Wasipoteze muda wa kubeba box kwenda kumuona kilaza huyu. Hana jipya zaidi ya majivuno tu.
hivi mkuu umeona watu ambao wako ulaya wanabeba tu mabox auWasipoteze muda wa kubeba box kwenda kumuona kilaza huyu. Hana jipya zaidi ya majivuno tu.
hivi mkuu umeona watu ambao wako ulaya wanabeba tu mabox au
Hapana mkuu. Nilifundishwa shule kujibu examiner alichouliza. Soma post ya kwanza uone inasemaje mkuu.hivi mkuu umeona watu ambao wako ulaya wanabeba tu mabox au
Ha ha aha wauza sura ndo wakoje Masanilo?
Politik mchezo wa ajabu mtoto wa mkulima ameona kumtuma Kihiyo Kamala kutasaidia kueleweka hila za EAC ? wataenda wauza sura labda!
Kamala huyu ndiye ameshindwa kuwakilisha masalahi ya nchi katika kwenye hiyo Afrika ya Msahariki. Nadhani kile kitendo cha kujulikana kuwa ana digrii ya kununua kinamkosesha confidence ya kuongea mbele ya wenzake akijificha kuogopa asionekana kuwa hajui kitu.
we uko ulaya au unakula vumbi? Ni swali elekezi tuhivi mkuu umeona watu ambao wako ulaya wanabeba tu mabox au
Masanilo kwa dharau anaongoza. Wengine wote vihiyo, msomi ni yeye tu na kundi lake.
Masanilo, hivi Tanzania umewahi kugundua nini?
Ndugu Muheza, siyo lazima uwe na gari bomba kusema kuwa jamaa fulani kanunua mkweche. Ndo maana Dr Remmy aliwahi kuandika kwenye mkweche wake kuwa, "ETI IMECHAKAA, BABA YAKO ANAYO?". Kwa hiyo usianze kumzuia ndugu Masa kuongea eti kwa sababu hajagundua. Vinginevyo wote itabidi tunyamaze. Wapo watu hapa wanamsema vibaya Kamala kwamba kashindwa kuongoza wizara, ila ni kwa sababu yeye amejaribu na ndiyo maana tunaweza kutoa maoni kama kashindwa au kaweza. Je, tusiongee hadi tuwe Wakuu wa mikoa, mawaziri n.k; au wote tugundue mwezi mwingine? Kuna watu humu hawajawahi kuongoza hata kundi la watoto au kufanya jambo la maana kwenye jamii. Je hao nao wanyamaze?
Siku moja nilipokuwa mtoto, jamaa yangu akasema gari la Remmy lile, nikaliangalia na kuanza kucheka. Ghafla nikaona hicho kibao cha unacheka, babako analo? Ikabidi ninyamaze hapo hapo maana kweli bababgu hata baiskeli alikuwa hana.
Sizuii wengine kutoa comments lakini kama kila siku ni kuita watu wengine vihiyo nayo sio nzuri kabisa. Unajua kila siku kama ni kuchekana tu, kweli tutaanza hata kujiskia kwamba hatuwezi.