Divided Perspective; Laana na Mashangilio

I repeat and I will repeat...problem is with the Media!

Thomas Jefferson once said that informed citizenry is the only true repository of the public will.

The way I see it? If the president would have done what it really takes to confront the Mafisadi whole heartedly and the Media not reporting that, it would have been my concern too!

Media should report...as Thoms J pointed...but report what if the president is not firm and hard to those areas where he should?

I therefore add...President do what must be done..and..and..Media please report that important news to the Tanzanians especially at vijijini!
 
Mwanahabari,
Umeipata wapi hii mkuu, imenivutia sana...
"Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded." - JK Nyerere
 
Mimi katika suala hili nitatoa maono yangu.

Siku moja katika pita zangu nilikuwa ktk mji wa Bukoba bahati nzuri siku hiyo ndipo ilikuwa kesi ya Lwakatare inahukumiwa. Nilichokiona pale ndio maana baadhi ya watu wakisema tuna demokrasia kwanza mimi nakataa na nitakataa milele. Tanzania ni nchi yangu lakini demokrasia tulionayo imeambatana na woga ambavyo vinasababishwa na vitisho kutoka kwa viongozi either wa serikali au chama tawala.

Katika kuanzisha mfumo wa vyama vingi mwalimu aliona hili. hata mtanzania alipopewa uhuru aseme tu kama anataka vyama vingi au kimoja. Wengi walifikiria kwamba mawazo yao yatachukuliwa na watakuwa ktk matatizo wakasema chama kimoja. Ni busara tu za mwalimu tuna vyama vingi.

katika suala lililoko tanzania huko nyuma hapa hapa niliwahi kusema tumalizane huku huku tukitegemea kubadilisha uongozi kwa kutumia masanduku ya kura tumeliwa.

Haya yanayoonekana monduli na bariadi ndiyo hali halisi. hao watu wakati mwingine hawana hata chakula.

Mafisadi wanapeta na kutudhiaki na kutunyoshea mikono kuonekana kama hatuna hoja na hatuwezi kuwanyima usingizi. haya yote nayasema na narudia kuyasema katiba ya nchi yetu ni nzuri lakini haina experience.

Hawa MAFISADI inatakiwa wawe wamezuiwa na sheria mama. Mtu yeyote akipatikama amefanya UFISADI hana haja hata ya kutoka pale alipo. Taifa letu linaangamia kwa sababu ya sheria za 47.

Hapa ni kulazimisha tubadili katiba ya nchi hili MAFISADI wakamatwe mara moja na kufukuzwa katika ofisi na kuondolewa kinga. Hili halitakuja kirahisi tuhakikishe linawezekana.
 
Hivyo basi moja ya hizi disconnect ni woga unaotokana na vitisho. Just imagine wale Wamasai au Wanyantuzu ambao walikuwa wanataka kuendelea kuswaga ng'ombe zao siku ya maandamano ya kumpokea mfalme halafu wakachimbwa mkwara!

Just imagine kampeni za CCM kutishia wananchi kuwa Upinzani ukiingia madarakani, yaliyotokea Rwanda, Congo na hata Kenya na Uganda yatatokea Tanzania!

So kazi kubwa kwetu ni kujenga Taifa linalojiamini na kutokuwa wepesi kukubali vitisho vya watu au Chama.

Tunarudi kule kule kwenye Ibara ya 15.1!
 
Mkuu wangu Rev.

Hapo ndipo suala zima la civic education linapokua la muhimu,no wonder ccm hawataki kabisa kusikia kitu kama hicho coz badala ya kupokelewa kama shujaa,basi CHENE angerushiwa mikuki yaani ile ya kibaka style!

Tanzania tunachekesha sana,ukiiba kidogo utapigwa mawe,ukiiba kikubwa basi wewe utaonekana hero.Damn!

Sasa bado mramba,sidhani kama kule Rombo wanamuona hero bado
 
Ben,

Huu unyonge, CCM wanaujua na wanautumia kwa nguvu zote kuhakikisha wanaendelea kupeta.

Just imagine kule kijijini, unaipinga CCM, mwenyekiti wa CCM wa Kijiji, mwenyekiti wa Kijiji, kata na hata tarafa, wanakupa live kuwa utatengwa na hawatakusaidia katika uzalishaji mali na hata chama cha ushirika hakitakuja nunua mazao kutoka kwako! Zaidi wanakuchimba mkwara na kusema Polisi ni ya CCM na Rais ni CCM, wewe mpinzani au usiyeunga mkono CCM unasaliti TANU iliyotuletea uhuru!

