Diva anaramba koni....

Diva anaramba koni....

Huyu demu pamoja na wapambe wake inaonekana wanaipenda sana JF.
Wakati fulani wakalazimisha kutengeneza bifu kati yake na JF, akatishia kuishitaki JF!! baadae akapiga kimya.
Kuendelea kuleta habari zake hapa ni wazi kwamba amegundua JF ni mahali muafaka kwa kujifanyia "marketing" kuliko blog yake.
 
kulamba koni inawakilisha ishara furani kwamba anapenda kulamba na kunyonya nanii..

amna bwana mbona hata kuna wanaume wanaramba koni ila hawanyonyi makitu hayo..!
 
wa kawaida sanaaaa...extreeeemly below stds...kama vipi ongeza picha zake za full coverage may b ataongeza credits but to me shes just a crapppppp
 
What's behind the choice of that ID? just a question.

Hahaha...
Usihofu Mwali..
Hizi ni geresha tu za Jf
Ni pm tupange deal......nakutafutia hela ndefu
 
Sura ya avatar yako ina mvuto...
mashallah...

jina tu lilikuwa linanipa utata...sasa umenimaliza zaidi kumtamani Mohammed Shossi wazi wazi......we kweli Boflo!!....
 
sauti yake nzuri kuliko alivyo aisee, but apunguze maneno ya kihuni!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom