Ntaleta posa bwasemejiWashushe aisee..sister ana 3.4, imeniuma mpaka basi![]()
Mwambie ajaribu kukata rugaa kwa kuongeza academic transcript ya Stashahada muda wa appeals ukifika, wakati ambao atakuwa ameshaanza masomo ya shahada. Asidharau ni lazima appeals ipotie chuoni.Kuna dogo wa diploma mwaka huu wanamaliza mwezi wa nane na ameomba mkopo bila matokeo ya diploma anaweza pata?.je kuna uwezekano wa kufungua tena maombi ya mkopo hapo baadae?
Tufuta tu kazi kwasababu atayamwanzo ambayo 2.7 hujafikaDu mimi nina 2.1 naombeni ushauri nirudie diploma au ntafute kazi ntapata diploma in civil engineering
Ww n wapendwa wak sjui cmna inbox zenu mkachatie uko...Nakutafakari kwa wakati tofauti tofauti....Sikuelewi mpendwa unajambo binafsi au tatizo lako nini haswaa??
Mydear hii ni jukwaa kila mtu ana haki ya kusema chochote ili mradi haendi kinyume cha sheria zilizowekwa.....
Comment yangu kwa huu uzi ni #Loading# imekukwaza nini ndugu yangu??
Hayo mengine ni maswali na majibu ya mimi na wapendwa wenzangu na hayakuhusu hataa
Si bure mpendwa embu ukapime wewe yawezekana kichwani umeme ni mdogo.

Ww n wapendwa wak sjui cmna inbox zenu mkachatie uko hapa 2na discuss crioz issues...unatoambwa_bandan nn![]()
Ww n wapendwa wak sjui cmna inbox zenu mkachatie uko hapa 2na discuss crioz issues...unatoambwa_bandan nn![]()