Diva loveness love wa clouds fm kumbe nae....!

Diva loveness love wa clouds fm kumbe nae....!

Vp mkuu hapo ndiyo hana hifadhi, maana ndiyo vitu vyake hivyo haachagi sample hizo?
 
560031_340333882702611_812437425_a.jpg

Namuona mwanachama wa Chadema hapa.
 
Anauza sura lakini mikono inamuonyesha kibibi.
 
dah! kwakweli mi nilidhani ana shepu ya ukweli kumbe!!!. ninawasiwasi na rangi yake na pua yake, nywele zake.zipo kama sio natural hivi. nlikuwa namsikia anataka aolewe kwa mahari ya tshs milioni 500/=. nikajua atakuwa Hot ile mbaya.
kumbe kawaaaaidaaa sanaaaaaaaaaaaaa.
anyway mungu hakumnyima sauti, ngeli, sio mbaya sana ukitoka nae. japo kawaaaaidaaa sanaaaaaaaaaaaaa.:behindsofa:
 
Umejuaje?! Humu raia wengi ni wanafiki na wanafuata siasa za mkumbo sana, sasa hivi anaitwa kamanda, ila ukifatilia thread zilizopita alikuwa anatukanwa kinoma.
Sasa ni zamu ya Kibonde kuonyesha kadi ya CDM hata ya magumashi ili apunguze kero za kutukanwa humu.
Mambo ya peoples power,kilichobakia ni kuwabandua magamba kwanza.
 
kila kitu kinachotoka cloudz hakinipendezi
 
Mbona viungio vidoleni kweusi au mambo ya karolaiti hayo, hata hivyo kana sauti nzuri jamani.
 
Back
Top Bottom