Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
Huyu ana mpango wa kugombea ubunge..
Huyu anafaa kwa ubunge wa viti maalumu ana vigezo.
Huyu ana mpango wa kugombea ubunge..
kangekuja na kadi ya jani la mgomba kangejuta.Matusi yatapungua hapa
Kana akili, kameona kadiklee interest wakapumzishe.
Ila mbona mashavu ya pink?
Matusi yatapungua hapa
Kana akili, kameona kadiklee interest wakapumzishe.
Ila mbona mashavu ya pink?
inaonekana sauti ilikuwa inakuchanganya ha!ha!tililika!!!
Yakweli hayo?...............!!!!hmmmmNO...! and NO!
Nilijua from the first time I heard her "voice" kuwa sio sauti yake HALISI! Haijawahi na haitawahi kunichanganya coz after all huwa sivutiwi na sauti kwa mwanamke...na katika vinavyonivutia hana hata "kimoja"!
I thought she was byuti kutokana na mbwembwe zake! Poor her...no wonder alikimbiwa!
hivi huyu diva ni nani?
Yaani ile sauti yake unaiona ya ukweli? Aisee kweli mchaga bora usake mahela.
duh,chadema wanatisha...yani mtu anatukanwa hadi anasalimu amri na kuleta vielelezo juu.
make up hizo kongosho
Kama make-up ziko hivyo, bora watumie make-DOWN
ha ha ..make down haijagundulika bado
Wee ulivyo hapo ndio umepaka make- down