Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,559
- 12,275
Duuuuuuh kama movieUbao wa matangazo umebadilika!
Duuuuuuh kama movieUbao wa matangazo umebadilika!
Ni kama gwaride tu
Waasisi wakubwaHaka kamchezo kumbe walianza wao!? Hahaha.
Long live JF.
Kweli nimeamini maisha ni mzungukoNi kama gwaride tu
Hahaha. Eti Chama tawala chaweza kupata mbadala 2015!Unajua hawa wanashindwa kujifunza na hii inaendelea kudhibitisha chama tawala chaweza kupata mbadala 2015. Walisababisha Zitto kufukuzwa bungeni kilichotokea wameishaisha kisahau na sasa wamefanya fitina mpaka wamemung'oa Lema kwenye Ubunge na sasa wanaonja shubiri.
Tena mzunguko usiokuwa na formulaKweli nimeamini maisha ni mzunguko
Hapo nilikuwa sijajua nia halisi ya chama hicho... baada ya kushtukia mchezo 2015..! Baadaye kujiridhisha na namna hawa jamaa walivyo amua kuendesha siasa zao baada ya 2015 ; mfano waamdamizi wa chama wakawa wanateta wanasema bora watanzania tufungiwe kisiasa, kiuchumi, kidiplomasia, nakadhalika ili tu chama hicho kiingie madarakani nikijua hapa hakuna nia njema ya kuwasaidia watanzania. Kingine hawa jamaa hawakuwa na nia kabisa ya kuijenga Tanzania ya Kujitegemea... Na hii ni baada ya kukejeli kuwa Tanzania hatuwezi kujitegemea baada ya Rais Magufuli kueleza nia yake hiyo kama kiongozi wa nchi. Hapo ndipo waliponifuta kabisa.Hahaha. Eti Chama tawala chaweza kupata mbadala 2015!
Makamanda mlibadili hizi IDs zenu.
Zamu na nani leo? Zamu ya Chama Dola....msikonde makamanda.
Kwa hiyo leo hii mtazamo wako ukoje ndugu Jitegemee!?Hapo nilikuwa sijajua nia halisi ya chama hicho... baada ya kushtukia mchezo 2015..! Baadaye kujiridhisha na namna hawa jamaa walivyo amua kuendesha siasa zao baada ya 2015 ; mfano waamdamizi wa chama wakawa wanateta wanasema bora watanzania tufungiwe kisiasa, kiuchumi, kidiplomasia, nakadhalika ili tu chama hicho kiingie madarakani nikijua hapa hakuna nia njema ya kuwasaidia watanzania. Kingine hawa jamaa hawakuwa na nia kabisa ya kuijenga Tanzania ya Kujitegemea... Na hii ni baada ya kukejeli kuwa Tanzania hatuwezi kujitegemea baada ya Rais Magufuli kueleza nia yake hiyo kama kiongozi wa nchi. Hapo ndipo waliponifuta kabisa.
Wakanye Nyumbu! Wakisoma huo msemo "Maisha ni mzunguko" wanaweza kwenda kuzunguka kwenye "Round About" kutafuta huo mzunguko wa maisha! Ohoooo...hawana maana hao!Kweli nimeamini maisha ni mzunguko
Hahahahahaha watu mna manenoWakanye Nyumbu! Wakisoma huo msemo "Maisha ni mzunguko" wanaweza kwenda kuzunguka kwenye "Round About" kutafuta huo mzunguko wa maisha! Ohoooo...hawana maana hao!
Wao walikuwa hawanunui ila ccm inanunua..Ubao wa matangazo umebadilika!
Au Wafipa wanaita Mabadiliko ya Gia za Anga..Hii wazungu wanaita INTERCHANGEABILITY
Walikwenda mbali wakasema wako radhi kuingia ubia na shetani....
mfano waamdamizi wa chama wakawa wanateta wanasema bora watanzania tufungiwe kisiasa, kiuchumi, kidiplomasia, nakadhalika ili tu chama hicho kiingie madarakani nikijua hapa hakuna nia njema ya kuwasaidia watanzania...
Kwa mujibu wao, ndio maana yake!!
Kwa mujibu wa ''makamanda'' ni kuwa manunuzi hufanywa na CCM pekee!Wao walikuwa hawanunui ila ccm inanunua..
Kweli hawa jamaa jina lao lile la mbugani linawafaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app