CCM wamevuna sana kwa hii saikolojia. Nyerere hakuwa na nia hiyo, ila wanafunzi wake wajanja walioshika utamu baada yake ndio waliofanya haya mambo maouvu yaliyodumisha unyonge na umasikini wa fikra (UJINGA)!
 
Makamba is another fisadi defending fisadi Chenge. We have a valid point to conclude that CCM ni chama cha mafisadi and they don't deserve to be in power

CCM divided over Chenge welcome

2008-05-10 11:11:56
By Hannah Mwandoloma and Angel Navuri

CCM secretary general Yusuf Makamba has described the official welcome home accorded to former Infrastructure Development minister Andrew Chenge when he went to his Bariadi West constituency this week as a sign of how the legislator is accepted by his electorate.

Chenge visited his Bariadi West constituency on Wednesday for the first time since he resigned last month following allegations that he had illegally deposited USD 1 billion in a foreign country.

The money was suspected to have been part of a hefty kickback for sanctioning the controversial radar deal which was paid to senior leaders in Tanzania by a British firm.

According to press reports, CCM Mwanza regional secretary Rajab Kundya said that the warm reception accorded to the former Infrastructure minister had been organized to sympathise with him and congratulate him for his brave decision to resign.

CCM Mwanza regional chairman Clement Mabina and other party cadres were reported to have been in the former minister`s motorcade which drove all the way from Mwanza to Bariadi on Tuesday.

On arrival in Bariadi, Chenge was received by CCM Shinyaga regional chairman Hamisi Mgeja and Bariadi district commissioner Baraka Konisaga, according to a newspaper report.

He becomes the second former minister to have been accorded an apparently heroic reception in his home area shortly after being disgraced.

In February, former prime minister Edward Lowassa was also given a heroic welcome in his Monduli constituency soon after resigning after being implicated in a multi-billion-shilling power generation contract scandal.

Speaking to this paper yesterday, the ruling Chama cha Mapinduzi Secretary General Yusuf Makamba said there was nothing wrong for CCM to throw a big welcoming party for Chenge.

He said both Chenge and Lowassa were still Members of Parliament and their voters still counted on them.

``What is so surprising about the warm reception given to Chenge and Lowassa? These people have decided to go back home where they belong.

Their voters are happily welcoming them. Why shouldn't they be happy to see them?`` Makamba said during a telephone interview.

He said the two ministers were innocent until proven guilty and their voters were congratulating them for the wise decisions to resign from their ministerial positions.

``The investigations are underway. Since we have not been given any proof of their guilt, we count them as clean,`` he said.

When contacted, CCM Vice Chairman (mainland) Pius Msekwa said he had no comments because he had not been among the people who welcomed Chenge and Lowassa.

``Why are you asking me? I was not there. Why don`t you ask those who organized those receptions?`` said Msekwa.

CCM Publicity Secretary John Chiligati when reached for comments said if proven guilty, the two leaders would be punished by the party.

``For the time being, CCM cannot do anything to Chenge because the investigations are not yet over, he said.

``Chenge is still our member. We cannot start judging him even before the probe is over,`` he added.

However, some CCM legislators who spoke to this paper said grand receptions accorded to public leaders accused of corruption were a typical example of how some politicians could take advantage of poor voters.

MP for Vunjo CCM Aloyce Kimaro said the warm reception organized by ruling Chama cha Mapinduzi for Chenge was wrong. He said CCM party in Shinyanga Region had taken advantage of the people`s poverty.

``I believe that involving ordinary citizens in this matter is improper. People are getting driven in because of their poverty,`` said Kimaro.

Kimaro said CCM should think of where the party has come from and focus on its way forward.

He said the party's capital was the poor citizens who were being innocently involved in clearing politicians accused of corruption.

He added that CCM members and party leaders should work together for the betterment of the party and at the end of the day; every one would reap what he had sown.

``If you do a good job then the fruits will show, but if you do a bad job, the results will come out accordingly,`` Kimaro said.

The Busega CCM legislator, Dr Raphael Chegeni, said CCM should not try to clear people accused of corruption even before investigations were over.

``These huge receptions being given to people accused of being involved in grand corruption might end up sending the wrong picture to the people.

One wonders why a grand welcome home party should be organised after one had resigned because of graft allegations,`` asked Chegeni.

He said that such leaders should not use their money to buy the sympathy of their voters.

``I believe all these grand receptions we are witnessing are stage managed. They are prepared and paid for to fool the world,`` he said.

Chenge`s convoy, which was apparently organized by CCM leaders in Mwanza, comprised 22 vehicles, including five buses, seven lorries and several small cars. It was escorted by 10 motorcycle riders.

It was reported that a cow was slaughtered for the wananchi in each village where the motorcade passed.

Allegations on Chenge were first reported by The Guardian newspaper of UK, which revealed that British investigators involved in a three-year inquiry over the controversial radar deal had located more than USD one million in an account owned by Chenge in Jersey, UK.

SOURCE: Guardian
 
Pamoja na kuunganishwa kwa mada mbili ambazo zinaonekana kufanana lakini zenye mwelekeo tofauti, naomba niendelee na hoja ya Divided Perspective.

Nafikiri inabidi tuke chini na kujiuliza how do we re-connect hawa ndugu zetu ambao wameendelea kuona CCM ni bora na hata kuandamana na kuishangilia pale inapoonekana dhahiri kuwa CCM haifanyi mambo kwa manufaa ya Taifa?

How can we reach these souls that have been intimidated by CCM authority and declare to them that they are independent to do as they please as long as they don't break the laws?
 
Rev. Kishoka,
Mimi ninayo dawa nazidi kuivundika ipate kuiva kabla sijaiwakilisha kwa wakubwa wangu....
Trust me, najipanga kurudi TZ kuungana na jamaa zangu kina Zitto...
Tatizo kubwa naloweza kuliona hapa ni jinsi gani Tanzania na hasa vyama vya Upinzani vimejiandaaa kuwapokea watu kama nyie maanake sii rahisi mtu kuacha maisha alokwisha yajengwa huku kwa miaka kwenda ktk kiza kipya cha maisha Tanzania.

Hata Kikwete anapokuja huku na kuwaomba vijana warudi nyumbani huwa najiuliza, hivi huyu kaanda kitu gani kwa hawa vijana kiasi kwamba wafikirie kurudi nyumbani?... Lugha hiyo hiyo huitumia kwa Wawekeshaji anaojaribu kuwavuta..
Kifupi hakuna maandalizi yoyote.

kwa hiyo binafsi najaribu kujipanga....mwaka 2010 ni mwaka wa kueleweka!
 
Kuna kijana aliitikia mwito wa kurudi baada ya kukutana na JK mare 2 US jamaa kaamua kupangua na kurudi Dar .Alikuja na mambo mengi sana juu ku invest.Jamaa majuzi nimekutana naye anakunywa cvhai anashangaa aliyo ambiwa kwamba yameboreshwa serikali ni ngumu na amejaribu kumpa JK akashindwa nikampa simu ya JK direct , JK akasema nenda mahala fulani utasaidiwa hadi sasa ni hadithi baada ya miezi 5 kaamua kurudi US na anasema anaweza asiipende TZ kaama wasemayo Viongozi si mambo ni mchezo kwa maisha ya watafuta maisha .
 
Viongozi Tanzania longolongo sana....kwa porojo hawajambo, yaani ni kama ndoto za mchana na kujenga ghorofa pasipo na kiwanja. Ukiwa unaongea na kiongozi wa serikali kuwa mguu mmoja nje mwingine ndani (50% ukweli na 50% uongo, kujifagilia)
 
Bob Mkandara,

Just think of this case and this scenario.

Uko kwenu Ukerewe, ni mkulima na una kaduka kako. Mbunge wenu Msekwa au Mongella, anarudi nyumbani baada y akukumbwa na sekeseke ya tuhuma za uhujumu, kufuja mali na hata ufisadi (wizi).

Mwenyekiti wa Kijiji na yule wa tawi la CCM pale kijijini, wakiandamana na katibu tarafa wanakuja pitisha harambee ya kutaka kondoo, kuku, mbuzi, ngombe, mchele, mkungu wa ndizi ili kuandamana kwenda Nansio kumpokea Mbunge wenu Msekwa/Mongella kwa kurejea nyumbani baada ya kujiuzulu kwa tuhuma.

