Diva loveness love wa clouds fm kumbe nae....!

Diva loveness love wa clouds fm kumbe nae....!

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Ms Loveness Diva[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mwanachama halali wa CHADEMA[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Dah huyu demu mbaya hata afanye nini, kichwa kikubwa kuliko mwili, kakomaa kinyama kama kokwa la embe
 
Dah huyu demu mbaya hata afanye nini, kichwa kikubwa kuliko mwili, kakomaa kinyama kama kokwa la embe
Wewe kwa coment yako siyo bure. Siyo mwanaume wa kweli. Wewe mtoto siyo ridhiki. Kachambe ukakunwe nazi
 
mmh!!nahisi amefanya kusidi kupima upepo wake na wana JF.c kuna video clip kwa youtube anaonekana akiiponda JF na members wake?
mmmmm!!!JF ataiweza huyo???inapondwa na manguli na bado imesimama binti amejaliwa sauti nimeipenda mengine nawaachia muendelee nae.
 
Matusi yatapungua hapa

Kana akili, kameona kadiklee interest wakapumzishe.

Ila mbona mashavu ya pink?

Umejuaje?! Humu raia wengi ni wanafiki na wanafuata siasa za mkumbo sana, sasa hivi anaitwa kamanda, ila ukifatilia thread zilizopita alikuwa anatukanwa kinoma.
Sasa ni zamu ya Kibonde kuonyesha kadi ya CDM hata ya magumashi ili apunguze kero za kutukanwa humu.
 
Mhhhhhhh huyu nae ni mwanachama wenu.Kweli maajabu yapo huko
 
ndo huyu anayeumiza koo kwa kuongea sauti ya kubana?? na baada ya kusifiwa ndo akazidisha....seriously, nikimsia huwa nazima redio...ananibore....afu kumbe ndo yupo hivyo?? duh, kibibi kimtindo?? cha 60 sumthing nini?? ok back to the point....yeah, ni haki yake ya kimsingi kuwa mwanachama, big up...ila anaweza akawa na hiyo kadi kama kumbukumbu kuwa aliwahi kuwa CHADEMA, huku akiwa na kadi ya CCM au CUF au chama kingine chochote....si unajua siku hizi kuna kubakiza kadi kama kumbukumbu..heheheheh, utaratibu huu aliuanzisha yule mzee kikono...:yo::yo::yo: adios amigos
 
Dah huyu demu mbaya hata afanye nini, kichwa kikubwa kuliko mwili, kakomaa kinyama kama kokwa la embe
stroke kumbuka wewe si Muumba hivyo si vema kukashfu umbile la mtu namna hiyo.
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<TBODY>[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Ms Loveness Diva
[/TD]
[/TR]
</TBODY>[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<TBODY>[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mwanachama halali wa CHADEMA
[/TD]
[/TR]
</TBODY>[/TABLE]

Hiyo mikono mbona inaonekena imekomaa sana-au kuna dalili za "mkorogo"?
I never knew kama ni wa kawaida kiasi hiki!
 
Back
Top Bottom