Diploma kwenda degree 2016

Diploma kwenda degree 2016

Huyu mdada msimshangae sn huenda thinking capacity yake n ndogo ujue unaweza ukasoma mpaka master's still ukawa hujui jinsi ya kuishi,kusema na watu !!! Hata hvo c kila alieko kweny hii forum kasoma zas y even her comments has no fruits

Pole sana mpendwa wala usiwe na hofu digirii utakwenda tuu GPA kitu gani ndugu yangu? watu walikuaga na GPA 1 na wana digrii zao itakua nyie wenye 2.7 mmefaulu kwa kishindo kabisaaa?? Mungu yu mwema muujiza atawatendea tu wewe tcu wakifungua kalipie! fanya uchaguzi wa vyuo! subiria selection tu my dear....usikate tamaa pambana tu
 
Na kwa kukazia tu, Ushauri huu uchukuliwe kwa umakini mkubwa.
 
naombeni mnifahamishe vitu vya msingi vinavyohitajika unapoapply bachelor
 
Diploma mmeponea chupu chupu .
Serikal imewaonea huruma wataanza kuchukua GPA ya 3.1
 
Kuhusu Diploma Jitahidi Semister ya pili mwka wa mwisho (semister 5) kwa wake wa miaka mitatu upige GPA ya 3.5 ukiomba unatumia matokeo hayo sio overall GPA itakuwa rahisi utapata chuo ila ukisubiri mwaka utalazimika kutumia overall GPA ambayo kwa kozi za afya ni mziki kinyama kuipata
 
Yaaaani hiyo tarehe sijui iko mwezi gani ambao haujaisha?
 
DUUUUH TCU wanafkiri huu ndio mwezi wa saba au?? hyo guide book mbona inacheleweshwa hvyo??
 
Habari wakuu,nina diploma yenye GPA ya 3.9 nataka niombe degree TCU ila system yao inasomeka kwamba CAS will be opened for applicants with diploma qualifications by 31st July 2016.Mpaka now system inasomeka ivyo na deadline ya kuapply ni tar 5 mwezi huu.Mwenye uelewa naomba anijuze
 
Back
Top Bottom