Diva loveness love wa clouds fm kumbe nae....!

Diva loveness love wa clouds fm kumbe nae....!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Ms Loveness Diva[/TD]
[/TR]
</tbody> [/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mwanachama halali wa CHADEMA[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Kwa sauti yake basi akiwekwa kitengo cha kuteka na kuua atamaliza wengi
 
Kwa sauti yake basi akiwekwa kitengo cha kuteka na kuua atamaliza wengi

kumbe sauti huwa unaisikia inaonekana ni msikilizaji mzuri itabidi atumike kwenye kampeni mwaka 2015.
 
Anataka u-first lady.
Bahati mbaya dr wa ukwee ndo atapeperusha bendera.
 
mmh!!nahisi amefanya kusidi kupima upepo wake na wana JF.c kuna video clip kwa youtube anaonekana akiiponda JF na members wake?
 
Kamanda wa ukweli. Mtoto wa sauti nyororo Diva. Aka kabinti kana akili sana na yupo uptadate yaani digital.
Na ataolewa hivi karibuni sababu kuwa kamanda inaongeza mvuto.
 
Kwani tatizo ni DIVA kuwa na kadi ya CDM au umekosa cha kuandika humu?!! Wanga wengine bwana wanajificha katika kundi la wenye nazo kumbe tayari ni wanachama wa kile kikundi kilichoomba ulezi wa mhe, rais!! Duh.
 
Kumbe zile neema za kwenye mapaja kushuka chini hana eeh!!
 
Watanzania bwana, yaani ukiwa Mtangazaji tu, watu wanaanza kukubabaikia. Sasa hapa cha ajabu nini?
 
Back
Top Bottom