Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

watajuta kumtosa Lema bungeni maana wanalia ni bora angebaki Bungeni huyo ndo Lema mwenye uwezo mkubwa wa kushawishi na bado.peeeeeepooooooos
 
Sasa hivi kila nikiona title ya thread mpya inayoanzia na "Diwani wa ....." najua kuwa kuna diwani amehama kutoka CCM kwenda CDM
 
Sasa hivi kila nikiona title ya thread mpya inayoanzia na "Diwani wa ....." najua kuwa kuna diwani amehama kutoka CCM kwenda CDM

Watu wengi ukiwaambia wanajua unazungumzia habari ya juzi kumbe ni latest mzee....
 
Jamani huyu kijana wetu Lema, hongera kwa kazi mkuu. But be very careful na hata hao wanaohama maana kuna ambao watatumwa kufanya mambo. Hakikisha una usalama wa kila kinachoingia kinywani mwako, chakula na maji, etc. Na mahali pa kulala ni siri yako na ikiwezekana change hotels!!! Kazi inayofanyika kwa sasa ni hatari kwa Magamba and can do anything. Hawana amani kwa sasa.

kaka nimebahatika kuwa karibu na lema mda mrefu hayo unayomweleza anayatekeleza 'itoshe kusema lema ni 'FBI' ukishindana nae utaumia.
 
Saa ya ukombozi ni sasa na kila aliye na akili timamu asema mkobozi wa Tanzania ni kile CHAMA chenye sera na maono kwa ajili ya watanzania yaani CHADEMA

Wao wana fedha,majeshi ya ulinzi,SISI TUNA MUNGU NA NGUVU YA UMMA
 
Naikumbuka sana ile siku ya Jumamosi ya tarehe 07/04/2012 katika viwanja vya NMC - Unga Limited.

Nakumbuka na ile CD iliyo na ujumbe maridhawa kabisa kwamba '..ijapokuwa tunapita katika taabu na mashaka na huzuni, yatupasa TUMSHUKURU MUNGU..'..Majuma matatu yamepita na leo naona uwezo wa Lema na nguvu aliyo nayo katika kushawishi.
Asante sana Lema
 
Mkuu jaribu hata kuangalia kwenye youtube utaona mziki wake harafu ukweli ni kwamba wananchi wameichoka CCM mpaka watu wa arusha wanasema chadema hata ikisimamisha mavi zidi ya ccm...mavi yatashinda

huyo diwani amekabidihiwa kadi ya chadema na slaa muda huu huko geita
 
makuhani wote wa Tanzania waendelee na maombi ili upepo huu wa M4C uvume kila kona ya Tanzania.Mungu hatawaacha wenye kumtumainia wateseke siku zote.Safi sana
 
Breaking News:

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Lugata (CCM) Wilaya ya Sengerema Adrian Tizeba amekihama chama hicho na kuhamia CHADEMA,

Diwani huyo kwa sasa yuko na Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema pamoja na Katibu wa Chadema Kinondoni wakielekea kwenye mkutano wa hadhara Mjini Geita ambapo atakabidhiwa kadi yake mpya ya CHADEMA na Katibu wa Mkuu wa chama hicho Mh. Wilbrod Slaa,


Kwa Mujibu wa Mh. Lema, kesho atawatangaza Madiwani wengine wanne wa Jimbo la Sengerema (CCM) wakiwa na wenyeviti 22 wa vitongoji pamoja na wanachama wao ambao kwa pamoja wamehamua kukihama Chama cha Mapinduzi na Kuhamia CHADEMA wakilalamika kufilisikia kimawazo na kimtazamo kwa kilichokuwa Chama chao.

Sikiliza Arusha Mambo FM, tembelea www.arushamambo.com click ''Sikiliza Arusha Mambo FM..." na tutajiunga na na wenzetu walioko eneo la tukio ili kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja ya kuhama kwa diwani huyo.

Source Arusha Mambo.

naomba madiwani wote wa ccm nchi nzima wajiuzuru! Patakuwa patamu sana hapo. Hivi hao wanaojiuzuru uchaguzi utafanyika upya?
 
naomba madiwani wote wa ccm nchi nzima wajiuzuru! Patakuwa patamu sana hapo. Hivi hao wanaojiuzuru uchaguzi utafanyika upya?

kama kawaida kwa mjibu wa sheria, unatakiwa ufanyike ndan ya cku 90, baada ya madiwan hao kujitoa ccm, automaticaly wamepoteza udiwan wao.
 
Mkuu nitapatawapi hii Ndisheti?

profilepic35342_3.gif
nimeipenda hii t shirt.unauza wapi wewe?au umejiandikia?ccm ndo kinaaga
 
Back
Top Bottom