Diwani wa Wilaya ya Kisarawe Pwani alalamika uhaba wa kondomu

Kondomu sio bidhaa ya biashara sawa na pamna za wanawake? Wafanya biashara hawawezi kuzipata na kuweka madukani mtaani?
 
Halafu zimeadimika kipindi kibaya, msimu wa likizo kwa vijana
 
Usisumbuke, siku nyingine hiyo nauli unayotumia kuzunguka mpe bodaboda akakununulie akuletee
 
Halafu zimeadimika kipindi kibaya, msimu wa likizo kwa vijana
Hazitakiwi kuadimika, namna ya kupambana na magonjwa ya zinaa ni kinga zitumike ipasavyo ili mwili ulioathirika uwekewe mipaka hii inasaidia hata katika kipindi cha matibabu badala ya kutibiwa watu 1000, basi watibiwe 300.
Swala la ngono lichukuliwe kama sumu ambayo haruhusiwi mtu kugusa kabla hajavaa gloves ama vifaa vya kulinda ngozi
 
Unaona ugumu kununua condom jana nipo Pharmacy na wateja wengine kama 4 hivi mwamba kaja anataka huduma haraka apewe viagraa...🤣
 
Huyo diwani nae chenga tu, ukikata nyagi kubwa moja hakuna ngoma wala uti itakusogelea...😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…