Wewe si CCM, ni independent au tuseme ni Chadema, CUF au DP. Unakataa kutoa "mchango" huu wa sherehe. Tuseme kukataa kwako hakuhusiana hata chembe kuwa wewe si Mwana CCM au ni hukumu yako juu ya Mbunge wako, bali ni utashi kuwa hutaki changia.

Wanakukalisha kikao na kuanza kukuchimba mkwara na vitisho;

  • ohh, Mukandara unajitenga?
  • unajiona wewe ni bora?
  • huogopi Polisi ambao ni CCM? na Rais wa nchi ni CCM?
  • hivi ukifiwa nani atakusaidia kuzika?
  • mahindi yako yakikomaa nani atakusaidia kuvuna?
  • unafikiri kiduka chako tunakitegemea sana?
  • umesahau kuwa Serikali ni ya CCM? na CCM ndio iliyotupa Tanzania Uhuru?
  • je watoto wako shule anayokwenda ni nani kajenga kama si CCM?
  • kama si CCM wewe ungepata wapi huu utajiri wako mbuzi?
  • sisi tutakutenga na si mwenzetu!
  • mazao yako siku ukiyaleta gulioni tutahakikisha umedoda
  • endelea kuringia vimbuzi na vikuku vyako, wewe ni nani kuigomea CCM!
Halafu taratibu, wenzi kijijini wanaanza kujitenga nawe, watoto wanalishwa sumu shuleni na kuanza hata kukushangaa kwa msimamo wako huku shuleni wameimba CCM kupitia TANU ilituletea uhuru kutoka mkoloni. Leo Baba inakuaje unakataa kuisaidia CCM?

Kumbe Bob Mkandara yule mbuzi na kuku ni mbegu ya kuzalisha mbuzi na kuku wengine ili mwanao Msafiri anayemaliza darasa la saba apate karo ya kwenda sekondari!

This is what I am talking about Divided perspectives. Si ajabu wengi walioandamana waliburuzwa kwa vitisho, wakapewa Khanga, Kofia na chupa moja ya Wanzuki.

Lakini ni mpaka lini tutaendelea na hii disconnection?
 
Ndio maana nilisema dawa ipo ni kufikiria njia ya kuondoa base!.. msingi ukiondoka hakuna nyumba kusimama mjomba subiri 2010...InshaaAllah, tutajaribu tukishindwa tutachukua tena Meli..
 
Kuna kijana aliitikia mwito wa kurudi baada ya kukutana na JK mare 2 US jamaa kaamua kupangua na kurudi Dar .Alikuja na mambo mengi sana juu ku invest.Jamaa majuzi nimekutana naye anakunywa cvhai anashangaa aliyo ambiwa kwamba yameboreshwa serikali ni ngumu na amejaribu kumpa JK akashindwa nikampa simu ya JK direct , JK akasema nenda mahala fulani utasaidiwa hadi sasa ni hadithi baada ya miezi 5 kaamua kurudi US na anasema anaweza asiipende TZ kaama wasemayo Viongozi si mambo ni mchezo kwa maisha ya watafuta maisha .

Lunyungu
Maisha ya huku tunayajua wenyewe ni ya kubangaiza, mimi nilisema kwenye thread moja kuwa hapa Bongo ukiwa mzalendo unajiumiza tu, unafanya kazi ukidhani unaendeleza taifa kumbe unawaendeleza watu wawili watatu. Politicians are the ones who benefit most from our sweat, unafanya kazi kutwa kucha unaumia kazini, lakini anayenufaika ni yule aliye juu kabisa, kodi tunazolipa ni kidogo sana zinarudi kwenye kutoa huduma za jamii. Sasa hivi kama huna kazi ukiweza kuishi kwa wizi wizi tu (mission town) ni vizuri maana hulipi direct tax yoyote, hiyo kwa uongozi tulionao ni fair life. Lakini kama wewe ni mtoto wa kigogo ukirudi unaweza kuwa na maisha mazuri unaweza kupata kazi BOT, au mradi fulani baba akikuunganishia and so on. Kama wewe ni mtoto wa kapuku serikali ya huko inaweza kukujali zaidi, hata kama ukilipa kodi pound 5000 au dola 10000 ni haki kuliko kulipa shilingi 1000 huku inayoishia kwa wachache.
Ushauri wangu ni kuwa bakini huko work, enjoy life, mjali anayekujali. Isaidieni Tanzania kwa kupambana na ufisadi.
 
