Diploma kwenda degree 2016

Diploma kwenda degree 2016

Kuna dogo wa diploma mwaka huu wanamaliza mwezi wa nane na ameomba mkopo bila matokeo ya diploma anaweza pata?.je kuna uwezekano wa kufungua tena maombi ya mkopo hapo baadae?
 
Wana discuss kushusha viwango vya gpa so sidhani kama kesho itakuwa hivyo
Acha upotoshaji hakuna viwango vya GPA vinavyoshushwa,walisema kwenyetangazo lao kwamba mazungumzo na TCU yanaendelea ili waweze kudahili wanafunzi kulingana na sifa zilizotolewa na serikali sasa wewe kusema hayo umetoa wapi?? Usiwadanganye watu bhana.
 
Jamani diploma ya ualimu kwa masomo sayansi unaombaje kwa kupitia NACTE?Na je ni idadi ya vyuo vingapi?
 
Kuna dogo wa diploma mwaka huu wanamaliza mwezi wa nane na ameomba mkopo bila matokeo ya diploma anaweza pata?.je kuna uwezekano wa kufungua tena maombi ya mkopo hapo baadae?
Yah anaweza kupata...ili mradi apate chuo..na kozi yake iwe priority...
 
Dah! Mi nna 3.4 na mkopo nimeomba! Naongeza maombi ili hayo majadiliano yaZae matunda kiwango cha gpa kishushwe angalau kidogo.
 
Back
Top Bottom