Diploma kwenda degree 2016

Diploma kwenda degree 2016

Wamefunga afu leo tar 2 jamani na wamesema deadline ni tar 5

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Habari,,Hivi Kwa Mwanafunzi Aliekosea Kujaza Chuo (FORM YA TCU)Kwa Sababu Mbali Kama Vile Aliweka Taarifa Tofauti Mf.Namba Ya Kumaliza Kidato Cha 6 Je Ni Hatua Gani anaweza Kuchukua??Je anaweza Kurudia Kujaza Tena?Naombeni Msaada Wenu Wadau Wa Elimu.<br />Asanteni
 
Habari wakuu,nina diploma yenye GPA ya 3.9 nataka niombe degree TCU ila system yao inasomeka kwamba CAS will be opened for applicants with diploma qualifications by 31st July 2016.Mpaka now system inasomeka ivyo na deadline ya kuapply ni tar 5 mwezi huu.Mwenye uelewa naomba anijuze
Deadline ni tare 31 October for all applicants
Wakati hadi muda huu guidebook hawajaiachia tunaisoma namba pole pole
 
Yani wamekuwa bored sn, anyway ngoja nikikumbatie kagpa kangu cha 3.5
 
Wana discuss kushusha viwango vya GPA so sidhani kama kesho itakuwa hivyo
makatili sana yaani kwenda bachelor kutumia diploma viwango ni 3.5 gpa,hivi mtu usome advance upate chini ya point 4 uamue kwenda kusoma diploma miaka mitatu ambayo ni karibu sawa na degree then upate gpa 3.1 bado serikali katili ya ccm inakuambia kuwa huna sifa,haya maccm yana roho mbaya sana
 
Tumeichagua wenyew, na wavimbe wapasuke.
wacha waisome namba eeeeeehh!
haahahaahaaa
2020 mtakaa kwenye mstar wenyew
 
Hakuna majadiliano yeyote yanayo endelea, itabidi tu mkubaliane na hali ili maisha yaendelee..
 
Back
Top Bottom