Hivi katika kumbu kumbu zenu ni lini ilikuwa mara ya mwisho ambayo Chenge alifanya mikutano mikubwa namna ile kwenye jimbo lake akiwa anahimiza maendeleo kabla kukutwa na wimbi la wizi wa pesa mikataba ?Hizi ni pesa za IPTL na it is time I call upon PCCB kua act na si kusema SFO wanachunguza .Bahati mbaya ni kwamba PCCB nayo ni chafu so haiwezi kitu kwa Chenge .
 
Nilikuwa Arusha Siku Lowasa Akitarajia Kuwa Kule Bbada Ya Kutimuliwa Uwaziri Mkuu, Madereva Walipewa Lita 15 Za Petroli, Huko Bariad Nako Si Haba, Ukweli Unabaki Kuwa Inabidi Wananchi Wakombolewe Kiuchumi Halafu Kifikra, La Sivyo 2010 Ccm Ikiweka Jiwe Kama Mgombea Linaweza Kupita ! Umaskini Wa Kijijini Unawafurahisha Sana Mafisadi, Walioko Bariadi Wanasema Siku Chen Ge Alipojiuzulu Bariad Nzima Iliririma Kwa Vifijo, Polepole Ikaundwa Kamati Ya Mmapokezi Huenda Imetumia Zaidi Ya Tshs 200m, Kutengeneza Mchezo Huu Wa Kuigiza, Tunajifariji Kitu Kimoja Wananchi Hawashangilii Mafisadi Toka Moyoni, Wanashangilia Tu Kwa Njaa Na Mambo Yatabadilika Baadaye, Inshallah Mungu Atalitetea Taifa Lake, Na Ccm Itavunjika Kama Dola La Kiruni
 
PCCB sio ya kina vijisent, hiyo ni kwa ajili ya trafik polisi na mahakimu...vijisent PCCB hawachelewi kutoa press conference kwamba vijisent anaonewa na hana hata harufu ya ufisadi
 
Nilikuwa Arusha Siku Lowasa Akitarajia Kuwa Kule Bbada Ya Kutimuliwa Uwaziri Mkuu, Madereva Walipewa Lita 15 Za Petroli, Huko Bariad Nako Si Haba, Ukweli Unabaki Kuwa Inabidi Wananchi Wakombolewe Kiuchumi Halafu Kifikra, La Sivyo 2010 Ccm Ikiweka Jiwe Kama Mgombea Linaweza Kupita ! Umaskini Wa Kijijini Unawafurahisha Sana Mafisadi, Walioko Bariadi Wanasema Siku Chen Ge Alipojiuzulu Bariad Nzima Iliririma Kwa Vifijo, Polepole Ikaundwa Kamati Ya Mmapokezi Huenda Imetumia Zaidi Ya Tshs 200m, Kutengeneza Mchezo Huu Wa Kuigiza, Tunajifariji Kitu Kimoja Wananchi Hawashangilii Mafisadi Toka Moyoni, Wanashangilia Tu Kwa Njaa Na Mambo Yatabadilika Baadaye, Inshallah Mungu Atalitetea Taifa Lake, Na Ccm Itavunjika Kama Dola La Kiruni

ni kweli wananchi wanahitaji kukumbolewa kifikra sooner than later, je ni nani huyo mkombozi au saa ya ukombozi huo ni 2010
 
Pamoja na kuunganishwa kwa mada mbili ambazo zinaonekana kufanana lakini zenye mwelekeo tofauti, naomba niendelee na hoja ya Divided Perspective.

Nafikiri inabidi tuke chini na kujiuliza how do we re-connect hawa ndugu zetu ambao wameendelea kuona CCM ni bora na hata kuandamana na kuishangilia pale inapoonekana dhahiri kuwa CCM haifanyi mambo kwa manufaa ya Taifa?

How can we reach these souls that have been intimidated by CCM authority and declare to them that they are independent to do as they please as long as they don't break the laws?

Rev. Kishoka,
Do you wish for these two to be split into individual threads? If so please let us know. Thank you !
 
Back
Top Bottom