Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

huyo diwani amekabidihiwa kadi ya chadema na slaa muda huu huko geita
Mkuu asante sana kwa habari...kama una zaidi tudondoshee hapa maana makamanda imekuwa vigumu kuwapata....
 
mh hivi huyu Lema ana ushawishi gani hasa?

Kuna Gamba moja humu JF liliwahi kusema kuwa Lema hana ushawishi wowote katika siasa za Tz....sasa anaona matokeo yake....Lema jembe la ukweli....na bado...hizi rasha rasha tu...bado masika....hadi 2015, watakuwa wameisha wote....!!!!
 
Kuna Gamba moja humu JF liliwahi kusema kuwa Lema hana ushawishi wowote katika siasa za Tz....sasa anaona matokeo yake....Lema jembe la ukweli....na bado...hizi rasha rasha tu...bado masika....hadi 2015, watakuwa wameisha wote....!!!!

Tatizo siyo Lema kuwa na ushawishi, Hali ngumu ya maisha, mfumumko wa bei, wizi nk. vyote hivyo vimechangia watu kuamka toka usingizini. wanachofanya kina Lema ni kuwaamsha wananchi toka usingizini.

Kwa baadhi tulioshiriki kampeni za Arumeru, tuliona wazi kwamba wananchi sasa hawaitaki CCM, na haikuwa vijana tu bali kulikuwa na hamasa kubwa sana ya mabadiliko kutoka kwa kina mama na wazee, na hili nadhani liliwashangaza wengi wakiwemo viongozi wa CCM.

Kwa ma opportunists hii ni nafasi pekee ya kuhama kutoka CCM kwenda CDM, maana huko ndiko wanaweza kuchaguliwa na wananchi kwenye chaguzi zijazo.
2015 CDM itakuwa na wabunge wengi kuliko CCM, huo ndiyo utabiri wangu. waache kina Nape waendelee kudhani CCM itatawala milele, labda kwa wizi wa Kura.
 
Safi sana,tunaomba wana ccm wengine wazidi kujiunga kwa kasi na CHADEMA,walifikiri wamemkomoa Lema kwa mahakama kutengua ushindi wake kumbe wamejikomoa wenyewe.
 
mh hivi huyu Lema ana ushawishi gani hasa?

Unajua hawa wanashindwa kujifunza na hii inaendelea kudhibitisha chama tawala chaweza kupata mbadala 2015. Walisababisha Zitto kufukuzwa bungeni kilichotokea wameishaisha kisahau na sasa wamefanya fitina mpaka wamemung'oa Lema kwenye Ubunge na sasa wanaonja shubiri.
====
Update 1/9/2018
-----------
Hapa kabla sijajua undani wa uwendeshaji wa chama hicho na nia halisi ya chama hicho.
 
mh hivi huyu Lema ana ushawishi gani hasa?
mmmh huyu jamaaa hafaii hata chembe,,aliwai kuja kitaani kwetu alichokifanya alituwekea cd ya luckdube,,akakoleza na sarafina kisha watu 2kawa wapole akaanza kuhubiri na wote tulijikuta tunalia,,,,maaamaaaaa...siku hiyo ndo nlipokea uponyaji nkavaa gwanda mpaka leo,,,,LEMA HAFAI KAMA BDO UNAYAPENDA MAGAMBA BASIIII KAA NAE MBALI NDUGU
 
Lema ni noma speech zake leo Geita zimecha gumzo cjawahi kuona mwitikio wa watu namna hii
 
Tayari washamzushia Ole Milya kwamba katoroka na fedha...siku zote hawakuona hilo, wanagundua saa hizi!
Namhurumia Nape! Sielewi safari hii atasema nini...Je madiwani wote hao wanajivua gamba gani?

Hata kama wanajivua, ina maana kwa ushawishi wake waligoma kuvua, na sasa kwa ushawishi wa Lema wanalivua!..ha ha haaaa!..anatakiwa akubali kuwa Lema yuko juu yake kama sio kiunoni kwake!

Cha maana wamfuate Jaji Rwakibalira aliyemhukumu Lema abatilishe hukumu, na huyu mtu mkorofi sana na mshawishi wa umwagaji wa damu aitwaye Godbless Lema arudishwe Bungeni mara moja ili asiendelee kuvuruga amani ya nchi yetu na kushawishi wananchi wazitambue haki zao za msingi hadi huko vijijini!
 
Napata faraja kubwa kusema UKOMBOZI WA TANGANYIKA WETU unakamilika
 
inawezekana mnasema hayo wenzenu wanashindwa wabuni mkakati gani kudhibiti hicho ambacho hawakukitarajia walijua Lema wamemmaliza kumbe WAMEMWINUA HATA YEYE LEMA ANASHANGAA JINSI ALIVYOPAISHWA NA MAGAMBA. sasa hivi kila anachosema watu ni ndiyo. na akimaliza ziara nchi nusu ya nchi kutakuwa na mabadiliko ya ajabu. KAZI NJEMA KAMANDA. Wenye wivu wakafie mbali!!!! hiyo ndiyo M4C
 
Nape sema na hawa sasa!
Nape acha roho ngumu njoo kwa makamanda tukakomboe nchi


Mungi achana na hilo gamba lisije CDM, nlikuwa namkubali kabla ya kuwa DC, Kuanzia hapo kawa mnafiki na mwongo kupita maelezo. Akae huko huko aendelee kushuhudia chama chake kikigawanyika vipande vipande.
 
Maombi ya siku saba hayo at work.
Wao wana pesa na dola Chadema wana Mungu kupitia peoples power.
.
 
This is good news

wanaodharau peoples power, mimi simo.

mwaka ule CDM iliitwa chama cha msimu; leo kitaitwaje?
😱hwell:😱hwell:
 
Nini !!!?????????? Unaijua chadema au una isikia chadema!???????
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz???????????????????
 
God bless tanzania, God bless chadema, God bless Lema, aluta continua. ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,peoples,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr....
 
Mawaziri wafwatao mpaka sasa kikao kinaendelea wameshakubali yaishe
1.mustafa mkulo
2.omary nundu
3.cyril chami
4.haji mponda
5.lucky nkya
6.william ngeleja
 
Back
Top Bottom