Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Apr 20, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Diwani wa kata ya Lugata(Adrian Tizeba) Sengerema amejiunga rasmi na chadema na ameondoka na mh Lema kutoka sengerema kwenda Geita ambapo atakabidhiwa kadi nakatibu mkuu wa chadema Dr. Slaa na kesho madiwani wanne jimbo la sengerema na wenyeviti wa vitongoji 22 watajiunga na chadema...

  Source: Godlbess Lema

  ================
  [​IMG]
  Kwenye picha hapo juu Diwani Tabasamu(aliyevaa kombati wanaokumbatiana) akipokelewa na makamanda...Kwa mjibu wa Ben
   
 2. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Breaking News:

  Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Lugata (CCM) Wilaya ya Sengerema Adrian Tizeba amekihama chama hicho na kuhamia CHADEMA,

  Diwani huyo kwa sasa yuko na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema pamoja na Katibu wa Chadema Kinondoni wakielekea kwenye mkutano wa hadhara Mjini Geita ambapo atakabidhiwa kadi yake mpya ya CHADEMA na Katibu wa Mkuu wa chama hicho Mh. Wilbrod Slaa,


  Kwa Mujibu wa Mh. Lema, kesho atawatangaza Madiwani wengine wanne wa Jimbo la Sengerema (CCM) wakiwa na wenyeviti 22 wa vitongoji pamoja na wanachama wao ambao kwa pamoja wamehamua kukihama Chama cha Mapinduzi na Kuhamia CHADEMA wakilalamika kufilisikia kimawazo na kimtazamo kwa kilichokuwa Chama chao.

  Sikiliza Arusha Mambo FM, tembelea www.arushamambo.com click ''Sikiliza Arusha Mambo FM..." na tutajiunga na na wenzetu walioko eneo la tukio ili kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja ya kuhama kwa diwani huyo.

  Source Arusha Mambo.
   
 3. jacksonmakala

  jacksonmakala New Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Diwani wa kata ya Lugata Sengerema Bw. Adrian Chiziba amejiunga na CHADEMA rasmi. Hii ni katika mkutano wa hadhara unaofanyika Geita chana huu ukihutubiwa na Dr. Slaa na Godbless Lema.
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nape maji ya Shingo
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  God Bless Lema.
   
 6. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ngoja waone moto wa maombi ya Lema walidhani Mungu ni Athumani!
   
 7. Y

  Ye Nyumbai Senior Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanyaga twende......Pipoooooooooooooooooooozzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh hivi huyu Lema ana ushawishi gani hasa?
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nasikia anataka kufufua chama chake...
   
 10. S

  SI unit JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ukombozi umetimia!!
   
 11. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Sauti inasikika nyikani...
   
 12. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  aisee hii haiajapata kutokea
   
 13. Godfrey Electronics

  Godfrey Electronics JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tunasubiri wawe wengi
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kuna watu humu JF watafukuzwa kazi! Hakyanani nawaambia maana ninajua huwa wanafikisha taarifa za uongo kwa wakubwa zao! Nape, timua wote hao nawe ujivue gamba ujiendee zako CCJ.
   
 15. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ama kweli hakuna marefu yasiyo na mwisho, yaani CCM ndo inakufa kifo kibaya namna hii! Hii nafikiri ni dhambi ya kuiua Tanganyika kwa makusudi. Kaaaazi kwelikweli!
   
 16. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  khaaa!
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  nasubiri kauli ya Nape
   
 18. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Ngereja... where are you? Aliyekwambia msukuma mshamba nani?.. thanx my bros & sisters
   
 19. h

  hans79 JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  msharaha wa dhambi ni mauti,ohhhhhhhhh marehemu CCM dhambi ya dhuruma imekufikisha hapo!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nape sema na hawa sasa!
  Nape acha roho ngumu njoo kwa makamanda tukakomboe nchi
   
Loading...