa hizo movie za mjomba lufufu nnazo za kutosha tu, kwahyo cku nkijsikia kucheka kurefresh mind naweka movie moja ya jamaa naenjoy cku yangu saaaaf

Nikweli mkuu, ujuaji ndio unatukwamisha
Sana kupata maarifa mapya,
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, juzi nilikuwa safarini wakaweka No retreat no surrender imetasfiriwa na jamaa. Nilikumbuka mbali sana anamuita Cynthia rothrock masesilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mkuu najiandaa kuchek movie ya Churck norris MISSING IN ACTION kapita nayo mjomba lufufu, ni refresh mind + nicheke kdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmecheka sana mkuu, yan huyu mjomba alikuwa anatupa burudan sana!. Ujue me ishu zangu za library hasa hizo movie za mjomba lufufu nnazo za kutosha tu, kwahyo cku nkijsikia kucheka kurefresh mind naweka movie moja ya jamaa naenjoy cku yangu saaaaf

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa karibu na wewe ningekuja kuzichukua aisee. Huku mtaani wamejaa hao kina Mark, Afro n.k ambao naonaga kama wananiumiza masikio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom