rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Vipi na wewe umepata wapi??
Nimepata wapi nini mkuu? kiwanja au
Vipi na wewe umepata wapi??
Sio lazima kucomment kila uzi. Ukiona hapakuhusu humu kausha, Great Thinkers hawapo hivyo. Jitahidi uweze kuishi na kila kundi la watu,
Do not criticize others..
Kuna jamaa kampump hapo si unajua wabongo tunavyopenda sifa za kijinga!! Like "Jamaa anamatusi huyu mtaa mzima wanamiogopa!!!"Ni muda mrefu nimeona comment zako ni Negative kwa wahanga wa haya mabadiliko ya udahili wa chuo kikuu.. Sawa hili ni jukwaa je ni heri kwako fanani kusema chochote kwa hadhira? Hata km ni Hasi!!
Je kwa mawazo yako walio chini ya GPA ya 3.5 ni ******? Maana huu ndio uelekeo wako.

Ni muda mrefu nimeona comment zako ni Negative kwa wahanga wa haya mabadiliko ya udahili wa chuo kikuu.. Sawa hili ni jukwaa je ni heri kwako fanani kusema chochote kwa hadhira? Hata km ni Hasi!!
Je kwa mawazo yako walio chini ya GPA ya 3.5 ni ******? Maana huu ndio uelekeo wako.
Naongezea hapo ndugu nina bNi muda mrefu nimeona comment zako ni Negative kwa wahanga wa haya mabadiliko ya udahili wa chuo kikuu.. Sawa hili ni jukwaa je ni heri kwako fanani kusema chochote kwa hadhira? Hata km ni Hasi!!
Je kwa mawazo yako walio chini ya GPA ya 3.5 ni ******? Maana huu ndio uelekeo wako.
, b, b, c na chuo kikuu ckioni tena hadi na RIP jaman hayo matokeo kweli mimi ni kilaza?Naongezea hapo ndugu nina b, b, b, c na chuo kikuu ckioni tena hadi na RIP jaman hayo matokeo kweli mimi ni ******?
Wakuu mbona hii website ya TCU aifunguki? Au wezangu mmefanikiwa kuacsess?
Embu tuludi kwenye mada tuache achen mabishano, wakat mwingine inabid mtu akubali kushindwa ili mambo yasonge mbele. Back to topic.
hata mm toka mchana haifungukiWakuu mbona hii website ya TCU aifunguki? Au wezangu mmefanikiwa kuacsess?
Daaa walisema 31july mbona hawafungui aisee
Ila kusema kweli huyu mdada/anajiita rubii inabidi wakati mwingine awe na majibu mazuri kwa wahanga maana coment zake mara zote ni za kuwakwaza watu na huyu si mtu wa kwanza kukwazika na majibu yake. Badiliaka rubii hata kama umeyabahatisha pasi na kuyatolea jasho maana walioyapata kwa kuyatolea jasho huumizwa na maumivu ya wengine.